Kikwete anamuogopa Andrew Chenge?

Kikwete anamuogopa Andrew Chenge?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,612
Ukitazama jinsi Chenge anavyo waudhi wananchi hadi kuichukia serikali
unajiuliza why anaogopwa namna hiii

Kikwete hawawezi kumfanya lolote huyu Chenge?

Kwanza watu walilamika asiwekwe kwenye baraza la mawaziri
Kikwete akamuweka mwisho Chenge bila woga wala haya akaliuza shirika la reli kwa
wawekezaji vimeo wa kutoka India na kila mtu anajua kilichotokea hadi mwisho serikali
imelirudisha shirika hilo kwa umma....

halafu Chenge akaenda kufanya fitina akateuliwa Mwenyekiti wa Kamati bungeni bila kupigiwa kura
yaani ni uteuzi tu wa Spika kinyume na taratibu na sasa anatumia huo uenyekiti kuzalisha kero mpya

za kila mara kwa Watanzania...hasa kupandisha kodi zisizo na kichwa wala miguu
mfani hii kodi ya simcard licha ya mawaziri wa Kikwete kama January Makamba kuipinga
Chenge ameilazimisha iwepo na mwaka huu anairudisha tena na kodi zingine kupandisha,,,

swali la kujiuliza ni kwa nini huyu mtu Chenge anaogopwa ndani ya CCM hadi na mawaziri na Kikwete pia?

why is Chenge still powerful ndani ya CCM? why Kikwete anamuogopa?
 
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
 
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.

Ishu sio kukatwa kodi mkuu,ishu ni kwamba hiyo kodi inafaidisha wananchi? Hizo nchi unazosema kuwa hata tv unaikatia leseni huduma nyingi za jamii ni bure na unaona kabisa kodi inafanya kazi.Kwetu kodi zinaenda kwenye matumbo ya watu.
 
Atakuwa ni mkono mtupu haulambwi.
Ila la kodi za simu JK ni lazima alitazame kwa jicho la tatu.

............ nje ya mada. Jitahidi pia kupata jiko huku...........
 
Toka Kikwete awe Rais hawa wamekuwa mabilionea
1. Lowassa
2.Chenge
3.Ngeleja
4.Riziwani
5.Karamgi
6.Maswi na wengineo

why watu walipe kodi zaidi?
hata china kwa miaka 5 iliyopita wameongezeka mabilionea lukuki.

Huko america kina dick chen,karl love,bush etc wamepiga madeal ya hatari na halibutorn yao na wamekua matajiri wakubwa na bado wamarekani wanakamuliwa kodi hata kama anaishi nje ya marekani bado anatakiwa kulipa kodi.
Huko kenya wadada kufungua grocery tu leseni ksh 50,000 ambayo ni sawa na milioni kwa hapa,wakati hapa watu wanafungua na kufanya biashara bila kulipa leseni wala kodi,hakuna maendeleo kama kodi hailipwi.
 
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.

Ushasema Nchi Zingine Hvy Na Hii Ni Nchi Nyingine Kwahiyo Sio Kila Wakifanyacho Wao Ni Sahihi Hadi Nasisi Tuwaige.
 
Yes they do, but what really sucks
the most about this is that it was
$192 Million in US taxpayer
dollars that went to this company
because of the Obama
administration. They are simply
throwing away our hard earned
tax dollars. I don't know anyone
that would throw their hat in the
ring for odds like that.....even
stock market odds.
Pockets were surely lined here
and, yet again, WE THE PEOPLE get
screwed. If the government is
going to take out money that we
earn, then why don't we have a
vote in where it's invested.....this
was obviously a horrible move.
And on top of that, if they are
going to invest the money we
earn and something does make
it big, why do we not see a
return?
So over this administration and
it's BS....they just plain
SUCK...simple as that.
Vasa Croe
 
Mambo ya wanasiasa kutake advantage ya nyadhifa zao yapo dunia nzima,na kote watu kama wewe,mimi etc wanalalamika,nakutakia malalamiko mema the boss,labda usubiri akina wenje wakikamata madaraka tutaishi kama tupo peponi.
 
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.

Kwanza tulitaka wakusanye zile wanazosamehe kwa wawekezaji ambazo ni zaidi ya T.2
Kinyume chake ndo hii mipango ya kumnyonya mwananchi na kuneemesha wageni. Ndio sababu tunalalamika.
Ushauri wangu kwako, ni kwamba wakati mwingine uwe unatumia kichwa kufikiri.
Ova
 
ulipishe kodi trilion 2 ujue wananchi ndo watazilipa na si hao wafanyabiashara,price lazima zita skyrocket na utarudi hapa kulalamika vilevile.

Haya wewe unaetumia akili hebu nipe orodha ya wawezaji kumi tu na kiwango walichosamehewa kodi na wanafanya biashara gani,au umekariri?
 
Ngoja nifanye uchunguzi wangu nitakuja na majibu
 
Toka Kikwete awe Rais hawa wamekuwa mabilionea
1. Lowassa
2.Chenge
3.Ngeleja
4.Riziwani
5.Karamgi
6.Maswi na wengineo

why watu walipe kodi zaidi?

Hao wamewekeza mkuu.
Kuna mahali uliwahi kusema in some coming years utakuwa bilionea. Ni kwa kuwa umeshaanza kuwekeza. Je ungeanza miaka kadhaa nyuma huoni hata wewe ungekuwa kama EL.?

Hii nchi fusa zipo sema sie ni waoga kudhubutu.
 
Sawa kabisa! Wamewekeza kwenye uongozi!

Btw, unasound hivyo hivyo kama jina lako! Umejipatia kabisaa! Kimamndenyimandenyi tu!
 
Huyo Chenge labda ni ushirikina unamsaidia. Umesahau wakati fulani alinaswa laivu akiwa anawanga bungeni usiku?
 
ungeanza kujiuliza kwanza hao wananchi wa bariadi waliompitisha kwenye kura za maoni na baadaye bila aibu wakamchagua kuwa mbunge wao. sasa kikwete angewakataza wananchi wasimchague?
ni vizuri ukaangalia tatizo la msingi.
Rombo walifanya kweli baada ya kuona Mramba ni mwizi wakampiga chini na kumchagua selasini.

Ukitazama jinsi Chenge anavyo waudhi wananchi hadi kuichukia serikali
unajiuliza why anaogopwa namna hiii

Kikwete hawawezi kumfanya lolote huyu Chenge?

Kwanza watu walilamika asiwekwe kwenye baraza la mawaziri
Kikwete akamuweka mwisho Chenge bila woga wala haya akaliuza shirika la reli kwa
wawekezaji vimeo wa kutoka India na kila mtu anajua kilichotokea hadi mwisho serikali
imelirudisha shirika hilo kwa umma....

halafu Chenge akaenda kufanya fitina akateuliwa Mwenyekiti wa Kamati bungeni bila kupigiwa kura
yaani ni uteuzi tu wa Spika kinyume na taratibu na sasa anatumia huo uenyekiti kuzalisha kero mpya

za kila mara kwa Watanzania...hasa kupandisha kodi zisizo na kichwa wala miguu
mfani hii kodi ya simcard licha ya mawaziri wa Kikwete kama January Makamba kuipinga
Chenge ameilazimisha iwepo na mwaka huu anairudisha tena na kodi zingine kupandisha,,,

swali la kujiuliza ni kwa nini huyu mtu Chenge anaogopwa ndani ya CCM hadi na mawaziri na Kikwete pia?

why is Chenge still powerful ndani ya CCM? why Kikwete anamuogopa?
 
ni nchi gani hizo zilizoendelea ambazo huduma za jamii ni bure?

Ishu sio kukatwa kodi mkuu,ishu ni kwamba hiyo kodi inafaidisha wananchi? Hizo nchi unazosema kuwa hata tv unaikatia leseni huduma nyingi za jamii ni bure na unaona kabisa kodi inafanya kazi.Kwetu kodi zinaenda kwenye matumbo ya watu.
 
Kikwete mwenyewe fisadi, si unakumbuka kauli yake sasa tunalivua gamba!? Kulivua gamba ilikuwa ni kuwafukuza wale waliokuwa wameshiriki katika ufisadi wa namna moja au nyingine na hivyo kuifanya CCM ionekane chama cha mafisadi. Baada ya kubainika kwamba CCM ilikuwa mbioni kuwafukuza Lowassa, Rostam Chenge na wengineo ndio kukawepo na tetesi kwamba kama watafukuzwa basi wataanika uchafu wa Kikwete hadharani na Ikulu hakutakalika. Hapo ndio ile kauli ya "kulivua gamba" ikaanza kupotezewa na hatimaye kupotea kabisa.

Ni gharama kubwa sana kuwa na kiongozi wa nchi ambaye si msafi. Uchafu wake siku zote humfanya awe muoga kufanya maamuzi mazito, matokeo yake nchi inaenda mrama.
 
Back
Top Bottom