Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Na hata wale walioiba fedha za EPA aliwasamehe waliorudisha.
Una uhakika kuwa walirudisha? Walio rudisha ni akina nani? Na ambao hawakurudisha ni akina nani?
Na hata wale walioiba fedha za EPA aliwasamehe waliorudisha.
Na hata wale walioiba fedha za EPA aliwasamehe waliorudisha.
Jeshini wizi sio kosa ni sehemu ya mafunzo(mbinu za medani) mfano huna bunduki na unamuona adui yako ana bunduki wazo lako kubwa ni ama umyang'anye kwa nguvu ikiwezekana umvunje shingo na kumuulia mbali au uibe bunduki kwa manufaa ya makamanda wenzio. Au mpo frontline na chakula kimewaishia lakin jirani kuna raia wana chakula so kupona kwenu mtakwenda kusweep chakula kwa faida ya makamanda,
Somo la pili ni UONGO. ukitekwa kama ulizoea kusema ukweli utataja uwezo wa kikosi chenu mpo wangapi aina ya silaha mlizo nazo. Tatu Ukatili n sehemu ya mafunzo ndio maana soja anaua ananyonga bila huruma. HILO NDILO GESHI.
safi kikwete kunikumbusha nilivyokwiba sukari jikoni
Akaniambia piga magoti, huku nimeshikilia mestini zangu za wali. Akaniambia hivi! Brother maana alikuwa anapenda sana kuita brother , wewe ni form six (kidato cha sita) umekuja kuchukua mafunzo.
Dokta PADRI SLAA kuiba wake za watuHATA MAMA YAKO AKIJILENGESHA ATAPEWA.HAPO VIPI? SORRY
Wizi ni wizi tu, aibe mmoja, muibe wote au msiibe kabisa. Muibe wali, muibe mchanga au kuEPAHebu wana Jf tuache unafiki!Nani miongoni mwetu hakupitia hayo utotoni?
Ubwabwa aliondoka nao na ndio maana hiyo spirit aliifanya alipokamata watu wa EPAHivi baada ya kukamatwa na kupiga magoti,alivyoachiwa aliachwa aende na ubwabwa wake au aliurudisha?
msamehe bure, alizaliwa hivyo!!!!Kumbe tabia hizi MBILI kaanza nazo siku nyingi.....
- Kuiba
- Kufanya maskhara hata kwenye vifo vya watu