MeanMan
Member
- Jan 27, 2012
- 52
- 13
Mh!kwa nafasi yake hata kama hana tabia hiyo kwa sasa, ameto ujumbe mbaya sana kwa jamii
Mh!kwa nafasi yake hata kama hana tabia hiyo kwa sasa, ameto ujumbe mbaya sana kwa jamii
dogo slaa yeye wake za watu ndani ya upadri
Mrudishe simu ya balozi jamani.
Hivi wewe unashapita JKT ukiwa na umri 18-20 fresh from school?Kabaya zaidi hajutii tabia hiyo ya udokozi wa wali...na wala hajawakanya hao vijana wa JKT kuwa udokozi wa aina yoyote ile haufai kwa raia yeyote mzalendo.
Hivi wewe unashapita JKT ukiwa na umri 18-20 fresh from school?
Kwa enzi zile ukiwa JKT ni lazima utumie mbinu za medani kwa kufanya vitu vya ajabu kama kula vinguu maji vingi halafu kuvunga una homa upate light duty, kuiba nyanya, msosi ni vitu vya kawaida kwani wote ule ulikuwa utoto]
kuwania kazi kwenye offisi ya QM ni deal kweli kweli.Lakini kuna mengi mazuri sana unajifunza ambayo kwa wengine ndiyo dira ya maisha yao km kuamka mapema, usafi, ukakamavu nk
Poleni sana kwa ile generation ambayo imekosa fursa hiyo.
Kwa ninyi ambao
Jee wakati Clinton aliposema kuwa hajahawi kuvuta moshi wa bangi wakati ameweka msokoto mdomoni katika ujana wake ilimpunguzia 'calibre'? au Obama alivyokiri kuwa ameshajaribu ganja wakati wa ujana wake ilipunguza 'calibre' yake?Si kwambii kama nimepita ama la huko JKT.....ila kwa kiongozi tena wa 'Caliber' yake kutukuza wizi/udokozi mbele ya jamii...inachefua. Kwa jinsi ulivyosifia tabia hizi...sitashangaa ukiisifu "operesheni tokomeza" ilivyoendeshwa kiasi cha mawaziri kulazimika kufutwa kazi. Ndiyo maana waliohusika wamepitia mazingira hayo ya U'jkt' kama wewe....!
Narudia siwezi kuunga mkono sifa ya udokozi/wizi bila kujari imesemwa na nani.
Hatuwezi kuelewana kwa sababu tunapishana sana juu ya mtizamo wa tunachozungumzia....wewe unaona the issue is "trivial"...na mimi nasema issue ni "irritative" ndiyo maana kwa namna moja ama nyingine nataka ijadiliwe ili kwa pamoja tukubaliane kuipiga vita isipewe umuhimu wa kutukuzwa mbele ya wananchi. Kumbuka kauli anayoitoa rais inazingatiwa kwa umakini.....
Unachukua kitu trivial na kukifanya kuwa contraversial issue wala haileti maana
Jee wewe hujawahi kufanya kitu cha kipuuzi katika kipindi hicho cha umri wako?Hatuwezi kuelewana kwa sababu tunapishana sana juu ya mtizamo wa tunachozungumzia....wewe unaona the issue is "trivial"...na mimi nasema issue ni "irritative" ndiyo maana kwa namna moja ama nyingine nataka ijadiliwe ili kwa pamoja tukubaliane kuipiga vita isipewe umuhimu wa kutukuzwa mbele ya wananchi. Kumbuka kauli anayoitoa rais inazingatiwa kwa umakini.
Vitu vya kipuuzi kuna mahala pake pakuyazunguzia siyo kila mahala na kama kutakuwa na ulazima wa kulizungumzia jambo hilo hasa mahali ambapo ni hadhara inayojumuisha rika mbalimbali lazima uzungumze jambo hilo la kipuuzi kwa namna ya kulikemea na kuonya watu wasirudie jambo hilo siyo unalizungumza kwa namna ya kulitukuza.....Jee wewe hujawahi kufanya kitu cha kipuuzi katika kipindi hicho cha umri wako?
Hebu jaribu kufuatilia viongozi wengine duniani hasa wanapozungumzia ujana/utoto na mambo waliyoyafanya.Hatuwezi kuelewana kwa sababu tunapishana sana juu ya mtizamo wa tunachozungumzia....wewe unaona the issue is "trivial"...na mimi nasema issue ni "irritative" ndiyo maana kwa namna moja ama nyingine nataka ijadiliwe ili kwa pamoja tukubaliane kuipiga vita isipewe umuhimu wa kutukuzwa mbele ya wananchi. Kumbuka kauli anayoitoa rais inazingatiwa kwa umakini.
Hebu jaribu..1. kufuatilia viongozi wengine duniani hasa wanapozungumzia ujana/utoto na mambo waliyoyafanya.
Kwa maoni yangu ni kuwa hii inaonyesha kuwa hata mtu awe anawadhifa wa namna gani lakini wakati wa utoto/ujana alikuwa na hulka za umri huo ambazo wote hupitia kwa namna moja au nyingine.
...2. Hata wewe kwenye umri wa kipuuzi [18-21] ni lazima kuna vitu ulivifanya na leo ukivuta kumbukumbu unabaki unacheka tu.