Kikwete atikisa arusha

Ushabiki kazi sana, unaweza ukadhalilika na wewe ukijua umepatia na unashangiliwa. Haya bwana tumekubali katingisha teh teh te teh

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Khaa! Ni kweli ametikisa hasa kila mtu akawa anashangaa, alikuwa akitikisa zaidi pale alipokuwa akizungumza na wageni wake. Alikuwa akitikisa KICHWA.
 
Nilidhani alikuwa anahutubia wananchi wa Arusha, kumbe upumbavu tu.
THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN.
 
Aibu Kutikisa na mawaiter kwa nini asitikise na wananchi ameichana chana Arusha kwa sababu ya kulinda vitega uchumi vya wanawe Ridhiwani na Halfani he he he he tikisa kajitikisa mwenyewe Arusha mjini anapaon pepo alikuwa anakumbuka sana Ngurudoto amefurahi kuna AfDB

Hapa hakuna kilichotikisika Arusha.
 
Back
Top Bottom