Kikwete anamchanganya nini Mengi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete anamchanganya nini Mengi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maringomashaka, Oct 27, 2011.

 1. m

  maringomashaka Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  THIS AFTERNOON NILIKUWA NAFUATILIA KIKAO CHA BUNGE LA UK (HOUSE OF COMMONS), BUNGE LA UK LIMEPENDEKEZA KUJADILI "Danger of UK to Invest in Tanzania" KWASABABU YA HIYO ISSUE YA JK NA MENGI, Waziri wa mambo ya nje akaahidi kufuatilia through commonwealth office, so sikupata details.

  Kama kuna mkereketwa yoyote ana details kuhusu hili sakata, KINDLY WOULD YOU PLEASE SHARE WITH US?
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.

  Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.

  Ila kama ni kweli, Tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then Uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa China, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.

  Waende zao!.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa mkuu, waende zao.

  Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.

  Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
   
 4. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  shamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
   
 5. J

  Joseph Isaack JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni wazushi, wamezoea kutapeli acha waende zao ulimwengu wa leo ni wa competition,kama wao wanadengua wachina wapo.
   
 6. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hata mimi nasema waende zao, na hata leseni za migodi zifutwe tuanze upya atakayetaka kufanya tunavyotaka sisi apewe asietaka aende akachimbe kwingine, wachina wapo wanataka kuchimba na huwezo wa kuchimba wanao pia
   
 7. c

  changman JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao wachina wanakutengenezea gari jipya siku mbili linachomoka tairi
   
 8. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kwanini mpaka leo na uhuru huu wa zaidi ya miaka 50 bado tunawaona na kuwathamini wazungu kama miungu? Why we free our minds,bodies and souls and do what is the best for us without fear?!
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  google "silverdale case', hata humu jukwaani imeshajadiliwa sana!.
   
 10. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inatisha kwa kweli miaka 50 ya Uhuru bado tunapiga magoti kweli ni aibu saana na hasa kwa awa wawekezaji wadharimu
   
 11. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ila wachina wenyewe wawe wa ukweli siyo kama wale wa masaburi fake!!
   
 12. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Acha uvivu wa kufikiri thibitisha kama Mohamed Trans, Deluxe, "Treni ya Dodoma" Mv Bukoba, Spice Islanders kwa kutaja machache, je yametengenezwa na wachina?

  Angalia magari aina ya Jiefang, Great wall, Faw na maroli wanayotumia kutengeneza barabara, je, mangapi yanapata ajali za hovyo kama ulivyosema?
   
 13. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Kweli nchi hii haina viongozi wala watakaokuwa viongozi kila mtu anaendekeza uwekezaji tu bul shait

  Si mkope na muwekeze wenyewe ???

  mnaniuzi sana hao wawekezaji wakifanikiwa mnawaonea wivu mnawaondoa kama mugabe

  Jiwekezeeni wenyewe wacheni uvivu wa fikra

  Umeme mmeshindwa kujinunulia mitambo wazushi wameweza bila kuwa na dollar mifukoni zaidi ya kukopa na na kuwadai pesa mara nyingi zaidi mnazoogopa kuwekeza wenyewe

  Wacheni kutizama nyuma wakati mnatembea
   
 14. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Sawa lakini hapo unakosea maana wachina hawafai, bora hata wakenya
   
 15. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mheshimiwa nadhani hizo gari unaziona tu lakini hujawahi kuzitumia! Hakuna inayodumu zaidi ya miaka 4 haina tofauti na Mahinra za ccm na wahindi
   
 16. mankipe

  mankipe Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uko darasa la ngapi ndugu?? Are you really great thinker or?? I bet hujamaliza hata elimu ya kidato cha nne, kusikiza na kuamini maneno ya watu bila hata kufanya utafiti... how can u compare China Na Kenya???
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  waingereza ni wanafiki.... Ni sinking sheep na sasa wanatumia serikali yao kulazimisha ubia na nchi masikini kwani everywhere they go wanaishia kufeli kutokana na attitude na culture yao

  but even this is bound to lose anyhow

  mambo ya watu wawili waliotapeliana yamehamia bunge
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  sio kwenda tu wakuu, wakafie mbali kabisa maana hata makaburi yao tukiyaona tutapata hasira na kuyafukua mifupa tupikie maharagwe bure!
   
 19. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Bora lichomoke tairi upone. Unaweza kufa vibaya. Hebu google majaribio ya ajali kwa magari ya China uone jinsi yalivyo kama karatasi.
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mimi nilifuatilia kesi ile na kusoma nyaraka zote zilizopatikana zikiwemo za kutaka kutumia utajiri wa reginald Mengi ili wajinufaishe kwenye mgogor ule, nikagundua hao ni wababaishaji sana. Walihangaika hadi kule Coca Cola ili kumfungia Mengi ile franchise ya Bonite Bottlers wakakwa, wakakimbilia Word bank ili wazuie msaada uliokuwa umetolewa na benki hiyo kwa makampuni ya IPP, pia wakakwama.

  Ukweli ni kuwa watu wale walikuwa wababaishaji tu, siyo wawekezaji, kwani walishindwa kufikia malipo ya dola 120,000 walizokuwa wamekubaliana kuwa ziwe zimelipwa kabla ya mwezi november, wakalipa kidogo kidogo hadi siku ya mwisho wa makubaliano bado walikuwa wanadaiwa kama dola 20,000 hivi waliozlipa karibu wiki moja baada ya siku ya mwisho ya makubaliano kuwa imepita.

  Mimi ninasema hivi, "LET them KEEP their England, and we will keep our BONGO."
   
Loading...