Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Mimi ni kijana ila siko tiyar kuongozwa na akili ndogo za huyo dogo, ni bora akomae kwanza ki maadili na ki akili, atleast 15 years. Hawa viongozi vijana wana munakali za mademu na visasi tu , NO BARIN AT ALL IN BUILDING AND UNITING THE NATION.
 
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....

Kilango ana uzoefu na uwaziri, alishwawahi kuwa waziri awamu zilizotangulia kisha akawekwa kiporo awamu hii. Wakati alishakuwa waziri kamili kisha baadaye kuteuliwa kuwa naibu waziri naona kama haiingii akilini, ningekuwa mie ningesema nampisha mwingine.
 
Are you sure?

Anne Kilango alishawahi kuwa waziri? Pasco ......hii mbona ni news kwangu pia
 
Last edited by a moderator:
January Makamba, nadhani hiyo post ya Unaibu Waziri inamtosha
 
January hata huo unaibu waziri nafikiri ni fadhila tu ambazo mkuu kamuonyesha baba yake
 
Meaning?
huoni kama kuna kampeni ya media na watabiri washanunuliwa kumsaidia?

Basically you are trying to find or attach a different meaning to January not being promoted when there are others who didn't also.

Him not getting promoted is not a disqualifier to seek his party's nomination.
 
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Sijui kuhusu Membe ila mtu wa Foreign Affairs atakuwa mgombea. This is not a dream, it's a historical fact. CCM hawatashindwa ku-deliver 51%.
Historical fact my foot! Wakati Mwinyi anateuliwa kugombea Uraisi wa TZ hakutokea Foreign Affairs na hajawahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania katika maisha yake yote. Mwaka 1995, alipochaguliwa kuwa Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje alikuwa Mh. Joseph Rwegasira. Wafuatao ndio wamewahi kukamata huo wadhifa Tanzania;

Mh.OscarKambona19631966_250_310_s_c1.jpg

Oscar Kambona (1964 - 1966)

Mh.ChedielMgonja19671969_250_310_s_c1.jpg

Chediel Mgonja (1967 - 1969)

Mh.StephenMhando19691970_250_310_s_c1.jpg

Stephen Mhando (1969 - 1970)

Mh.IsraelElinawinga19711972_250_310_s_c1.jpg

Israel Elinewinga (1971 - 1972)

Mh.JohnMalecela19721974_250_310_s_c1.jpg

John Malecela (1972 - 1974)

Mh.IbrahimKaduma19751976_250_310_s_c1.jpg

Ibrahim Kaduma (1975 -1976)

Mh.BenjaminWilliamMkapa1977198019841990_250_310_s_c1.jpg

Benjamin Mkapa (1977 - 1980 & 1984 - 1990)

Mh.Dkt.SalimAhmedSalim19811984_250_310_s_c1.jpg

Dr. Salim Ahmed Salim (1981 - 1984)

Mh.HassanDiria19911992_250_310_s_c1.jpg

Ali Hasan Diria (1991 - 1992)

Mh.JosephRwegasira19931995_250_310_s_c1.jpg

Joseph Rwegasira (1993 - 1995)

Baada ya Rwegasira alifuatia Jakaya Kikwete (1995 - 2005), Asha Rose Migire (2006 -2007) na kwa sasa Bernard Membe. Hiyo ya asilimia 51% au CCM kutoshindwa ni kwa sababu moja tu...CCM ni mtunga sheria, mwamuzi na mchezaji vyote kwa pamoja. Mwaka 2010 pamoja na kupata asilimia 25% ya waliojiandikisha kupiga kura, bado CCM ilitangazwa mshindi. Wimbo mpya ni wa CCM kuwa madarakani kwa miaka 100 ijayo...ni kweli silaha zipo kuhakikisha hilo!
 
Are you sure?

Anne Kilango alishawahi kuwa waziri? Pasco ......hii mbona ni news kwangu pia

Anna Kilango alishawahi kuwa waziri siku za nyuma, kuna wenye kumbukumbua hapa watatuambia awapu ipi. Sikumbuki kabla hajafunga ndoa na Malecela baada ya Malecela kumtilekeza Tatu Ntimizi aliyekuwa Mbunge huko Mkoani Tabora au baada ya hapo.
 
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Sijui kuhusu Membe ila mtu wa Foreign Affairs atakuwa mgombea.

This is not a dream, it's a historical fact. CCM hawatashindwa ku-deliver 51%.

Mwinyi hajawahi kuwa foreign, usipotoshe!
Halafu hiyo hadithi ya foreign ni coincidence tu! Hakuna uhalisia hapo, ndo maana hata Nembe mwenyewe anajua hawezi kuwa rais wa TZ coz hajaoteshwa.
 
Makes sense, Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote walitokea hukohuko. I'd rather say intelligence.

Usipotoshe, mwinyi hajawahi kuwa foreign iwe ubalozi au hata uafisa wa ubalozi achilia mbali uwaziri.
 
Mwinyi hajawahi kuwa foreign, usipotoshe!
Halafu hiyo hadithi ya foreign ni coincidence tu! Hakuna uhalisia hapo, ndo maana hata Nembe mwenyewe anajua hawezi kuwa rais wa TZ coz hajaoteshwa.

mkuu nasikia ashawahi kuwa balozi misri...
 
Anna Kilango alishawahi kuwa waziri siku za nyuma, kuna wenye kumbukumbua hapa watatuambia awapu ipi. Sikumbuki kabla hajafunga ndoa na Malecela baada ya Malecela kumtilekeza Tatu Ntimizi aliyekuwa Mbunge huko Mkoani Tabora au baada ya hapo.
Kilango hajawahi kuwa waziri Kama sijakosea alikuwa anafanya ubalozi kabla ya ubunge.
 
Mwinyi hajawahi kuwa foreign, usipotoshe!
Halafu hiyo hadithi ya foreign ni coincidence tu! Hakuna uhalisia hapo, ndo maana hata Nembe mwenyewe anajua hawezi kuwa rais wa TZ coz hajaoteshwa.
Ndiyo maana kabla ya mechi hupewa historical facts. Kwa mfano, timu x imeshinda mara zote inpocheza uwanja y wakati wa msimu z.
It's a historical fact na huwa inatumiwa ku-bet etc.... ni bora Zaidi ya kudhani tu kwa sababu unapenda matokeo Fulani.

Kuhusu Mwinyi, sina muda .... chukua time!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom