Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

Walichofanya wabunge leo ni utoto,upuuzi wa Hali ya juu na Kuonyesha jinsi tusivyo na viongozi makini na wazalendo wa kweli. Mtamshangiliaje mtu aliyeleta matatizo ya kiuchumi haya tuliyonayo, mtamshangiliaje mtu aliyemteua huyu msiyempenda kwa sasa kwa majina yake mfukoni bila kufuata taratibu za chama chake na kama kiongozi lazima alijua matatizo ya huyu anaemwachia kwa sababu alikua na faili yote ya wagombea. Mtamshangiliaje mtu ambae alitengeneza kakikundi ka walaji ambao hao hao kawaunganisha na huyu wa sasa kupitia Bashite, mtamshangiliaje mtu aliyeondoka akichukiwa kwa kushindwa kabisa kutimiza ahadi zake luluki na kusimika uchumi huu unaowatumikia wachache na kuwaacha wengi? Nafikiri wabunge wamekumbuka safari zisizo na kikomo nje na ufujaji mwingine, wamekumbuka kuhongwa na mashirika ili wapitishe bajeti husika, na nafikiri wamekumbuka mialiko ikulu kunywa chai na Mr tabasamu

Hatuna uongozi hapa
Inasikitisha sana hatuna viongozi ambao wanauwezo wa kuiongoza nchi yetu wote wako kwaajili ya maadili yao na sio ya raia
 
Kwanza Jakaya kikwete hakuwa na uadui mkubwa na wapi ndiyo maana alikuwa akiwaita ikulu na kuongea nao pia aliwahi kumpa Mbatia Ubunge wa kuteuliwa, aliruhusu mikutano, maandamano nk hivyo Wapinzani lazima wamkumbuke kwa mengi.
Kuhusu hilo nakubaliana kuruhusu vyama vingine kueleza sera zao lakini nchi kaiharibu na huyu mkulu ndio kabisaaa nchi inaingia shimoni sijui kamba ya kututoa shimoni itatoka wapi maana hata hao waliomshangilia inaamana wako kwa ajili ya maadili yao na sio ya wananchi inasikitisha sana
 
Sasa pale Mh Nape alikosea sana,angeinuka angeenda kumkumbatia Kikwete alafu Angelia sana kilio cha kwi kwi kwi
 
Inaamanisha hata Wabunge wa MACCM wanaelewa kwa shilawaDU wameuvaa mkenge! Wameshachoshwa na usanii wake ndani ya mwaka tu na ushee.
Na hata makamanda walimouita dhaifu walimshangilia pia
 
Back
Top Bottom