Kikwete anamchanganya nini Mengi?

Kikwete anamchanganya nini Mengi?

Kweli kabisa mkuu, waende zao.

Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.

Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.

Hata hao mnaosema WACHINA nao watawakimbia kwani nao mmekwishaanza kuwaua!! Mmkweree anatembea dunia nzima kwa starehe zake kwa kisingizio eti anatafuta wawekezaji.

Wawekezaji wa uhakika wakija kama wale wa TWIGA CEMENT mnaanza kuleta mambo ya siasa badala ya kufuata sheria, hivyo basi kwa kutofuata sheria za nchi na kuziheshimu serikali inapoteza fedha bure kufanya promotions za investors kwani hawawezi kuja because of unfavourable investment climate!! Hata hao waliopo nao watafunga virago kwamfano hao wa kiwanda cha cement wamesitisha upanuzi wa kiwanda ambao ungegharimu $100 million.

Hawa vilaza wa serikali yetu hawaoni hasara ya kukosa mapato kutokana na huo mradi kuhamishiwa Congo sababu ya ujinga wao!!
 
Mimi nilifuatilia kesi ile na kusoma nyaraka zote zilizopatikana zikiwemo za kutaka kutumia utajiri wa reginald Mengi ili wajinufaishe kwenye mgogor ule, nikagundua hao ni wababaishaji sana. Walihangaika hadi kule Coca Cola ili kumfungia Mengi ile franchise ya Bonite Bottlers wakakwa, wakakimbilia Word bank ili wazuie msaada uliokuwa umetolewa na benki hiyo kwa makampuni ya IPP, pia wakakwama.

Ukweli ni kuwa watu wale walikuwa wababaishaji tu, siyo wawekezaji, kwani walishindwa kufikia malipo ya dola 120,000 walizokuwa wamekubaliana kuwa ziwe zimelipwa kabla ya mwezi november, wakalipa kidogo kidogo hadi siku ya mwisho wa makubaliano bado walikuwa wanadaiwa kama dola 20,000 hivi waliozlipa karibu wiki moja baada ya siku ya mwisho ya makubaliano kuwa imepita.

Mimi ninasema hivi, "LET them KEEP their England, and we will keep our BONGO."
Siwatetei waingereza lakini wa mbili ni wa mbili tu huwezi kumsusia.
 
Hata hao mnaosema WACHINA nao watawakimbia kwani nao mmekwishaanza kuwaua!! Mmkweree anatembea dunia nzima kwa starehe zake kwa kisingizio eti anatafuta wawekezaji.

Wawekezaji wa uhakika wakija kama wale wa TWIGA CEMENT mnaanza kuleta mambo ya siasa badala ya kufuata sheria, hivyo basi kwa kutofuata sheria za nchi na kuziheshimu serikali inapoteza fedha bure kufanya promotions za investors kwani hawawezi kuja because of unfavourable investment climate!! Hata hao waliopo nao watafunga virago kwamfano hao wa kiwanda cha cement wamesitisha upanuzi wa kiwanda ambao ungegharimu $100 million.

Hawa vilaza wa serikali yetu hawaoni hasara ya kukosa mapato kutokana na huo mradi kuhamishiwa Congo sababu ya ujinga wao!!
Ndinani, nakubaliana na wewe, ninachopinga mimi, ni hii ya just one isolated kesi ya two individual people kudhulumiana, halafu kutaka kuturnish image ya nchi bungeni kwao ndio maana nikaseme waende zao.

Ila tukirudi klwenye hiyo kesi, nami nimeifuatilia kama wewe, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kweli hao wazungu kina Middleton ni wawekezaji uchwara, ila hizo pauni 100,000 ni pesa kweli, sio pesa uchwala, maana walizileta na wakaziwekeza, hiyo ni haki yao, walipwe haki yao na riba yake, tuachane nao kwa amani.

Hiyo ni kama issue ya dowans, Richmond ilikuwa kampuni hewa, hivyo mkataba wa kampuni hewa ni batili, kwa maana hiyo, Dowans, wamerithi kampuni hewa na mkataba batili, lakini yale majereta, ni majereta kweli, sio majereta hewa wala batili, na umeme uliofuliwa ni umeme kweli, sio umeme hewa wala umeme batili, hivyo ile tozo ya ICC ni klufidia genereta kweli na umeme kweli ulifuliwa na tulioutumia, lazima tulipe, piga ua galagaza, deni lazima tutalipa, hivyo Benjamin Mengi kuwatendea haki kina Middleton, azilipe zile pauni zao 100,000 walizowekeza tuwafungashe virago vyao wakatafute kwingine kwa kuwekeza.
 
