King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Wala asilitazame upya, ndio alternative ya kuongeza mapato bila kugusa maslahi yao. Usisahau 2015 hii hapa, yunahitaji hela mingi.
piga hesabu ya tzs 1000 times watumiaji milioni 30+, kwa mwezi hiyo. Yaani tukifanikiwa hili, wachimba madini wanaweza kuchimba bureeeeee hadi yaishe hayo madini tupumzike.
piga hesabu ya tzs 1000 times watumiaji milioni 30+, kwa mwezi hiyo. Yaani tukifanikiwa hili, wachimba madini wanaweza kuchimba bureeeeee hadi yaishe hayo madini tupumzike.
Atakuwa ni mkono mtupu haulambwi.
Ila la kodi za simu JK ni lazima alitazame kwa jicho la tatu.
............ nje ya mada. Jitahidi pia kupata jiko huku...........