Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
****** hajui kama maswahiba wake anaopanda nao pipa kwenda kutafuta wawekezaji baadae hukwapua mitaji na kisha kuwafukuza kwa nguvu ya dola. Shame upon us, shame upon him.
Kama mnajua wanakuja kuwanyonya kwanini mnapoteza muda na forex zenu kiduchu kuzunguka dunia nzima kutafuta hao mnaowaita wawekezaji? Mkweree sould be aware that" You cannnot eat your cake and still have it ."