Jamani humu ndani kuna vitu nikisoma nasikia kichefuchefu kuhusu hawa jamaa na wimbo wao usio na korasi wa uwekezaji.

Jamani kuna moto utakuja kulipuka hapa asiwepo mtu wa kuzima hapatatosha.
 
shamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
INVESTING IN TANZANIA THE 'SILVERDALE FARM' CASE


This is the story of British investors Stewart Middleton and Sarah Hermitage, driven from Tanzania by violence, abuse and intimidation instigated by Benjamin Mengi and facilitated by the police, judiciary and senior members of the Tanzanian government. Tanzania receives copious amounts of aid from the U.K. In return, the country has abused British citizens. President Kikwete has made numerous promises to the British government to apply the rule of law to this case and has failed to do so.
source: INVESTING IN TANZANIA THE 'SILVERDALE FARM' CASE

hawa jamaa wanataka tuendelee kuwatetemekea,waondoke!
 

Attachments

  • silverdale.jpg
    silverdale.jpg
    22.7 KB · Views: 38
Malkia akija kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru, tumuulize kulikoni, kisha tumpokonye mashamba yale anayomiliki kule Njombe akaweke sehemu nyungine
 
Hawatusaidii lolote hao waingereza ni heri tusijuane maana wanatajirika kupitia rasilimali zetu bado wanataka sisi ndo tuwanyenyekee, naona waishie tu, hatuna cha kupotez
 
Sawa lakini hapo unakosea maana wachina hawafai, bora hata wakenya.

Mkenya ndio hafai kabisa mwizi mkubwa na mkabila kama nn utakuata watajaa wakenya watupu na nafasi zote za juu watajipachika wao wazawa watabaki na mateso tu. I know my friend I have worked with Kenyans.
 
Siwatetei waingereza lakini wa mbili ni wa mbili tu huwezi kumsusia.

Sidhani kama haya ni kweli wa mbili ni wa mbili tu,sababu tuna mifano ya nchi kama Brazil hivi sasa zimekaa vizuri hata Rwanda sasa wanakimbia kuelekea kwenye mafanikio cha msingi ni kuamua na kuthubutu kufanya tu. Hawa wazungu zaidi ya kutunyonya hawana la maana si ulimsikia Membe alichokisema walivyowalazimisha wakae pembeni kwenye issue ya Gadaffi!!

Hawa wanahitaji sana rasilimali zetu kuliko wanavyotuhitaji sisi
 
Kweli kabisa mkuu, waende zao.

Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.

Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.

Kibaya zaidi ni kwamba mahakamani wamekuwa wanapigwa chini kwa sababu hawana madai genuine na ndipo wanapoligeuza suala hili kuwa la kisiasa na kidiplomasia. Waishie zao hawa waganga njaa.
 
Mheshimiwa nadhani hizo gari unaziona tu lakini hujawahi kuzitumia! Hakuna inayodumu zaidi ya miaka 4 haina tofauti na Mahinra za ccm na wahindi

it is because we press a SPECIAL ORDER of cheap but short lived stuff...... no one to blame!

however, we should be scientific. for instance,,,,..what of a case of agriculture production and mining? do we need a plant to live a period of 4 years +?
 
Acha uvivu wa kufikiri thibitisha kama Mohamed Trans, Deluxe, "Treni ya Dodoma" Mv Bukoba, Spice Islanders kwa kutaja machache, je yametengenezwa na wachina?

Angalia magari aina ya Jiefang, Great wall, Faw na maroli wanayotumia kutengeneza barabara, je, mangapi yanapata ajali za hovyo kama ulivyosema?
Ahsante sana mkuu kwa majibu mazuri kwa watu wavivu wa kufikiri kama hao.
 
Kwanini mpaka leo na uhuru huu wa zaidi ya miaka 50 bado tunawaona na kuwathamini wazungu kama miungu? Why we free ou rminds,bodies and souls and do what is the best for us without fear ?!

