Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

Now i get it,halafu kuna wazimu wanakuja huku eti jkt inafundisha maadili?huyu nae ana maadili gani?
 
Kama umri uliokuwa nao wa kijana unaiba mpaka chakula...! Mtu anaeiba chakula ni mtu mbaya sana..hafai hata kumwachia mtoto mchanga wa kike...!
Kwa sababu ingekuwa alikuwa mtoto sawa lakini...umri wa takribani miaka 20 mtu mzima..
Ndo maana nchi haisongi.
 
Hakughusia sababu zilizomfanya atoroke Monduli kwenye chuo cha maofisa wa jeshi?
 
Hivi baada ya kukamatwa na kupiga magoti,alivyoachiwa aliachwa aende na ubwabwa wake au aliurudisha?
<br />
<br />
obviously aliachwa thats why anaendeleza hiyo dera kwa wezi,,,mfano wezi wa fedha wizara ya membe,wameshushwa vyeo tu,,,,,,
 
hii kitu bora kaisema mwenyewe na sio 'wazushi' kama ilivyozoeleka. Ngoja tusubirie mtu wa kukanusha kuwa walimquote vibaya. Cha muhimu hapa ni kupata picha na haiba ya mtu kwa undani
 
Wizi huanza toka watu wakiwa wadogo sana ..sasa ukubwani ndo wanakomaa na kuwa manguli wa wizi
 
Dokta PADRI SLAA kuiba wake za watu alianza na umri gani.mimi sioni cha ajabu coz hakuna mtu perfect. Kina obama wamekiri amewahi kuvuta bangi itakuwa kikwete ambaye sio padri
 
Katika Tanzania hii nani sio mwizi au hajawahi kuiba. Na kama hajawahi kuiba basi hajapata nafasi
 
Msiopita JKT hamuwezi elewa hali hii, ni sawa ukisikia mwanafunzi wa Boarding kagoma kwa sababu Uongozi wa shule umebadili ghafla ratiba ya wali kwa kupika Ugali. JKT kuiba msosi na kutega kazi ilikuwa jambo la kawaida sana tutajieni asiefanya hivyo. JK aKSANTE KWA uWAZI
 
Tabia ya wizi alienda nayo jeshini na sasa anaendelea kuienzi kimipangomipango hapo magogoni.
 
Yule ajizaniaye kwamba ktk maisha yake hajawai kuiba hata sukar kwao na awe wa kwanza kumsema vby JK.tatizo lenu wanafki
 
niliposoma habari hii nilishutuka sana , kumbe mkuu wetu ubwabwa unamtoa roho. Sasa hapo Riz si amejifunza tabia hii taratibu?
Jeshini wizi sio kosa ni sehemu ya mafunzo(mbinu za medani) mfano huna bunduki na unamuona adui yako ana bunduki wazo lako kubwa ni ama umyang'anye kwa nguvu ikiwezekana umvunje shingo na kumuulia mbali au uibe bunduki kwa manufaa ya makamanda wenzio. Au mpo frontline na chakula kimewaishia lakin jirani kuna raia wana chakula so kupona kwenu mtakwenda kusweep chakula kwa faida ya makamanda,
Somo la pili ni UONGO. ukitekwa kama ulizoea kusema ukweli utataja uwezo wa kikosi chenu mpo wangapi aina ya silaha mlizo nazo. Tatu Ukatili n sehemu ya mafunzo ndio maana soja anaua ananyonga bila huruma. HILO NDILO GESHI.
safi kikwete kunikumbusha nilivyokwiba sukari jikoni
 
Kumbe tabia hizi MBILI kaanza nazo siku nyingi.....

  1. Kuiba
  2. Kufanya maskhara hata kwenye vifo vya watu

Kusema ukweli ni kuonyesha uungwana wa hali ya juu hivyo anapashwa kusifiwa kwa hilo, kumbuka hata Obama alikili kuvuta bangi kwenye ujana wake na bado akashinda uchaguzi
 
Back
Top Bottom