Kikwete ambaye si rahisi kumuona leo kaonekana!

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,864
2,000
Hakuna kitu ambacho wapiga picha wa rais Jakaya Kikwete hujitahidi kama kupiga picha zinazomuonyeshea uhalisia wake. Sasa muda na mikorogo vimeanza kuwaacha kiasi cha kujikuta hawana jinsi bali kutuletea Kikwete ambaye hatukumjua. Inapendeza sana. Hii inaonyesha ukweli kuwa wakati kweli ukuta ukifika unagota.
a3.jpg
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
15,216
2,000
Hii picha inaonesha ni wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma November 2012 ambapo wana-magamba walitishia kumngoa Mh. Mwenyekiti wa CCM taifa, hivyo ililazimu JK awe na kikosi-kazi pamoja na kamati ya ufundi (sikiliza hotuba ya Mzee Makamba) chake usiku kucha wanapanga mipango abaki madarakani.

Hivyo kulikuwa hakuna muda wa kujipiga sopu-sopu maana ni kama vitani unakurupuka na kunawa uso maji uone vizuri na kuendelea na mapambano.
 

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,724
2,000
Hii picha inaonesha ni
wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma November 2012 ambapo wana-magamba
walitishia kumngoa Mh. Mwenyekiti wa CCM taifa, hivyo ililazimu JK awe
na kikosi-kazi pamoja na kamati ya ufundi (sikiliza hotuba ya Mzee
Makamba) chake usiku kucha wanapanga mipango abaki madarakani.

Hivyo kulikuwa hakuna muda wa kujipiga sopu-sopu maana ni kama vitani
unakurupuka na kunawa uso maji uone vizuri na kuendelea na
mapambano.

si kweli. dodoma alivaa kijani tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom