Kikwete anamuogopa Andrew Chenge?

Kikwete anamuogopa Andrew Chenge?

Ukitazama jinsi Chenge anavyo waudhi wananchi hadi kuichukia serikali
unajiuliza why anaogopwa namna hiii

Kikwete hawawezi kumfanya lolote huyu Chenge?

Kwanza watu walilamika asiwekwe kwenye baraza la mawaziri
Kikwete akamuweka mwisho Chenge bila woga wala haya akaliuza shirika la reli kwa
wawekezaji vimeo wa kutoka India na kila mtu anajua kilichotokea hadi mwisho serikali
imelirudisha shirika hilo kwa umma....

halafu Chenge akaenda kufanya fitina akateuliwa Mwenyekiti wa Kamati bungeni bila kupigiwa kura
yaani ni uteuzi tu wa Spika kinyume na taratibu na sasa anatumia huo uenyekiti kuzalisha kero mpya

za kila mara kwa Watanzania...hasa kupandisha kodi zisizo na kichwa wala miguu
mfani hii kodi ya simcard licha ya mawaziri wa Kikwete kama January Makamba kuipinga
Chenge ameilazimisha iwepo na mwaka huu anairudisha tena na kodi zingine kupandisha,,,

swali la kujiuliza ni kwa nini huyu mtu Chenge anaogopwa ndani ya CCM hadi na mawaziri na Kikwete pia?

why is Chenge still powerful ndani ya CCM? why Kikwete anamuogopa?
Huyu jamaa nadhani ni m-freemason. mtu anaonekana mpigaji mkubwa anapewa cheo haraka haraka kila wananchi wakimtimua mahali. Baada ya kupiga radar wananchi wakapiga yowe kweli hadi akatimuliwa. Kabla hapajakucha akapewa waziri wa uchukuzi akapiga deal reli bei ya kutupa kwa wahindi. inji hii bana...wacha tu!!
 
..ukitaka kujua nchi hii ilivyooza katika mihimili yake mitatu yaani: bunge,mahakama, na serikali...basi chukua mfano (scenario) mmoja tu unaomhusu fisadi chenge: kwanza Chenge anaendasha gari alafu anaua raia wawili...tena akiwa hana leseni wala bima....adhabu yake analipishwa faini ya laki 7.....Lakini Deus Mallya anaendesha gari pia bila leseni alafu anaua raia mmoja....yeye anapata adhabu ya miaka miwili jela (huu uozo wa mahakama zetu)....

....Chenge huyu huyu akiwa mwanasheria mkuu wa TZ anasimamia wizi wa fedha za ununuzi wa rada .....fedha zinarudishwa na UK na Chenge anaonekana kutajwa kuhusika na wizi huu...yeye anasema ana vijisenti tu...raia wanapiga kelele kwa fisadi hili...lakini serikali ya TZ (chini ya JK)inamwachia chenge.....pamoja na kutajana kuvuana magamba huko ccm (huu ni uozo usio na maelezo kwa muhimili wa serikali)......

....Twende bungeni.....kule bungeni Chenge ...pamoja na kujulikana kuwa gamba kuu huko ccm...na pamoja na kashfa ya rada.....lakini anachaguliwa na spika kusimamia kamati yetu ya bajeti...huku wabunge wakiona hilo sawa tu....Huu ni muozo wa kupitiliza wa muhimili wa bunge....Tena hao hao ccm na wabunge wao wakampa chenge hadi kazi ya kuwaandikia katiba yao mbadala wanayoipigania bungeni....wao wanaona sawa tu....

....Kwa scenario hii inayomhusu mtu mmoja tu...unaweza kuona taifa hili lilivyooza kimaadili na kiutendaji kwa watawala wetu wa leo......Sasa tujiulize taifa hili lina wakina chenge wangapi??....wanaohifadhiwa na mihimili hii mitatu kwa mtindo huu???.....tafakari...

jaribu kuuliza uliza tu,hiyo kamati wanalipwa posho shilingi ngapi kwa siku???,,,,,ukijua uje utuambie hapa
 
Da!Tanzania ina amani kwakuwa ni waoga la sivyo kwa mwendo huu tungekuwa kama irak!Afadhali viongo wangekuwa watoto kuliko watu wazima hawa mabwege nazi macho matatu lkn hawaoni?Chefuuu!
 
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Hakuna anaekataa kulipa kodi tatizo lililopo ni hiyo kodi inatumikaje huwezi kulipa kodi huku fedha za nchi kila uchwao zinaibwaibwa tu.
 
huduma za jamii ni zaidi ya huduma ya afya. kwa maana tunazungumzia maji, nishati, barabara, afya na mengine. na zote hizo wanalipa. kuhusu afya kilichopo ni bima ya afya. nadhani unaelewa maana ya neno bima. hata obama alisaini bima ya afya kule marekani japokuwa republican walipiga kelele sana. kwa taarifa yako makato yaliyopo kwenye hizo nchi zilizoendelea ni makubwa sana. labda tu nikuambie hata mimi mwenyewe ni muathirika wa makato hayo. huenda wewe unasoma kwenye mitandao wengine tunaexprerince hiyo hali direct.
kuhusu hiyo hela ya kujikimu hata kama huna mtoto unapewa. lakini hiyo hata hapo Tz inakuja. lakini bado haiondoi makodi mbalimbali wanayojinchwa kila kona.

UK hospitali hulipi,mzazi ambaye ni raia na hana kazi anapewa pound 400 kila mwezi kwa matumizi ya kulea mtoto,hivi karibuni malkia kapitisha sheria mtoto akifikisha miaka 7 kwenda mbele anapewa pound 2000 kwa mwaka ya matumizi.Zipo nchi nyingi za ulaya ambazo zina benefit system ya kupewa makazi.
 
hivi hata kenya kuna tax holidays kama za hapa bongo? kimsingi mimi nalipa kodi kubwa sana, yahani mara 4 zaidi ya mgodi wa buzwagi
ndo manake,kila nchi za east africa zinashindana kuvutia wawekezaji.
 
Tax incentives and
revenue losses in
Kenya
Tax Competition
The government of Kenya is
providing a wide range of tax
incentives to businesses to
attract greater levels of Foreign
Direct Investment (FDI) into the
country. Yet this study shows
that such tax incentives are
leading to very large revenue
losses and are anyway not
needed to attract FDI.
Download report here
Recent government estimates are
that Kenya is losing over KShs
100 billion (US$ 1.1 billion) a year
from all tax incentives and
exemptions. Of these, trade-
related tax incentives were at
least KShs 12 billion (US$ 133
million) in 2007/08 and may
have been as high as US$ 566.9
million. Thus the country is being
deprived of badly-needed
resources to reduce poverty and
improve the general welfare of
the population. In 2010/11, the
government spent more than
twice the amount on providing
tax incentives (using the figure
of KShs 100 billion) than on the
country’s health budget – a
serious situation when 46% of
Kenya’s 40 million people live in
poverty (less than US$ 1.25 a
day).
Kenya’s provision of tax
incentives is part of the tax
competition among the members
of the East African Community
(EAC). Following the EAC’s
establishment in 1999, Kenya,
Tanzania and Uganda created a
customs union (a duty-free trade
area with a common external
tariff) in 2005, and were joined
by Rwanda and Burundi in 2009.
This has created a larger regional
market, and means that firms can
be located in any EAC country to
service this market. At the same
time, however, countries are
being tempted to increase tax
incentives in order to attract FDI
and, they believe, increase jobs
and exports. Our analysis
suggests that the provision of
tax incentives across the East
Africa region represents harmful
tax competition and may be
leading to a ‘race to the bottom’.
Kenya provides an array of tax
incentives. The more prominent
ones concern the Export
Processing Zones, which give
companies a 10-year corporate
income tax holiday and
exemptions from import duties
on machinery, raw materials, and
inputs, and from stamp duty and
VAT. Yet a 2006 report by the
African Department of the IMF,
focusing on East Africa, notes
that ‘investment incentives –
particularly tax incentives – are
not an important factor in
attracting foreign investment’. A
2010 study found that the main
reasons for firms investing in
Kenya are access to the local and
regional market, political and
economic stability and favourable
bilateral trade agreements; fiscal
concessions offered by EPZs
were mentioned by only 1% of
the businesses sampled. Despite
its generous tax incentives,
Kenya has in recent years
attracted very low levels of FDI,
largely due to recent political
violence and instability. FDI flows
to Uganda, which provides fewer
incentives than Kenya, are much
higher.
The Kenyan government
recognises that the current level
of tax incentives presents a
problem and has committed itself
to rationalising and reducing
them. However, there are major
questions as to how far, and
how quickly, the government is
really prepared to go.
 
kama hawaoni faida unatarajia nini? Nenda hizo nchi ukaone hizo kodi zinachofanya, halafu rudi hapa utuambie zinafanya nini.

