Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Ukitaka kumpakazia mtu hata jema unaweza ukaligeuza likawa baya na ukitaka kumpamba mtu hata baya litakuwa jema, mfano Slaa na uzinifu na kupora mke wa mtu, ni jema hilo? lakini magwanda yupi anaekubali kuwa huo ufisadi mkubwa wa maadili?

Same thing EPA, Kikwete kaliibua hilo, lilianzia toka awamu za nyuma, kafanya wema kabisa na kaanza kwa kufanya jitihada fedha zirudi tena kwa kushauriwa na mtaalam wa mambo ya fedha, CAG, lakini watu wanampakazia kuwa ni ubaya wake!

Upo hapo ulipo MgonjwaUkimwi?
how in the world you negotiate with embezzlers/thieves...rais wa kwanza duniani kuwaomba wezi warudishe hela waliyoiba halafu wasamehewe,it happened one of them ni rostam aziz na kagoda yake,the partner in crime!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kifupi tu rais anajuta hata kumpa huo unaibu, huyu ni mwizi wa mitihani leo awe waziri kamili au rais si majanga hayo, JK asingependa kabisa
 
Ukitaka kumpakazia mtu hata jema unaweza ukaligeuza likawa baya na ukitaka kumpamba mtu hata baya litakuwa jema, mfano Slaa na uzinifu na kupora mke wa mtu, ni jema hilo? lakini magwanda yupi anaekubali kuwa huo ufisadi mkubwa wa maadili?

Same thing EPA, Kikwete kaliibua hilo, lilianzia toka awamu za nyuma, kafanya wema kabisa na kaanza kwa kufanya jitihada fedha zirudi tena kwa kushauriwa na mtaalam wa mambo ya fedha, CAG, lakini watu wanampakazia kuwa ni ubaya wake!

Upo hapo ulipo MgonjwaUkimwi?

Huyu siyo kada tuu ni mwenyekiti wa ccm usa poleni sana wacheni kale kamchezo mnachocheza Tanzania msipeleke huko kwa wenzetu
 
Last edited by a moderator:
how in the world you negotiate with embezzlers/thieves...rais wa kwanza duniani kuwaomba wezi warudishe hela waliyoiba halafu wasamehewe,it happened one of them ni rostam aziz na kagoda yake,the partner in crime!!!!

Soma:

"Kwanza niseme kwamba aliyetoa pendekezo kwa serikali kwamba iwabane walioiba fedha za EPA wazirudishe kwanza kabla ya kufuata mikondo ya kisheria ni mimi. Hela kurudi ni jambo la muhimu sana.

"Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani.

"Watu wanaolalamika kuhusu wezi wa EPA wanafanya hivyo kana kwamba watu walirudisha fedha na wakaachiwa jambo ambalo si la kweli. Hela zilirudi na bado kesi zikaendelea mahakamani na zinaendelea hadi hivi leo tunavyozungumza.

"Hivi kuna tatizo gani kama mtu atarejesha fedha aliyochukua? Huyu mtu unaweza kumkuta na hatia na ukampeleka jela lakini akifika kule atakula na kulala bure kwa gharama za walipa kodi. Kama atalipa fedha alizoiba, ndizo fedha hizohizo zitatumika kumhudumia.

"Ninachosema hapa, kitu kizuri ni kipi? Kuendelea na kesi kwa miaka mingi na huku ukitumia fedha za umma kuzihudumia au angalau kushinikiza kwanza hela zilizochukuliwa zirudishwe na kesi zikaendelea kama kawaida?

"Kutaka hela zirudishwe haina maana hata kidogo ya kusamehe watuhumiwa bali maana yake ni kuhakikisha kile kilichochukuliwa kinapatikana kwanza," alisema Utouh.

Chanzo: Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Sasa wewe unaweza kushindana na reasoning ya wenye kufikiri? Ulitaka zisirudi? ndiyo hapo roho inapokuuma? au kuna mjomba'ko?
 
Soma:

“Kwanza niseme kwamba aliyetoa pendekezo kwa serikali kwamba iwabane walioiba fedha za EPA wazirudishe kwanza kabla ya kufuata mikondo ya kisheria ni mimi. Hela kurudi ni jambo la muhimu sana.

“Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani.

“Watu wanaolalamika kuhusu wezi wa EPA wanafanya hivyo kana kwamba watu walirudisha fedha na wakaachiwa jambo ambalo si la kweli. Hela zilirudi na bado kesi zikaendelea mahakamani na zinaendelea hadi hivi leo tunavyozungumza.

“Hivi kuna tatizo gani kama mtu atarejesha fedha aliyochukua? Huyu mtu unaweza kumkuta na hatia na ukampeleka jela lakini akifika kule atakula na kulala bure kwa gharama za walipa kodi. Kama atalipa fedha alizoiba, ndizo fedha hizohizo zitatumika kumhudumia.

“Ninachosema hapa, kitu kizuri ni kipi? Kuendelea na kesi kwa miaka mingi na huku ukitumia fedha za umma kuzihudumia au angalau kushinikiza kwanza hela zilizochukuliwa zirudishwe na kesi zikaendelea kama kawaida?

“Kutaka hela zirudishwe haina maana hata kidogo ya kusamehe watuhumiwa bali maana yake ni kuhakikisha kile kilichochukuliwa kinapatikana kwanza,” alisema Utouh.

Chanzo: Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Sasa wewe unaweza kushindana na reasoning ya wenye kufikiri? Ulitaka zisirudi? ndiyo hapo roho inapokuuma? au kuna mjomba'ko?

unaniwekea maneno ya utoh...jk alichosema ni tofauti na hiki ulichoweka hapa..kagoda ya ccm haikurudisha hata mbuni....
 
niliposema mvuto sikumaanisha the man(membe)should have a sex appeal,understand me black man,..membe has no record,ya kiutendaji ambayo inaweza kuwa reference point ya kumnadi,we humuoni nchemba anakuja na upuuzi kama kuokoa mabilioni ya mishahara hewa bila kutaja majina ya ghost workers!!!

mbali na hivo he is pointless infront of the voters, hana karisma ya kukubalika na wananchi, too womanish apearance, sorry for saying all
 
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....

january bado sana, he has a long way to go before standing for a presidential position, only angetulia at this time ajijenge, sidhani kama ni muda sahihi kwake kusimama kwa nafasi ya urais, otherwise watu wameshaanza kumchoka na porojo zake kabla hata hajachukua fomu ya kugombea
 
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....
The Boss umesahau sera ya "mwenzetu" CCM, January anaonekana kabisa kujipambanua kama mchukia rushwa, kijana na mpenda mabadiliko...anapewaje nafasi huko wakati mchana tuko naye usiku yu mpiganaji na mpambanaji...

Tupa kule....
 
Last edited by a moderator:
Tanzania ya sasa ina changamoto nyingi,inamuhitaji kiongozi mwenye uwezo wa kuzigeuza changamoto hizi kuwa fursa,hatuhitaji mtu wa kulalamika kila uchwao.TZ inahitaji kiongozi mwenye kufikirisha kichwa chake ili kuyapatia suluhisho matatizo yaliyopo,vichwa visivyo waza na kuchemsha bongo havina nafasi,sioni nafasi ya January na siuoni uwezo wake katika kuijenga Tanzania mpya.
 
Urais wa nchi ni zaidi ya kuvaa suti ikakupendeza,ni zaidi ya kunyanyua kwapa kwa kujiboost,ni zaidi ya kusifiwa na wapambe njaa,wachumia tumbo na wasaka maslahi,ni zaidi ya propaganda,ni zaidi ya matamanio ya ukubwa na kupigiwa mizinga 21.January tafadhali jifungie peke yako chumbani na ujitazame kwenye kioo na jiulize je mimi nafaa kuwa rais wa TZ? jijibu bila kujiongopea huku ukiakisi mzigo unaotaka kuubeba ilhali uwezo wa kuubeba huna.
 
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....

Jk si rafiki Wa kumwamini hata siku moja.
 
Huwezi sifia uzuri wa njia kama hujaipita,uzuri wa chakula kama hujakila wala huwezi sifia hekima na busara za mtu kama hujaziona. ni ukweli uliowazi kuwa kiongozi asiyezijua kero na shida wanazokabiliana nazo watanzania hawezi kuwa kiongozi mzuri.january haijui shida ina rangi gani?,wala hajui kulala na njaa kukoje na kunafananaje? na wala hajui anaekosa ajira anakosaje? imagine umemaliza form six halafu unaibukia kambi ya wakimbizi kama operation clerk kwenye mkoa ambao baba yako ni mkuu wa mkoa,baba anahamia dar wewe unaruka kusoma amerika.baba anakuwa katibu mkuu wa chama wewe unarudi kuwa mwandishi wa habari wa rais,baba anajianda kustaafu anakuweka pazuri kwa kuhakikisha unapewa ubunge tena kwa baba ambaye ni katibu mkuu kumwamuru katibu wa wilaya unayogombea akubebe kwa kuweka matawi hewa na kugawa kadi feki ili uongoze kwa kura feki,umeshinda ubunge baba KM mstaafu anakwenda kwa aliyemsaidia kupata urais kuomba akubebe angalau nawe upate unaibu.Hivi kwa mazingira haya huyu ataweza kuiongoza nchi hii,nchi yenye changamoto zilizopea kuliko umri wake? Urais sio usanii,sio ngonjera wala kwaya,yatupasa kumpima mtu tunayempa dhamana.
 
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Sijui kuhusu Membe ila mtu wa Foreign Affairs atakuwa mgombea.

This is not a dream, it's a historical fact. CCM hawatashindwa ku-deliver 51%.
Mwinyi alikuwa "foreign"???? tehe tehe tehe!!
 
Rais amefanya kazi yake within his mandate nayo ni kuteua mawaziri na manaibu wao, si kazi ya rais kupromote timu zinazogombea urais kwa kuzizawadia urais kamili

Its a shallow analysis coming from mtu kama wewe

Wapi nemesema amzawadie Urais?
hapa point ni kuwa kama January anayo support ya Kikwete or not
na kama hana hiyo support je efforts zingine zote zitamlipa?
Kikwete ana veto kwenye nani awe Rais na nani asiwe
 
ana skandali ya kuiba pepa la necta hadi kufutiwa matokeo huyu....mwigulu kashfa ya umri na gpa,zitto ananuka rushwa na usaliti,membe hana mvuto,migiro is unpopular,yani watu wa jk wote hawauziki.!!!

Red: Mkuu hii nilikuwa sijaipata ebu fafanua mkuu.
 
Wapi nemesema amzawadie Urais?
hapa point ni kuwa kama January anayo support ya Kikwete or not
na kama hana hiyo support je efforts zingine zote zitamlipa?
Kikwete ana veto kwenye nani awe Rais na nani asiwe

Wewe nawe ...! yaani Kikwete ndo anatuchagulia rais? Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Profesa Daktari Luteni Kanali Mchumi Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushirikiana na watanzania wengine kupitia mchakato wa uchaguzi tena kwenye sanduku la kula ndiyo watakaotuchagulia Rais ajae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom