Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,047
2,000
Ina maanisha...., wamjengoni wengi bila kujali vyama vyao vya kisiasa na itikadi, walikuwa "WAPIGA DILI", ndani na nje ya mjengo.

Mstaafu hakuwa na muda na watu wa aina hiyo, ilimradi yake yanamnyookea, aliona mengine awaachie wenyewe.

Au kwa lugha nyepesi, mstaafu alikuwa kama mtoa riziki ambaye yeye alipojimegea chake, akaona ngoja jukumu hili niwaachie wataka riziki wenyewe waamue wafanye mgawanyo huo, basi ikawa mwenye nguvu anajikatia tu anavyojisikia. Hao wanaoshangilia leo mjengoni ni miongoni mwa wale waliokuwa na nguvu.

Nitakuwa nimeeleweka tu maana hamna namna...
Kama waliomshangilia wote ni wabaya basi lawama hizo ziwaendee wote waliowachagua kuongia mjengoni. Haiwezekani mtu mmoja tu awe na uchungu na wananchi kuliko wananchi wenyewe.
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,124
2,000
Wadau naomba maoni yenu kwa ushangiliaji aliyefanyiwa Rais mstaafu Kikwete leo hii bungeni inaashiria nini kwa utawala uliopo madarakani.

Cha kushangazaa sana wabunge wa chama cha CCM ndio waliongoza kwa kushangilia kwa nguvu na baadhi ya mawaziri wakiwemo.

Rais Magufuli aliingia madarakani kwa ushindi wa asilimia 58 je ina maana umaarufu wa Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka miwili unashukaa kwa kasi ?

Kiasi ambacho hata wabunge wa chama tawala wanamkumbuka Rais mstaafu kiasi hicho.

Ni wakati kwa Rais Magufuli kukaa na kutafakari what went wrong.
 
mharakati

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,273
1,225
Walichofanya wabunge leo ni utoto,upuuzi wa Hali ya juu na Kuonyesha jinsi tusivyo na viongozi makini na wazalendo wa kweli. Mtamshangiliaje mtu aliyeleta matatizo ya kiuchumi haya tuliyonayo, mtamshangiliaje mtu aliyemteua huyu msiyempenda kwa sasa kwa majina yake mfukoni bila kufuata taratibu za chama chake na kama kiongozi lazima alijua matatizo ya huyu anaemwachia kwa sababu alikua na faili yote ya wagombea. Mtamshangiliaje mtu ambae alitengeneza kakikundi ka walaji ambao hao hao kawaunganisha na huyu wa sasa kupitia Bashite, mtamshangiliaje mtu aliyeondoka akichukiwa kwa kushindwa kabisa kutimiza ahadi zake luluki na kusimika uchumi huu unaowatumikia wachache na kuwaacha wengi? Nafikiri wabunge wamekumbuka safari zisizo na kikomo nje na ufujaji mwingine, wamekumbuka kuhongwa na mashirika ili wapitishe bajeti husika, na nafikiri wamekumbuka mialiko ikulu kunywa chai na Mr tabasamu

Hatuna uongozi hapa
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,544
2,000
Huo ni uthibitisho tosha kuwa Magu ndiyo amekuwa the most unpopular Presidaa this country has ever had since our country got it's independence in year 1961.......
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,497
2,000
Ina maanisha...., wamjengoni wengi bila kujali vyama vyao vya kisiasa na itikadi, walikuwa "WAPIGA DILI", ndani na nje ya mjengo.

Mstaafu hakuwa na muda na watu wa aina hiyo, ilimradi yake yanamnyookea, aliona mengine awaachie wenyewe.

Au kwa lugha nyepesi, mstaafu alikuwa kama mtoa riziki ambaye yeye alipojimegea chake, akaona ngoja jukumu hili niwaachie wataka riziki wenyewe waamue wafanye mgawanyo huo, basi ikawa mwenye nguvu anajikatia tu anavyojisikia. Hao wanaoshangilia leo mjengoni ni miongoni mwa wale waliokuwa na nguvu.

Nitakuwa nimeeleweka tu maana hamna namna...
Unategemea mtu kama Musukuma akose kushangilia
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
BAK ina maana washangiliaji wote bungeni ni wana CHADEMA?
Kwanza Jakaya kikwete hakuwa na uadui mkubwa na wapi ndiyo maana alikuwa akiwaita ikulu na kuongea nao pia aliwahi kumpa Mbatia Ubunge wa kuteuliwa, aliruhusu mikutano, maandamano nk hivyo Wapinzani lazima wamkumbuke kwa mengi.
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
Wadau naomba maoni yenu kwa ushangiliaji aliyefanyiwa Rais mstaafu Kikwete leo hii bungeni inaashiria nini kwa utawala uliopo madarakani.

Cha kushangazaa sana wabunge wa chama cha CCM ndio waliongoza kwa kushangilia kwa nguvu na baadhi ya mawaziri wakiwemo.

Rais Magufuli aliingia madarakani kwa ushindi wa asilimia 58 je ina maana umaarufu wa Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka miwili unashukaa kwa kasi ?

Kiasi ambacho hata wabunge wa chama tawala wanamkumbuka Rais mstaafu kiasi hicho.

