Mkuu Chum Chang Mimi naona hapo umeteleza kidogo, bin-Adam yeyote Ana kasoro zake. Hivi Kuna taifa kubwa kama Marekani (USA)lakini rais wake (....Jr) aliwahi kukiri hadharani kuwa wakati wa ujana wake aliwahi kuvuta bangi. Hilo halikuleta athari yeyote kwa yeye kuwa rais, na alipata support ya majaji/senators kwani wao pia waliwahi kutumia. Sembuse kuiba ubwawa jeshini?.Kwani wewe hapo ulipo umekwisha fanya mangapi na hutaki kusema. Inaelekea wewe hujaenda JKT Baba wacha!!! temea mate chini tuliwahi kulipiga piga bwawa la samaki usiku kucha ili vyura wasilie,kisa nini mkuu apate usingizi..