Tusidanganyane, uwezo wetu ni mdomoni tu lakini vitendo ni sifuri. Kila mswahili mwenye mradi mkubwa anatafuta mbia mzungu, serikali ikitaka kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inatafuta wazungu.

- Kwani unadhani ni wazungu wanaong'ang'ania kuja kwetu au ni sisi kila siku tupo kwao kuwaomba waje wawekeze ili angalao tupate vibarua, kodi ya serikali na fedha za kigeni za kuagizia bidhaa nje? Waswahili kama maneno yangekuwa yanajenga, tungekuwa nchi ya kwanza kwa maendeleo Duniani.

If you want to free your minds,bodies and souls and do what is the best for us without fear, jiulize kwanza wewe binafsi umefanya nini katika kupunguza utegemezi kwa wazungu. Kama hujaweza hata kutengeneza hata sindano tu ya kushonea, kamwe huwezi kuwa free, huo ndiyo ukweli wenyewe.

Unaweza kusema vinginevyo kwaajili ya kuifurahisha nafsi yako lakini haitabadili maana kuwa hatuwezi kutowategemea wazungu kwa sasa na wala hata miaka ya hivi karibuni kwa kuwa hatuna jitihada zozote za kuondokana na hali ya sasa.

Hao Wachina mnaowasema ndiyo wanaoongoza kwa kuvutia vitega uchumi kutoka makampuni ya Ulaya na Amerika, na hiyo imewasaidia kupiga hatua haraka. Sisi hatuwezi kuendelea kwa kuzuia vitega uchumi kutoka mataifa yaliyoendelea.
 
Whilst President Kikwete espouses the benefits of investing in Tanzania to the Commonwealth Business Forum in Perth, Australia, a British M.P. is accusing him of failing to protect British investment in Tanzania.

JKaustralia.jpg

President Jakaya Kikwete



Roger 1.jpg
Mr Roger Gale (North Thanet) (Con): Speaking in Australia this week, President Kikwete of Tanzania urged investors in his country to reinvest the profits from their companies in his country. Unfortunately, as the Foreign and Commonwealth Office well knows, he is the same President Kikwete who is in thrall to the media baron Reginald Mengi and who has done nothing to give satisfaction to my constituents Sarah and Stewart Hermitage, whose farm in Tanzania was stolen from them by Mr Mengi's brother. Could we have a debate in Government time to discuss not only the joys but the dangers of investing in Tanzania?



George Young.jpg






Sir George Young: I am sorry to hear about that loss of property on the part of my hon. Friend's constituents. I shall certainly raise the issue with the Foreign and Commonwealth Office-the FCO Minister for Europe, my right hon. Friend the Member for Aylesbury (Mr Lidington), is in his place at the moment-and see whether there are any representations it can make to get justice for the people whose property was confiscated.


AustraliaJK.jpg

Commonwealth Business Forum, Perth, Australia.


logo.jpg


JK: Africa potential global powerhouse


By Correspondent

President Jakaya Kikwete has said that Africa had all the qualifications to be a global economic powerhouse in the 21 century if the potentials in the continent were effectively developed.

He told the Commonwealth Business Forum here yesterday that in order for the continent to get there, a number of challenges needed to be addressed in order to open the economic potential of the continent.

Giving keynote address at the meeting held at Burswood, Conference Centre the President said the African continent had a huge endowment of natural resources and its people who are important factors in its economic growth.

He said 60 per cent of Africa's land was arable, the continent had enough water resource for irrigation and conducive weather for agriculture, all of which could enable the continent produce enough food to feed the entire world.

The President said what was needed was a great green revolution in Africa to modernise the present agricultural practices.

"This needs huge investments by governments and the private sector in modern equipment, irrigation, use of quality seeds for higher productivity, use of pesticides and fertiliser," the President told the Commonwealth business community and senior government officials.

Apart from improving agriculture the President also said that Africa was rich in minerals, oil and natural gas, forests and marine resources.

He said among the 11 countries leading in having important minerals in the world, 10 of them were in Africa.

Africa has 10 percent of the world's oil reserves, 50 percent of gold reserves, 98 percent of chromium, 90 percent of cobalt and platinum minerals, 70 percent tantalite and 64 percent manganese and one third of uranium.

On energy and minerals, the President said that the African continent has a lot of energy resources that can be used to generate power, adding that for the past few years, Africa has increased its natural gas and oil production.

"There are almost 19 African countries that are currently producing enough oil…and there are so many gas and oil exploration activities going on in our continent. Recently, Tanzania entered into a global list of countries that produce natural gas, and we are still searching for more", said Kikwete.

On hydro power production, he said that Africa has the capacity and that there is a possibility of producing 39,000 MW at Inga River in Democratic Republic of Congo.

He said most African countries have adopted better economic policies. Quoting the recent International Monetary Fund (IMF) report, he said that seven countries out of 10 that will have their economies growing at high rates are in Africa.

He however, said that in most African countries there is need for an increase of investments especially in the infrastructure sector mainly in railways, roads, ports and airports.

He said that good infrastructures were a catalyst for development in all the countries.

The President Kikwete also attended another conference between Tanzania and Australia convened to discuss investment in the minerals sector.

The conference were chaired by the Executive Chairman of IPP, Reginald Mengi. Mengi is among the leaders of the Commonwealth Business Forum and is accompanied by other businessmen from Tanzania.


SOURCE: THE GUARDIAN

 

Attachments

  • Roger Gale.jpg
    Roger Gale.jpg
    2.6 KB · Views: 29
Tusidanganyane, uwezo wetu ni mdomoni tu lakini vitendo ni sifuri. Kila mswahili mwenye mradi mkubwa anatafuta mbia mzungu, serikali ikitaka kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inatafuta wazungu - kwani unadhani ni wazungu wanaong'ang'ania kuja kwetu au ni sisi kila siku tupo kwao kuwaomba waje wawekeze ili angalao tupate vibarua, kodi ya serikali na fedha za kigeni za kuagizia bidhaa nje? Waswahili kama maneno yangekuwa yanajenga, tungekuwa nchi ya kwanza kwa maendeleo Duniani.

If you want to free your minds,bodies and souls and do what is the best for us without fear, jiulize kwanza wewe binafsi umefanya nini katika kupunguza utegemezi kwa wazungu. Kama hujaweza hata kutengeneza hata sindano tu ya kushonea, kamwe huwezi kuwa free, huo ndiyo ukweli wenyewe.

Unaweza kusema vinginevyo kwaajili ya kuifurahisha nafsi yako lakini haitabadili maana kuwa hatuwezi kutowategemea wazungu kwa sasa na wala hata miaka ya hivi karibuni kwa kuwa hatuna jitihada zozote za kuondokana na hali ya sasa. Hao Wachina mnaowasema ndiyo wanaoongoza kwa kuvutia vitega uchumi kutoka makampuni ya Ulaya na Amerika, na hiyo imewasaidia kupiga hatua haraka. Sisi hatuwezi kuendelea kwa kuzuia vitega uchumi kutoka mataifa yaliyoendelea.

I like This!! Pia Napenda Watu Wafahamu Wachini is Not the solution to our Problems!! It is Just Another Problem Believe My word!! Time will tell
 
Kwanini mpaka leo na uhuru huu wa zaidi ya miaka 50 bado tunawaona na kuwathamini wazungu kama miungu? Why we free our minds,bodies and souls and do what is the best for us without fear?!

Kwa sababu tunafikiri kwa kutumia matumbo na masaburi wakati wenzetu wanatumia vichwa. Ili tuwe huru lazima tubadilishe midset zetu tuanze kutumia akili zetu kama wao wanavyotumia zao.
 
I like This!! Pia Napenda Watu Wafahamu Wachini is Not the solution to our Problems!! It is Just Another Problem Believe My word!! Time will tell

Thanks. Haya ndiyo yaleyale niliyosema ya kutumia masaburi badala ya akili kufikiria. Huyo aliyetoa suluhisho la kuleta wachina badala ya wazungu bado anaamini kuwa suluhu ya matatizo ya nchi hii yataletwa kwa kuagiza wageni kutoka nje ya nchi. Hilo haliwezekani kamwe. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe hawa wageni wanakuja kutafuta pesa ili wakajenge kwao.
 
Uko darasa la ngapi ndugu?? Are you really great thinker or?? I bet hujamaliza hata elimu ya kidato cha nne, kusikiza na kuamini maneno ya watu bila hata kufanya utafiti... how can u compare China Na Kenya???
Is not comparing China and Kenya, but Chines and Kenyans
 
Back
Top Bottom