Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
.... Wape vijana wako wanaotuma pesa nyingi nyumbani kuliko pesa inayolipwa na makampuni ya madini nafasi ya kuongea na prezidaa wa nchi yao (kumbuka hii ni ofisi) sio kitu chako binafsi.
Mheshimiwa rais, Tafadhali baba!
Anasubiri muunde 'Jumuia' kwanza ndio akutane nanyi. Hamuoni wenzenu wa Uingereza mambo yanavyowanyookea?
Nimeishi marekani miaka mingi tu na ninatuma pesa nyumbani "zaidi ya makampuni ya madini" lakini lugha mbovu kama yako kwa niaba ya watanzania tulioko huku US sikubaliani nayo na haitufikishi popote. Kukaa kwetu marekani basi tena tunawaita wenzetu vilaza. Hivi wewe umeshaongoza nchi? Hivi Kikwete atukwepe kwa nini! Kwani anakija USA basi katufuata sisi tuliozamia huku hata nyumbani kurudi kwa mbinde. Wengine tumefiwa na baba zetu miaka nenda rudi hata kwenda kuhani tunashindwa, halafu kelele kibaooo!
Raisi Kikwete ni raisi wa watanzania karibu milioni 40 kwa hivyo sisi tulioko huku USA kwa nini Rais atupe preference, kwa vile tuko US ? Kwa nini tusifunge safari kwenda Ikulu Dar Es Salaam if we are serious. I will be the first one to join the bandwagon!
Watanzania tulioko Marekani tuko fragmented hatuna ushirikiano ila kelele nyiingi.Vigroup viingi, mikutanoni ni kutambiana na kuchekana, kila mmoja na interest zake. Mwacheni muungwana afanye kazi zake na kwa wale tuliotegemea kupewa madaraka kwa vile we feel we are capable, tukubali kuwa wamepewa wengine na ingawa ni vilaza based on our perception,hao ndio wanaoiongoza Tanzania na ni ukweli na utabakia hivyo.
Watanzania wajanja tuko wengi USA, kila mtu na mambo yake kila mmoja mjuaji, kila mmoja msomi, wenye majumba wapo, wenye kazi nzuri wapo, wenye green card, wanafunzi tupo, wenye pasipoti za Bush wapo,wenye makampuni wako; tunaondesha taxi tupo, wenye makanisa wapo, wenye-madeal na shughulizao wapo. Ilimradi tupo USA basi Kiwete lazima atupe special preference maanake tuko majuu bwana au vipi mshikaji?
MFUPA ULIOSHINDA FISI MPE MENOSUGU
ee bawna yaani wewe ni kama huu ujumbe umeandika mwenyewe basi naweza kusema kuwa ni mmoja kati ya watu wachache sana humu wenye uwezo mkubwa wa kiakili, samahani naomba nikuulize swali binafsi kama ni sawa hivi unasomea nini.... manake uwezo wako wa ufahamu umenishtua...kwani ni mara chache sana humu ninaweza soma vitu vilivyotulia kama ulivyoandika.. watu wengi humu kazi yao kulaumu lkni hawatoi suluhisho, wanasahau kwamba hakuna kitu rahisi kama kuangalia kitu na kutoa kasoro, lkni hawasemi ni nini wata/mefanya tofauti na serikali yetu kuboresha mambo kwa kifupi bado wengi wamebanwa ktk mzunguko wa kuzaliwa na kufa na hawajaweza kutoka nje ya hapo........Nimeishi marekani miaka mingi tu na ninatuma pesa nyumbani "zaidi ya makampuni ya madini" lakini lugha mbovu kama yako kwa niaba ya watanzania tulioko huku US sikubaliani nayo na haitufikishi popote. Kukaa kwetu marekani basi tena tunawaita wenzetu vilaza. Hivi wewe umeshaongoza nchi? Hivi Kikwete atukwepe kwa nini! Kwani anakija USA basi katufuata sisi tuliozamia huku hata nyumbani kurudi kwa mbinde. Wengine tumefiwa na baba zetu miaka nenda rudi hata kwenda kuhani tunashindwa, halafu kelele kibaooo!
Raisi Kikwete ni raisi wa watanzania karibu milioni 40 kwa hivyo sisi tulioko huku USA kwa nini Rais atupe preference, kwa vile tuko US ? Kwa nini tusifunge safari kwenda Ikulu Dar Es Salaam if we are serious. I will be the first one to join the bandwagon!
