majaar
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 1,356
- 257
hata china kwa miaka 5 iliyopita wameongezeka mabilionea lukuki.
Huko america kina dick chen,karl love,bush etc wamepiga madeal ya hatari na halibutorn yao na wamekua matajiri wakubwa na bado wamarekani wanakamuliwa kodi hata kama anaishi nje ya marekani bado anatakiwa kulipa kodi.
Huko kenya wadada kufungua grocery tu leseni ksh 50,000 ambayo ni sawa na milioni kwa hapa,wakati hapa watu wanafungua na kufanya biashara bila kulipa leseni wala kodi,hakuna maendeleo kama kodi hailipwi.
Acha kuandika upuuzi wewe andika ukiweka na ushahidi sio malipo ya buku saba yakufanye ushirikishe m***lio kwa kila bandiko kuliko kutumia akili.