Usilinganishe wingi wa kodi ila kodi hizo zinafanya nini!

chukua like kubwa
 
huduma za jamii ni zaidi ya huduma ya afya. kwa maana tunazungumzia maji, nishati, barabara, afya na mengine. na zote hizo wanalipa. kuhusu afya kilichopo ni bima ya afya. nadhani unaelewa maana ya neno bima. hata obama alisaini bima ya afya kule marekani japokuwa republican walipiga kelele sana. kwa taarifa yako makato yaliyopo kwenye hizo nchi zilizoendelea ni makubwa sana. labda tu nikuambie hata mimi mwenyewe ni muathirika wa makato hayo. huenda wewe unasoma kwenye mitandao wengine tunaexprerince hiyo hali direct.
kuhusu hiyo hela ya kujikimu hata kama huna mtoto unapewa. lakini hiyo hata hapo Tz inakuja. lakini bado haiondoi makodi mbalimbali wanayojinchwa kila kona.

Makato ni makubwa ndio lakini kazi ya kodi inaonekana mkuu,sijasoma kwenye mitandao mkuu bali hayo makato hata mimi yananikuta.Tunachoongelea hapa ni wajibu wa serikali kutoa huduma kwa kutumia hayo makato.Upo sahihi kuwa huduma za jamii ni zaidi ya afya lakini poa umeme na maji kwa wenzetu huwa havikatiki,barabara zipo nzuri na zina karabatiwa,afya ndio hiyo bure,tofauti na kwetu tz ambapo kodi inakatwa lakin hizo huduma bado hazieleweki.Hamna anayekataa kukatwa kodi hata kama ni kubwa sio ishu kama zinafanya kazi inayoonekana

Hiyo huduma ya kijikimu inakuja lini Tanzania mkuu? Hizo si hadithi za abunuasi mkuu? Bajeti yenyewe inategemea wahisani na bado haitoshi kuendesha serikali hilo swala la benefits kwa raia si ndoto
 
nakubaliana nawe kwa ulichoandika kwa 100%. ni kweli kabisa tunahitaji tuone kodi ikionekana dhahiri inachofanya. kuhusu hilo la kujikimu nimesikia mara kadhaa PM Pinda ikiliongelea. labda tusubiri huenda wajao wakayatekeleza. lakini kubwa kabisa ninaloliona Tz ni suala la kimfumo, na viongozi wetu ni wahanga wa mazoea. hawana ubunifu kabisa. unatakiwa mfumo mzima ufumuliwe. sasa ni nani yuko tayari kufanya hilo? hapo ndo suala linapokuja. tunaona Kikwete hata jambo lililowazi kabisa kama la Muungano anaendelea kukumbatia hali iliyozoeleka badala ya uhalisia.
Anyway, all the best.

Makato ni makubwa ndio lakini kazi ya kodi inaonekana mkuu,sijasoma kwenye mitandao mkuu bali hayo makato hata mimi yananikuta.Tunachoongelea hapa ni wajibu wa serikali kutoa huduma kwa kutumia hayo makato.Upo sahihi kuwa huduma za jamii ni zaidi ya afya lakini poa umeme na maji kwa wenzetu huwa havikatiki,barabara zipo nzuri na zina karabatiwa,afya ndio hiyo bure,tofauti na kwetu tz ambapo kodi inakatwa lakin hizo huduma bado hazieleweki.Hamna anayekataa kukatwa kodi hata kama ni kubwa sio ishu kama zinafanya kazi inayoonekana

Hiyo huduma ya kijikimu inakuja lini Tanzania mkuu? Hizo si hadithi za abunuasi mkuu? Bajeti yenyewe inategemea wahisani na bado haitoshi kuendesha serikali hilo swala la benefits kwa raia si ndoto
 
Wasubiri Babako Slaa na mchumba'ke ambae ni mamako Josefina wakichaguliwa na wananchi 2015 watahalalisha.

Baba na mama yako ni panya kwahiyo na wewe binti yao ni panya na hatima ya ukoo wa panya ni kuliwa na paka; kaeni tayari kuliwa kwani siku zenu zinahesabika, hata kama mtajipendekeza kwa kuhudhulia mazishi ya kila anaekufa haitawasaidia!!!
 
Baba na mama yako ni panya kwahiyo na wewe binti yao ni panya na hatima ya ukoo wa panya ni kuliwa na paka; kaeni tayari kuliwa kwani siku zenu zinahesabika, hata kama mtajipendekeza kwa kuhudhulia mazishi ya kila anaekufa haitawasaidia!!!

Chopa tatu, kata tatu.
 
...ni muhimu kurejea hizi thread za nyuma ili kuweka records sawa kwamba watu makini walishapiga sana kelele huko nyuma kuhusu ccm kuwalea hawa wezi ilihali wakijua maovu yao...huu unafiki wa ccm leo umejitokeza tena...sijui wanajisikiaje wao na rais wao???
 
Back
Top Bottom