Watanzania tulioko Marekani tuko fragmented hatuna ushirikiano ila kelele nyiingi.Vigroup viingi, mikutanoni ni kutambiana na kuchekana, kila mmoja na interest zake. Mwacheni muungwana afanye kazi zake na kwa wale tuliotegemea kupewa madaraka kwa vile we feel we are capable, tukubali kuwa wamepewa wengine na ingawa ni vilaza based on our perception,hao ndio wanaoiongoza Tanzania na ni ukweli na utabakia hivyo.
Watanzania wajanja tuko wengi USA, kila mtu na mambo yake kila mmoja mjuaji, kila mmoja msomi, wenye majumba wapo, wenye kazi nzuri wapo, wenye green card, wanafunzi tupo, wenye pasipoti za Bush wapo,wenye makampuni wako; tunaondesha taxi tupo, wenye makanisa wapo, wenye-madeal na shughulizao wapo. Ilimradi tupo USA basi Kiwete lazima atupe special preference maanake tuko majuu bwana au vipi mshikaji?
MFUPA ULIOSHINDA FISI MPE MENOSUGU
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
kukutolea kashfa (haziuwi) au maneno ya kejeli. Unaweza ukanikwepa mimi ila sio kila mtu mwingine aliyeko hapa USA
Stand up baba and face the muziki. Kama ulidhani uraisi ni kuwa mbali na watu umejidanganya. You never know, labda washauri ulio nao wengi ni vilaza. Wape vijana wako wanaotuma pesa nyingi nyumbani kuliko pesa inayolipwa na makampuni ya madini nafasi ya kuongea na prezidaa wa nchi yao (kumbuka hii ni ofisi) sio kitu chako binafsi.
Mheshimiwa rais, Tafadhali baba!
Mwafrika wa Kike,its good tunapoona watanzania walioko marekani wanataka kuongea na RAIS wa JAMHURI HURU YA TANZANIA,lakini ni jaribu kusema kwa niaba ya Rais why hana muda huo.Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
Inawezekana ni wewe au ni wasaidizi wako ila bado natafuta kujua hili maana linatia aibu. Kwa nini unawakwepa watanzania wanaoishi marekani?
Kwa nini unapenda private settings? Kwa nini unafanya mambo kwa ufichouficho mwingi? Kwa nini hautoi maelezo ya maamuzi yako?
Well, kuna mtu alisema hapa JF kuwa inaonekana ni wivu unasumbua baadhi ya memba hapa ambao wangetaka kuongea nawe. Wengi hapa sio wivu bali ni haja ya kupata nafasi ya kukusikia ukisema kitu kuhusu hali ya baadaye ya nchi yetu. Sio kila mtu anataka kukutolea kashfa (haziuwi) au maneno ya kejeli. Unaweza ukanikwepa mimi ila sio kila mtu mwingine aliyeko hapa USA
Stand up baba and face the muziki. Kama ulidhani uraisi ni kuwa mbali na watu umejidanganya. You never know, labda washauri ulio nao wengi ni vilaza. Wape vijana wako wanaotuma pesa nyingi nyumbani kuliko pesa inayolipwa na makampuni ya madini nafasi ya kuongea na prezidaa wa nchi yao (kumbuka hii ni ofisi) sio kitu chako binafsi.
Mheshimiwa rais, Tafadhali baba!
Heshima mbele.
Nimeshindwa kuvumilia....kumbe tuliopo Bongo ni vilaza! Hakika ni fedheha ya hali ya juu. Siku hizi kuwa Mareakani tu ni ticketi ya akili nyingi, busara na utajiri?
Utumwa, Utumwa, Utumwa.
This is how young Africans Talk to their elders nowadays isn't it?.,
how modern kids yell to their fathers to beg for candies and chocolates and sweets.
Dare talk to the president like your houseboy?. where is an african manners.
What is this rigid american supeority over your elders, an insult to the president of the united republic of Tanzania.shame! shame!, shame!
This is the president whose hands lies destiny of millions of people, our own brothers ,sisters,moms and dads, and yet a single human being armed with rockets of illusion and misjudgement and lack of african manners to respect their elders tries to undermine.
With all your rights to speak miss young lady,it is not your right to yell blindly and undermine the President of the united Republic of Tanzania.
As you once used to apologize about your fantasies over the president, you better once again do it! you cant yell to Mr president like this girl!!.

!!.