Ni wakati kwa Rais Magufuli kukaa na kutafakari what went wrong.
Tatizo lipo wazi la kwanza ni kuwanyima demokrasia Wapinzani, pili ni kuwatisha mawaziri na wateuliwa wake wote huku akimkumbatia Mtu asiye na vyeti kisa ni msukuma mwenzake na ana Siri nzito juu ya GSM na ununuzi wa ndege kea Cash, tatu ni kuchukua pesa za Umma, pesa za Safari za nje, pesa za viwanda amempatia Lipumba azitumie kudhoofisha upinzani lakini Lipumba mwenyewe anazitafuna na michepuko kibao inawakera sana CCM kwani wanaona uchungu Lipumba kula pesa za CCM kwa kazi hewa huku CUF ikiwa bado imara licha ya majaribio kibao ya kuiteketeza izame ife jumla.
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
kinachowafanya watu wamshangilie kikwete sio tabia ya usahaulifu au unafiki bali Kikwete ni bora zaidi akilinganishwa na huyu baba ubaya aliyeachiwa kiti
Kikwete alikuwa na mapungufu yake lakini hakuwa na Tabia mbovu kama za huyo PhD anayekumbatia asiye na vyeti kwa gharama za pesa za walipa kodi.
 
Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,736
2,000
Shida kubwa ni kuwa, watanzania kama taifa hatujui wapi tunasimama, tumetoka wapi wapi tunaelekea.

Yule JK aliyesimangwa kwa ESCROW, RICHMOND, "VASCO DA GAMA", MABILIONI YA JK, MR. DHAIFU, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, USIMAMIZI MBOVU WA RASILIMALI. Leo he's a hero.

Hili ni taifa la watu masikini wa MWILI na AKILI. Hatuwezi kuvuka hapa tulipo.
Sometimes mtu kilaza anakuwa HERO WHEN COMPARED TO THE WORST. Pamoja na weakness zake zote, anakuwa hero ukilinganisha na wa sasa.
 
Mama Obama

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
1,586
2,000
JK leo alikuwa Bungeni, kama mmoja wa wageni wa Bunge. Alipotambulishwa, ameshangiliwa kwa kiasi cha kufa mtu, Spika amekiri haijawahi tokea mgeni kushangiliwa kiasi kile.
Ona hapa Chini.

Watanzania wanasahau haraka sana. Wanasahau vile wauza unga walikuwa free under Kikwete, kapewa majina, pole pole kaondoka nayo. Wamesahau aliambiwa na Lowassa Kumenuka Watanzania wametuacha dili ya Richmond, inasemekana alijibu, endelea tu, Watanzania watasema, kisha watasahau. Wamesahau watoto wao wakikaa chini under Kikwete, wamesahau Watanzania kugawanyika mala mbili, masikini sana na 20 billionear. Wamesahau alisema pesa za escrow sio za Watanzania, zikawanywa na huku tukiona. Zaidi wamesahau ameitafuna Tanzania akaiacha mifupa mitupu. Bila kusahsu makonteina yakipita bure ya Watanzania class one, walala hoi wakilipa kodi. Wabunge lazima washangilie, walikuwa wakitumia pesa kama maji, pesa za Watanzania. Watanzania hatuna pa kukimbilia.
 
Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,573

Hayo ni sehemu ya mapungufu yake kama binadamu. Ila alifanya mengi ambayo bado yameacha alama nzuri kwake mpaka leo, na ambayo wa mpka sasa vimvuli vyake vinamsumbua. Ni mvumilivu, anajua siasa, anajua uchumu wa kisiasa ukoje, ni mfuasi wa utawala bora(at least). Mwishoni kabisa kumbuka kuwa, watu wanataka pesa, maisha yanataka pesa, kila kitu kinataka pesa.
 
tryphone005

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
457
500
Walichofanya wabunge leo ni utoto,upuuzi wa Hali ya juu na Kuonyesha jinsi tusivyo na viongozi makini na wazalendo wa kweli. Mtamshangiliaje mtu aliyeleta matatizo ya kiuchumi haya tuliyonayo, mtamshangiliaje mtu aliyemteua huyu msiyempenda kwa sasa kwa majina yake mfukoni bila kufuata taratibu za chama chake na kama kiongozi lazima alijua matatizo ya huyu anaemwachia kwa sababu alikua na faili yote ya wagombea. Mtamshangiliaje mtu ambae alitengeneza kakikundi ka walaji ambao hao hao kawaunganisha na huyu wa sasa kupitia Bashite, mtamshangiliaje mtu aliyeondoka akichukiwa kwa kushindwa kabisa kutimiza ahadi zake luluki na kusimika uchumi huu unaowatumikia wachache na kuwaacha wengi? Nafikiri wabunge wamekumbuka safari zisizo na kikomo nje na ufujaji mwingine, wamekumbuka kuhongwa na mashirika ili wapitishe bajeti husika, na nafikiri wamekumbuka mialiko ikulu kunywa chai na Mr tabasamu

Hatuna uongozi hapa
Wametoka misri wapo jangwani, wamekumbuka masufuria ya nyama utumwani misri badala ya kuitafuta kanaani,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom