Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Siyo kusema watu hawataki kulipa kodi,sisi Watanzania hatupingi kulipa kodi ila shida ni wapi hizo hela zinakwenda?Tungekuwa tunalipa kodi halafu tunaambiwa kuwa ile kodi ya kusuka rasta kwa mfano tuliyoipitisha mwaka jana mwaka huu tumepanua uwanja wa ndege wa JNIA na tumejenga terminal 3 hapo hakuna hata mtu ambae angekataa kulipa kodi mpaka ya ving'amuzi vya startime tungelipia.Lakini ujinga wa nchi hii tunalipa kodi mpaka za wototo wetu walioko bado viunoni mwetu ila hatujui inafanya nini hasa