Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Wewe nawe ...! yaani Kikwete ndo anatuchagulia rais? Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Profesa Daktari Luteni Kanali Mchumi Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushirikiana na watanzania wengine kupitia mchakato wa uchaguzi tena kwenye sanduku la kula ndiyo watakaotuchagulia Rais ajae.

Again naona tunashindwa kuelewana
NEC ya CCM ambayo Kikwete ni mwenyekiti ndio inayo amua majina gani
ya wanaotaka urais ya kukatwa na yapi yapelekwe mkutano mkuu wa mwisho kuchagua mgombea

Ndo maana kina Sumaye walikatwa na Mkapa 2005......

Kama Rais atatoka CCM basi NEC ya CCM ndio inatuchagulia Rais
na itakae mkata jina lake ndio basi
 
Kwa sentensi hii...'kama atatoka CCM....,' hapo ndo tumeelewana.

Kwani unafikiri atatoka wapi?
hata kama watu wengi hawaipendi CCM bado kwa wizi wa kura watajitangaza washindi

hatuna historia ya wapinzani kushinda

tazama Zambia na Malawi.....huko atakaeshinda ndo anapewa urais hata kama mpinzani
 
Basically you are trying to find or attach a different meaning to January not being promoted when there are others who didn't also.

Him not getting promoted is not a disqualifier to seek his party's nomination.

ur damn right
 
Ukitaka kumpakazia mtu hata jema unaweza ukaligeuza likawa baya na ukitaka kumpamba mtu hata baya litakuwa jema, mfano Slaa na uzinifu na kupora mke wa mtu, ni jema hilo? lakini magwanda yupi anaekubali kuwa huo ufisadi mkubwa wa maadili?

Same thing EPA, Kikwete kaliibua hilo, lilianzia toka awamu za nyuma, kafanya wema kabisa na kaanza kwa kufanya jitihada fedha zirudi tena kwa kushauriwa na mtaalam wa mambo ya fedha, CAG, lakini watu wanampakazia kuwa ni ubaya wake!

Upo hapo ulipo MgonjwaUkimwi?

Kwa hiyo na wewe umeamua kumpamba siyo!!? .............................. Tatizo hapambiki. Watanzania siyo vipofu. hayo yate unayoyasema wangeyaona. Waswahili walishasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ................. No wonder kila siku mko jukwaani kumtetea mheshimiwa lakini bado. Unfortunately, nyinyi mnajaribu kuwabumbaza Watanzania wa-concentrate na huo ufisadi wa Silaa wa kupora mke wa mtu ili wasahau mafisadi wa rasilimali zetu ............... it won't happen. Kama ufisadi wa ngono ni issue ungeenda Dodoma wakati wa Bunge uone wabunge wanavofanyia kazi dada zetu wa Singida.

Your point could have had hold water if JK could have taken actions against the calprits!! But unfrotunately he didn't and he will never do that!
 
Kumpamba nani? hebu andika ueleweke.
 
What record Mwinyi, Kikwete and Mkapa had in their times that qualified them presidents? I hope you are not talking about satanic record similar to those of Chenge Lowassa Rostam Karamagi Muhongo Werema and the likes. The country wants a president with moral authority to fight corruption and defend natural resource for the interest of the country as a whole. The past administrations proved failure with these regards as demonstrated by endless scandals of EPA and Richmond style. I am certain CCM isn't set to let the tainted one lead.

Mkuu za siku nyingi?

Nipo kaka usinisahau kwenye utukufu wako naona mambo yananukia!

Sijabadili namba ni ile ile!
 
Rudia kusoma vizuri, jina lipo hapo. Usijibaraguze ..................... and refer to your post "ukitaka kumpamba mtu hata baya litakuwa jema"

Sijaona jina katazame tena. Sema, kumpamba nani?
 
Red: Mkuu hii nilikuwa sijaipata ebu fafanua mkuu.

mkuu huyu gaidi muuaji nchemba alikuwa anajitangazia alipata first class g.p.a in economics undergraduate until and after his transcript got exposed here,guess what?!!!ana gpa ya 4.1,sijui chuo gani duniani first class inaanzia 4.1..hii ni upper second.
 
Again naona tunashindwa kuelewana
NEC ya CCM ambayo Kikwete ni mwenyekiti ndio inayo amua majina gani
ya wanaotaka urais ya kukatwa na yapi yapelekwe mkutano mkuu wa mwisho kuchagua mgombea

Ndo maana kina Sumaye walikatwa na Mkapa 2005......

Kama Rais atatoka CCM basi NEC ya CCM ndio inatuchagulia Rais
na itakae mkata jina lake ndio basi

Hapana, sumaye akukatwa na mkapa ila watu tunasahau mapema, wajumbe wa nec walikuwa 3000 kuchuja wagombea 10 ila malecela alijitoa wakabaki 9, kumbukumbu zangu ni hizi top 5 ya 2005
1.Salim salim
2.Jakaya kikwete
3.Mark mwandosya
4.Fredic sumaye
5.Abdallah kigoda

baada ya wajumbe 3000 wa ccm kupiga kura ya top 3 matokeo yakawa haya
1.salim h salim
2.jakaya kikwete
3.mark mwandosa
NB.Sumaye alichujwa na wajumbe na siyo mkapa
 
Huhitaji kuwa umebobea kwenye masuala ya kisiasa kujua kuwa Makamba Junior ni kenge katika msafara wa mamba.... Unachohitaji kufanya ni kuangalia hotuba zake tu kwa makini..........
Kimsingi ni kwamba uraisi si size yake hasa kwa Tanzania ya Leo yenye changamoto lukuki......bado sana
 
Wapi nemesema amzawadie Urais?
hapa point ni kuwa kama January anayo support ya Kikwete or not
na kama hana hiyo support je efforts zingine zote zitamlipa?
Kikwete ana veto kwenye nani awe Rais na nani asiwe

Kikwete hana mamlaka ya kuamua kuwa nani awe raisi...isipokuwa ni mtoa maoni kama ulivyo Mimi na wewe..... Wenye kuamua kuwa Nani awe raisi ni wapiga kura....over...
 
Again naona tunashindwa kuelewana
NEC ya CCM ambayo Kikwete ni mwenyekiti ndio inayo amua majina gani
ya wanaotaka urais ya kukatwa na yapi yapelekwe mkutano mkuu wa mwisho kuchagua mgombea

Ndo maana kina Sumaye walikatwa na Mkapa 2005......

Kama Rais atatoka CCM basi NEC ya CCM ndio inatuchagulia Rais
na itakae mkata jina lake ndio basi

Kwa hiyo unataka kusema kuwa CC Hakuna uchaguzi unaofanywa na wanakamati ili kumpata mgombea isipokuwa wanategemea kauli ya mwenyekiti ndio iamue....???
Je nitakuwa nimekosea nikisema kuwa hakuna demokrasia ndani ya CCM ukiwa huu ndio utaratibu wao.....???
 
Huhitaji kuwa umebobea kwenye masuala ya kisiasa kujua kuwa Makamba Junior ni kenge katika msafara wa mamba.... Unachohitaji kufanya ni kuangalia hotuba zake tu kwa makini..........
Kimsingi ni kwamba uraisi si size yake hasa kwa Tanzania ya Leo yenye changamoto lukuki......bado sana

umenena kaka, hao vijana woooote akina Kigwa.., Mwigu, Nyala, na Januar wanatengeneza mazingira ya kesho lkn si leo.
 
Makamba sidhani kama anataka uraisi mwaka huu. Anajijenga kisiasa tu. hana uwezo!!
 
Again naona tunashindwa kuelewana
NEC ya CCM ambayo Kikwete ni mwenyekiti ndio inayo amua majina gani
ya wanaotaka urais ya kukatwa na yapi yapelekwe mkutano mkuu wa mwisho kuchagua mgombea

Ndo maana kina Sumaye walikatwa na Mkapa 2005......

Kama Rais atatoka CCM basi NEC ya CCM ndio inatuchagulia Rais
na itakae mkata jina lake ndio basi

Inayokata majina ni CC. Usiwalishe wenzio matango pori bwana. NEC ya CCM haina kazi ya kukata majina. Yenyewe inapigia kura watu watano wabaki watatu. Hao watatu ndio majina yao yanaenda kupigiwa kura kwenye mkutano mkuu kumpata mshindi mmoja ambaye ndie mgombea wao.Unless kama kuna utaratibu mpya.
 
January Makamba the way I perceive him to be eloquent. He is more less like his father Makamba, excellent at playing with words, but he has nothing substantial to offer to the citizen of this country!

He is a one term MP but ambitious. He needs to go back to his constituency to first and foremost get re-elected to prove his political might at constituency level running for the highest office in the land.

Mkuu! Shiiiiiiii usiseme hivyo wenyewe (akina Makamba, Nyalandu, Mwigulu et all) wakaja wakakusikia ikawa shida🙂.

Kwani hujawasikia vijana wenyewe wanavyojitapa? tena wakiongea kwa kiingereza chao kigumu. Wanakwambia eti 'role model' wao ni Barack Obama, a one term, young freshman Senator from Chicago who survived a bruising and complex party nomination battle with the more experienced and final won the most tough presidential race in the history of United States of America... just like that!

Sasa inayompa kijana hayo ma confidence ni hiyo 'just like that' na ndio maana hata dogo Makamba, one term MP in Tanzania parliament anajiona kuwa anaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom