Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Historical fact my foot! Wakati Mwinyi anateuliwa kugombea Uraisi wa TZ hakutokea Foreign Affairs na hajawahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania katika maisha yake yote. Mwaka 1995, alipochaguliwa kuwa Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje alikuwa Mh. Joseph Rwegasira. Wafuatao ndio wamewahi kukamata huo wadhifa Tanzania
They are all diplomats ... Nyerere, aliiwakilisha TANU LEGCO before becoming the first PM, Mwinyi ambassador to Egypt, Mkapa na JK wamewahi kuwa top diplomats ..... FOREIGN AFFAIRS IS STILL THE COMMON DENOMINATOR.

Wimbo mpya ni wa CCM kuwa madarakani kwa miaka 100 ijayo...ni kweli silaha zipo kuhakikisha hilo!
Now run go tell'em!
 
Makamba anajitambulisha tu. Kama ni kugombea kiukweli itakuwa ni 2020 au 2025 ..
 
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Sijui kuhusu Membe ila mtu wa Foreign Affairs atakuwa mgombea.

This is not a dream, it's a historical fact. CCM hawatashindwa ku-deliver 51%.
Mimi najuaMwinyi alikuwa waziri wa mambo ya ndani na alijiuzuru kutokana na mauaji yaliyofanywa na maafisa usalama wa taifa huko Shinyanga.
 
Jamani mwee tuseme ukweli penye ukweli. Huyu kijana wetu January anajipanga tu kuelekea kuwa rais wa Tanzania miaka ijayo lakini sidhani kama kweli atapita uchaguzi wa ndani wa kamati kuu ya CCM kabla ya kufika baraza kuu unless yeye amewekwa kama plan B.

Mimi sii muumini wa demokrasia kwa sababu naamini haipo duniani isipokuwa kuna joka kuu la watawala. Huko Ulaya na marekani wameshika Freemason (Skull) ambao wametawala vyombo vya habari, benki zote na wanasiasa na kama humo ktk kundi hilo basi wewe ni ktk kundi jingine dhidi yao kwani hizi siasa zoote za demokrasia ni zuga la kutupumbaza sisi wakiweka wagombea wawili wa mwisho wanaowataka wao, iwe ni Republican, Demokratic au chama chochote huwa kuna watu wazito nyuma ya mgombea na sii kwa ajili ya kumlinda mwananchi ama kujali wananchi na mustakabali wa nchi bali kuwalinda watawala ndani ya hemaya hizi. na ukishinda wewe usohitajika mara moja utatafutiwa fitna ya kuitwa gaidi ama Dikteta ukaundiwa vita ya kukung'oa madarakani.

Kwa hiyo January anajua anachokifanya na JK pia anajua anachokifanya maana imefika mahala siamini kwamba kweli leo hii tuna vionmgozi wanaojali mustakabali wa nchi ambayo haina dira, haina malengo isipokuwa kwa kutegemea radhi ya Mwenyezi Mungu. Haiwezekani leo hii asilimia 50 ya utajiri wa dunia hii umekamatwa na watu 100 tu, halafu kina sisi bil. sijui 5 tumebanana ktk 50 ilobakia na tunasifia muundo huu na maendeleo yake. Akili zetu sii nzuri tunahitaji kipimo kipya kama sii wendawazi huu nini?

Kama leo hii Obama ni freemasons sijui nani alobakia wa kumuaminia..
 
Usipotoshe, mwinyi hajawahi kuwa foreign iwe ubalozi au hata uafisa wa ubalozi achilia mbali uwaziri.

Pole sana dogo, kuna madogo wenzio wataokuja kukusaidia katika hili, na kama hawajatokea, ntarudi.
 
niliposema mvuto sikumaanisha the man(membe)should have a sex appeal,understand me black man,..membe has no record,ya kiutendaji ambayo inaweza kuwa reference point ya kumnadi,we humuoni nchemba anakuja na upuuzi kama kuokoa mabilioni ya mishahara hewa bila kutaja majina ya ghost workers!!!

What record Mwinyi, Kikwete and Mkapa had in their times that qualified them presidents? I hope you are not talking about satanic record similar to those of Chenge Lowassa Rostam Karamagi Muhongo Werema and the likes. The country wants a president with moral authority to fight corruption and defend natural resource for the interest of the country as a whole. The past administrations proved failure with these regards as demonstrated by endless scandals of EPA and Richmond style. I am certain CCM isn't set to let the tainted one lead.
 
Anna Kilango alishawahi kuwa waziri siku za nyuma, kuna wenye kumbukumbua hapa watatuambia awapu ipi. Sikumbuki kabla hajafunga ndoa na Malecela baada ya Malecela kumtilekeza Tatu Ntimizi aliyekuwa Mbunge huko Mkoani Tabora au baada ya hapo.
Anna Kilango hajawahi kuwa waziri wala Naibu Waziri katika awamu yoyote ile.
 
What record Mwinyi, Kikwete and Mkapa had in their times that qualified them presidents? I hope you are not talking about satanic record similar to those of Chenge Lowassa Rostam Karamagi Muhongo Werema and the likes. The country wants a president with moral authority to fight corruption and defend natural resource for the interest of the country as a whole. The past administrations proved failure with these regards as demonstrated by endless scandals of EPA and Richmond style. I am certain CCM isn't set to let the tainted one lead.

Ukitaka kumpakazia mtu hata jema unaweza ukaligeuza likawa baya na ukitaka kumpamba mtu hata baya litakuwa jema, mfano Slaa na uzinifu na kupora mke wa mtu, ni jema hilo? lakini magwanda yupi anaekubali kuwa huo ufisadi mkubwa wa maadili?

Same thing EPA, Kikwete kaliibua hilo, lilianzia toka awamu za nyuma, kafanya wema kabisa na kaanza kwa kufanya jitihada fedha zirudi tena kwa kushauriwa na mtaalam wa mambo ya fedha, CAG, lakini watu wanampakazia kuwa ni ubaya wake!

Upo hapo ulipo MgonjwaUkimwi?
 
Last edited by a moderator:
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....

Rais amefanya kazi yake within his mandate nayo ni kuteua mawaziri na manaibu wao, si kazi ya rais kupromote timu zinazogombea urais kwa kuzizawadia urais kamili

Its a shallow analysis coming from mtu kama wewe
 
boss labda amemwacha ili ampe muda wa kujipanga ktk kampeni zake badala ya kumpa wizara nzima ikaingilia mikakati yake. fikiria angempa wizara ya Madini kwa sasa. kijana angelalamika majukumu kumpunguzia muda wa kampeni na kujipanga
 
Last edited by a moderator:
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

Kwani January ni nani kwa JK, mwanae hadi kila wakati awe anambeba? Mbona Mwigulu Nchemba amebaki kuwa Naibu Waziri na wala hujauliza kwa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom