Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

Status
Not open for further replies.
Hutaki unaacha. hata wewe fanya sampling hapo ulipo then calculate percentage ya slaa supporters versus jk and others uone

Hakika hata yeye ni msomi asisubiri kufanyiwa kazi. Wenzio wamefanya kazi wanakupa taarifa hutaki kuamini, sasa njoo na utafiti wako uweke mezani tuudadavue. Argue with facts in hands not just words. Hii itatusaidia kutoamini taarifa zingine ambazo wewe utathibitishia jukwaa kwamba sio za kweli. " I think about possibilities, I dream about possibilities and I work for the possibilities" DR.Slaa will be our next president. Yes! it is possible, whether you like or not.
 
Naamini CHADEMA wana kamkakati ka kulinda kura zetu...!!!

Maana nimekutanan na picha ya Mnyika ina maneno "TAFUTA KURA, PIGA KURA, na LINDA KURA" Kwa maneno haya nina uhakika changamoto ya kuhujumiwa itakuwa imechukuliwa maanani!!!

Huwajui CCM! Bila shaka tayari wameishapanga namna ya kuiba kura pamoja na ulinzi wa vyama vya upinzani unaosemwa utakaokuwepo, tusubiri tutaona maajabu. Je CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wanajua kwa dhati idadi ya wapigakura waliojiandikisha na kwa majina? Kuna kipengele cha sheria kinachowapa fursa ya kuhakiki majina yote ya wapigakura kabla ya siku ya uchaguzi? Kila nikiwaza sioni ni kwa njia gani wizi wa kura unaweza ukadhibitiwa ama kura kulindwa kwa asilimia mia.
 
.
Ni kweli mkuu, mfano mzuri wa vijiji ni chaguzi ndogo zilizopita. Ccm na serikali yake walishangazwa na ujasiri wa wanavijiji hasa huko Busanda, B/vijijini na tarime. Kama sii kutumia nguvu kubwa na mabavu wasingeambulia hata jimbo moja. Jijini DSM uswahili umezidi na watu wenye njaa wanaotafuta mlango wa kutokea hata kwa kuuza haki yao ya uzaliwa.
DR SLAA HANA BILIONI HAMSINI, HANA FUSO ZA KUWABEBA WASHABIKI KWENYE MIKUTANO YAKE ILA ALIMELIBEBA TUMAINI LA WATANZANIA LILILOPOTEA. HICHO NDICHO KITU WATU WANAKITAKA KUTOKA KWAKE!
.

CCM ilishinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa (kwa asilimia 95)

swali: wapiga kura si ni wale wale wa serikali za mitaa, CCM itashindwa vipi?
 
Hutaki unaacha. hata wewe fanya sampling hapo ulipo then calculate percentage ya slaa supporters versus jk and others uone

shida ni moja mkuu unashindwa kuelewa, supporter wa ccm si wapiga kelele, kuna bibi yangu kule kijijini yeye wala hana mda wa kwenda kusikiliza sera wala kampeni, kadi yake ya kupiga kura kaificha mchagoni kama uhai wake, alienda kuhakiki jina lake kwenye daftari la kudumu kiasi siku ya uchaguzi hana wasiwasi jina lake liko ktk daftari, yeye siku ya ychaguzi alfajiri yuko kituo cha kupiga kura kwenye mstari wa kwanza, anaenda kutia ''ccm nambari wani'' kwa staili ya mafiga matatu hata kama baadhi ya wagombea hawajui.

supporter wa upinzani siku ya uchaguzi anaamka saa 4, anaweza achelewe, hakwenda kuhakiki kama jina lake limo ktk daftari la kudumu kwa sababu ya kukimbizana na shilingi, mara siku ya uchaguzi inamkuta yuko mkoani kikazi, siku ya uchaguzi ndio analeta fujo lakini kura hapigi, mwingine alisahau shahada yake kwenye wallet ikaibwa nayo kwenye kilevi au basi nk

kwa iyo kama huu utafiti umeangalia support tu, inaweza isitoe picha halisi upinzani kama ingekua mimi zoezi la kujiandikisha na kuhakiki majina wangelipigia kampeni kama uchaguzi matunda yangekua mazuri sana! ukweli ni kwamba percent kubwa ya supporter wa upinzani hawatapiga kura ukilinganisha na corresponding number of supporter wa ccm.

sio nia yangu kuvunja morale na kasi ya wimbi la chadema, ni mchango wangu tu!
 
Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili '' Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%

THanks!! TAWILE , mambo ndo yanaanza.
 
Msishabikie vyama vya siasa kama klabu za mpira wa miguu hata kufikia kutunga uongo ili kupata ushindi wa hira hata kufikia kuhusisha usalama wa taifa, hiyo ni hatari na sumu. Watanzania wanashabikia chama cha siasa na mgombea wake hata kama hafai bila kutambua athari zake baadaye, ni vyema kuhamishia ushabiki huo katika vilabu vya michezo kwa sababu vikifungwa familia zao zitaendelea kula na kulala salama. shibikieni vilabu vya michezo kama simba, yanga, manchester, chesea kwa kuwa wakifungwa familia zetu zitaendelea kula lakini ushabiki wa chama utawatokea puani kutokana na ushabiki wa kujuana na hatimaye kumchagua kiongozi mbovu na baadaye familia zetu zinaanza kutaabika.

Kila mtu ampatie mgombea kura ya ndio baada ya kutafakari kwa makini na sio kushinikizwa na wakereketwa na mashabiki wa vyama. msukumo wa makundi kuelekea kumpata rais, mbunge na diwani bora hauwezi kuipeleka nchi kule tunakotaka. Ni dosari kubwa kukishambulia chama cha CCM baada ya kuonekana chama cha CHADEMA ni mbadala katika siasa za Tanzania. Ni kosa ambalo wachache wanapaswa kujihadhari na mamluki wa siasa za mageuzi ambao wamejiingiza katika vyama vya upinzani kwa ajili ya kuwachanganya watanzania. Chama bora ni kile kinachozungumzia sera badala ya watu.

CCM sio mtu ni chama chenye sera ni vema kuchambua sera zake na kuonisha na sera za vyama vingine na hatimaye kutathmini sera hizo kwa namna bora ambayo kila mmoja wetu atanufaika nazo. Kuzungumzia watu, Kikwete dhidi ya Slaa bila kuchambua yale ambayo wanataka kuwafanyia watanzania haina manufaa kwetu. Tupiganie sera sio, tupiganie watu. Tukumbukuke kwamba, wagombea wote wanakwenda kusimamia sera za vyama vyama na si vinginevyo baada ya kupata ushindi.
 
Usemavyo ni sawa, ila ili kuboresha shughuli za kijamii Serikali ijayo iondokane na sera ya FULL EMPLOYMENT na badala yake shughuli zinazowezafanywa na Sector binafsi ziachiwe Sector binafsi. Nina maana budget ya kulipa LABOUR FORCE SERIKALI+MASHIRIKA YANAYOPATA RUZUKI ni kubwa sana kulinganisha na thamani ya huduma zitolewazo na Serikali.
 
Msishabikie vyama vya siasa kama klabu za mpira wa miguu hata kufikia kutunga uongo ili kupata ushindi wa hira hata kufikia kuhusisha usalama wa taifa, hiyo ni hatari na sumu. Watanzania wanashabikia chama cha siasa na mgombea wake hata kama hafai bila kutambua athari zake baadaye, ni vyema kuhamishia ushabiki huo katika vilabu vya michezo kwa sababu vikifungwa familia zao zitaendelea kula na kulala salama. shibikieni vilabu vya michezo kama simba, yanga, manchester, chesea kwa kuwa wakifungwa familia zetu zitaendelea kula lakini ushabiki wa chama utawatokea puani kutokana na ushabiki wa kujuana na hatimaye kumchagua kiongozi mbovu na baadaye familia zetu zinaanza kutaabika.

Kila mtu ampatie mgombea kura ya ndio baada ya kutafakari kwa makini na sio kushinikizwa na wakereketwa na mashabiki wa vyama. msukumo wa makundi kuelekea kumpata rais, mbunge na diwani bora hauwezi kuipeleka nchi kule tunakotaka. Ni dosari kubwa kukishambulia chama cha CCM baada ya kuonekana chama cha CHADEMA ni mbadala katika siasa za Tanzania. Ni kosa ambalo wachache wanapaswa kujihadhari na mamluki wa siasa za mageuzi ambao wamejiingiza katika vyama vya upinzani kwa ajili ya kuwachanganya watanzania. Chama bora ni kile kinachozungumzia sera badala ya watu.

CCM sio mtu ni chama chenye sera ni vema kuchambua sera zake na kuonisha na sera za vyama vingine na hatimaye kutathmini sera hizo kwa namna bora ambayo kila mmoja wetu atanufaika nazo. Kuzungumzia watu, Kikwete dhidi ya Slaa bila kuchambua yale ambayo wanataka kuwafanyia watanzania haina manufaa kwetu. Tupiganie sera sio, tupiganie watu. Tukumbukuke kwamba, wagombea wote wanakwenda kusimamia sera za vyama vyama na si vinginevyo baada ya kupata ushindi.

Mkuu, Kikwete hasimamiii sera za chama hata kidogo bali sera za ujangili wa Rostam Azizi na rafiki yake Richmonduli Edward Lowasa na maisha bora kwa wanamtandao na familia zao. Na usipuuzie taarifa hizi. Nakwambia ukweli sasa hivi nimetoka kupiga simu kijijini kwetu nimeongea na dada yangu aliyeko huko anasema mwaka huu watu wanachagua CHADEMA wamechoka na ahadi hewa na bla bla za CCM na kaniambia mambo mengine ya ndani sana (siwezi kuyaandika hapa). Kama watu wa vijijini wamepata mwamko huo basi ndo mwisho wa CCM.

Muhimu: CHADEMA wekeni mikakati ya kulinda wizi wa kura na kuingizwa kwa masunduku yaliyojaa kura za CCM kutoka usalama wa taifa. Hatika ukombozi wa Watanzania umewadia.
 
Umewasiliana na mtu mwenye access na simu + TV. Embu watafute wale wasio na simu wala TV wanaoshinda kwenye maboda ya mpunga upate maoni yao
 
Tanzaniana, members, so easy to be carried away with things so trivial, so far from the truth. Hatupendi kudig out, analyse and bring our imagination close to reality. Na ndio mana twazidi kuwa masikini hata palipo na msaada wa watu wa marekani.

Kama nakumbuka sana uchaguzi wa Marekani watu walinyokuwa wakishabikia eti Obama hawezi kushinda ilhali hawakuwa na facts, bali ushabiki maandazi.
 
Wait a minute. Usalama wa taifa wanamfanyia kampeni mgombea urais, JK. So campaigning for JK is among responsibilities of TISS. Tanzanians pay salaries of TISS for them to campaign for one political party and not for the interest of whole nation, Why?
.

Hofu yako ni nini, wait a minute. Taarifa ya kuwahusisha usalama wa taifa imekuja kama tetesi tu. Hivyo inawezekana ni uongo au ukweli lakini tetesi ina sehemu kubwa ya kuwa uongo. Tusiwahukumu hawa jamaa kwa tetesi tu japo pia hatuzuiwi kuendelea kujadili tetesi hizo.
 
Umewasiliana na mtu mwenye access na simu + TV. Embu watafute wale wasio na simu wala TV wanaoshinda kwenye maboda ya mpunga upate maoni yao

Mkuu huyu ana access na simu tu TV hakuna. Si unajua mitandao ya simu imefika hadi vijini kwa sasa? Na huyu ni kwamba ni mtu anayeweza ku-afford kuwa na simu, tunamsadia hata kumtumia vocha. Watu wengi wanaomzunguka hawawezi hawana hata simu lakini ndo hao wanasema "HAPANA" kwa CCM mwaka huu.
 
Na bado zikibaki siku 20 mambo yatakuwa worse.Tujiandae kulinda kura jama wanharakati kazi kwishaaaaa
 
Hapa kazi kamaliza Dr.Slaa kilichobaki ni kupanga mikakati ya kulinda kula.Hapa ndiyo pagumu elimu ya uraia imetosha kinachotakiwa ni kuunda kikasi kazi kitakachofanya kazi ya kufikiria counter attack ya wizi wa kura vinginevyo tutalia dakika za majeruhi kama mechi ya Everton na Man-U au Man-U na Bayern Munich.Mpooo wanaharakati????? Hao ndo SISIEMU kawaida yao wanatoa majibu ya kushangaza kila kipindi.
Kwa ujumla wamekwama kama kikosi kazi kitaundwa mapema.Wanatakiwa wanamaheabu haswaaaa.
 
kuna madudufule yanayotegemea maisha yao yaendelee kuwa ya kirahisi kwa kutegemea fadhila za wanyanganyi wa mali za uma, hivyo hawataki kuamini kabisa kwamba linalo semwa linawezekana, kwani hawezi kujifikiria watakuwa wapi ikitokea hivyo, kwahiyo wanaendelea kujipa moyo kuwa haiwezekani. Endeleeni sisi tunao shinda na akina kajamba nani tunaona na tunasikia tena kutoka huko mnako dhani ndiyo ngome, yaaani vijijini, mtashindwa kushangaa itakapo kuwa hivyo msivyo tegemea.
 
Kabisa watu wa vijijini wameelimika sasa, hawadanganyiki tena. Mwaka huu wanasema HAPANA kwa Kikwete na CCM yake.
 
Mungu simamia haki, mtangulie silaa, uwt wasibadili msimamo waendelee kukataa kuchakachua matokeo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom