Joss
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 765
- 191
Chadema hatuna mtu anayeitwa hivyo!!Freeman Mbowe 2005 mikutano yake ilikuwa inajaza watu kama hii ya Wilberd Slaana matumizi ya HELKOPTA na la kushangaza Mbowe alikubali kushindwa kwa kishindo tena alihunduria kuapishwa kwa JK wakati CUF na TLP walikataa kukubali matokeo! jee DR. Slaa atakuwa tayari kufuata nyayo za Mwenyekiti wake Mbowe kukubali matokeo ya ushindi wa CCM wa TSUNAMI
CHADEMA munaota ndoto za mchana! hata mwaka 2005 mulikuwa na ndoto hizi hizi za kudai ushindi hewa! sasa ngojeeni 31 october mtakavyo garagazwa! ila tunamuomba Slaa akubali matokeo kama alivyofanya Mbowe 2005!
CHADEMA wacheni FITINA na UMBEA wa kuwasingizia viongozi wa CCM kuwa wananjama za kuwauwa viongozi wenu! huu ni uongo wa wazi kabisa na kama munaushahidi toka kwa USALAMA wenu wa TAIFA si mupeleke tuhuma zenu POLISI? munangoja nini? WACHENI KUWADANGANYA WANANCHI KUWA SLAA ATASHINDA! HUKO VIJIJINI NA MIKOA YA PWANI, KUSINI NA KUSINI MAGHARIBI, MIKOA YA KATI NA ZANZIBAR HAKUNA ANAEMJUWA SLAA ILA HUKO MBULU, UCHAGANI NA BAADHI YA MIKOA YA MAGHARIBI LABDA NDIPO ANAPOWEZA KUAMBULIA KURA CHACHE! TAKWIMU NILIZIWEKA HAPA LAKINI ZIMEFUTWA NA LA KUSHANGAZA NI KUWA FORUM HII INATAKA MAWAZO YA KUMSIFIA SLAA NA CHADEMA NA HUU NI UWOGA! KWANI WANAOAMUA NANI ATAKUWA RAIS SIO JAMII FORUM BALI NI WA TZ! NA WA TZ WENGI WANATEGEMEWA KUMPA KURA ZAO KIKWETE!
SASA KAMA NYINYI HAMTAKI KIKWETE AU LIPUMBA AWE RAIS HAKUNA ANAEWALAZIMISHA LAKINI SIO MULAZIMISHE WATU WOTE WAMPENDE DR.SLAA NA CHADEMA!
MUNASIKIAEEE!!