Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,966
Unauliza vumbi stoo!???
Kwani ana umri gani mpaka aonekane anazeeka ghafla......m I missing something hapa???
Mtu anatakiwa kuzeekaje kwa mfano..........as in pace or rate?????
Alisahau kufanya make up. si unakumbuka hata Picha ya Rais ilibadilishwa, tuliambiwa ile ya kwanza haina mvuto.huyu si sharobaro? kuna shartobaro mzee?