Kikwete anamchanganya nini Mengi?

Hawa ni wale so-called investors wananataka kuja mifuko mitupu waondoke na gunia la pesa.Zile zama za kila kitu kujibu ''yes sir'' zimepita,wamekutana na B Mengi ni mwelewa wa mambo na anamsimamo thabiti wakapa majibu wasio tazamia.

Kama hata wameshindwa kulipa mawakili zaidi ya "no win no fee" ambao wanatumiwa na lower and middle class wangepata wapi pesa za kuwekeza kwenye hilo shamba?
 
sitoshangaa bwana zumbukuku atakapo ulizwa kuhusu hili sakata atasema HAJUI na kicheko cha kishangingi juu
 
Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.

Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.

Ila kama ni kweli, Tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then Uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa China, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.
Waende zao!.
Naomba nipingane na wewe kuhusu hili la Silverdale, lile shamba baada ya kuingia Middleton alilitransform sana, akawa anacontract mpaka makampuni makubwa ya mbegu za mahindi kama SeedCo, nk. Alikuwa anafanya massive exports ya baby corns kwenda nje pamoja na French Beans.

Aliajiri watu wengi sana around that area. Nenda sasa baada ya kufukuzwa mpaka vyoo alivyojenga mashambani kwa ajili ya wafanyakazi wake vimeng'olewa masinki na mabati yameondoka. Its back to square one.

Kuna wawekezaji wahuni lakini yule mzee alijitahidi sana kuwekeza kwa faida. Kwa hilo serikali ya Tanzania ilifanya uonevu wa wazi wazi, mbona hawafanyi hivyo kwa akina Barrick.
 
Westerners wameanza kumdonyoa Kikwete kidogo kidogo mwisho atajikuta anachukiwa kama Mugabe yangu macho na muda.
 
shamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
Shamba la Silvadale na Mbono lipo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro na Benjamini Mengi ni ndugu yake na Reginard Mengi
 
Westerners wameanza kumdonyoa Kikwete kidogo kidogo mwisho atajikuta anachukiwa kama Mugabe yangu macho na muda.

kuchukiwa tu?? hiyo haitoshi..wata mgadafi na kumfededa hovyo hovyo tena mbele za watu na watotot wanashuhudia..unaikumbuka ile picha ya ze utamu???
 
Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.

Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.

Ila kama ni kweli, Tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then Uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa China, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.

Waende zao!.

Wamestukia serikali yetu dhaifu sasa wanataka kuitishia nyau!! Subiri majibu ya Membe oune.

Hapo Pasco uenena. Haya mambo ya kukumbatia wazungu tu kila siku yamepitwa na wakati. Siku hizi kuna alternative nyingi tu, China , Korea, Malasiya, Brazil...... (in short BRICK countries). Hizo nchi za BRICK ni lahisi kunegotiate deal kuliko hao G7. Mfano mzuri ni Zambia. Sata kaingia juzijuzi tu Mchina kabadili wimbo. Mishahara kwenye Shaba ikapanda kwa zaidi ya 100 % na sasa wananegotiate deal la shares. Sisi bado tunang'ang'ania loyallity ya 4 % na serikali inajisivu imepata deal!!!

Mungu ibariki Tanzania.
 
kuchukiwa tu?? hiyo haitoshi..wata mgadafi na kumfededa hovyo hovyo tena mbele za watu na watotot wanashuhudia..unaikumbuka ile picha ya ze utamu???
Hawa watu achana nao kabisa wanatafuta sababu ya kuingilia nahisi kuna kitu hakiendi sawa guess what inasemekana tanzania ina host Al Shabaab Kenya wameanza kulalamika.
 
Mr Roger Gale (North Thanet) (Con): Speaking in Australia this week, President Kikwete of Tanzania urged investors in his country to reinvest the profits from their companies in his country. Unfortunately, as the Foreign and Commonwealth Office well knows, he is the same President Kikwete who is in thrall to the media baron Reginald Mengi and who has done nothing to give satisfaction to my constituents Sarah and Stewart Hermitage, whose farm in Tanzania was stolen from them by Mr Mengi’s brother. Could we have a debate in Government time to discuss not only the joys but the dangers of investing in Tanzania?
 
Sir George Young: I am sorry to hear about that loss of property on the part of my hon. Friend's constituents. I shall certainly raise the issue with the Foreign and Commonwealth Office-the FCO Minister for Europe, my right hon. Friend the Member for Aylesbury (Mr Lidington), is in his place at the moment-and see whether there are any representations it can make to get justice for the people whose property was confiscated.
 
Hawatusaidii lolote hao waingereza ni heri tusijuane maana wanatajirika kupitia rasilimali zetu bado wanataka sisi ndo tuwanyenyekee, naona waishie tu, hatuna cha kupotez

mpoteze mara ngapi mkuu. nchi mshauza. muwanyenyekee musiwanyenyekee yote ni yaleyale tu.
 
Nafumba macho na-imagine jinsi president K, alivyokuwa anasoma karatasi la hotuba yake kwenye hiyo forum!! Toka alivyoanza kulia lia, mi sijawaho ona tofauti...

Acha afanye zake shopping aje kwenye giza letu...
 
ha ha ha woz thinking the same ! Sidhani kama anaelewa anachoandikiwa kwenye hotuba.
 
Hawa ni wale so-called investors wananataka kuja mifuko mitupu waondoke na gunia la pesa.Zile zama za kila kitu kujibu ''yes sir'' zimepita,wamekutana na B Mengi ni mwelewa wa mambo na anamsimamo thabiti wakapa majibu wasio tazamia.

Kama hata wameshindwa kulipa mawakili zaidi ya "no win no fee" ambao wanatumiwa na lower and middle class wangepata wapi pesa za kuwekeza kwenye hilo shamba?
Asante sana babu M.
Watanzania tuamke.
Si kila mzungu anaweza kuwekeza, wengine ni wakora tu wanaojaribu bahati zao Afrika wakifikiri kila mtu ni mjinga na amelala!
Nampongeza Mengi na nduguze kwa kuwatolea nje vibaka hao.
Mimi mwenyewe nina experience kama hiyo baada ya kuwaalika "wawekezaji" toka DENMARK.
Kwa upande wangu nili offer kiwanja kikubwa hapa Dar ili tujenge nyumba za bei nafuu.
Kukutana na hao jamaa kulifadhiliwa na serikali yao.
Hapo ndo kioja kikaanza , maana kumbe jamaa ni makabwela tu, na ili kuidai hela serikali yao wakaanza kujaza mafomu mengi kuwa wanatu-train.
Hapo nikaja juu na kuwatolea nje,nikawaambia kama hamna access to finance, tafuteni mlango wa kuondokea.
Wakaondoka kwa malalamiko mengi sana.
Watanzania tusiibiwe na huku macho yetu yako wazi.
Si kila mzungu ni muwekezaji. wengine matapeli.
 
Back
Top Bottom