Anna Makinda akiwa kwenye kikao.
Wewe ni mwana CCM? Kama sio Mwana CCM basi inafurahisha sana kuona unajitahidi sana kuyajua ya CCM kuliko ya chama chako kwa maana unajua CCM ndio inatawala na itaendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingi ijayo!Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Observation yako ipo vizuri sana. First impression Ina matter. Kwanza walipigwa na bumbuwazi baadae ndio waka fake kushangilia kinafiki.Ukiangalia kwa makini utaona mwanzoni wengi hawakushangilia mwanzoni na Samia alionekana mwenye wasiwasi. Hata Kkwete ni kama hakutarajia kuona hali kama hiyo. Baadae ndiyo wakaja kufanya maigizo ya kushangilia sana. Reaction ya mwanzo ndiyo mimi naichukulia maanani.
Tafadhali naomba uweke hapa kipande cha video kikionyesha Samia akimtambulisha JK kama boss wake.Mh Daktari JK ni
1. Mwenyekiti Mstaafu wa Ccm Taifa
2. Boss wa Daktari Samia.
Hapo kwenye uboss mimi nilikuwa sifahamu hadi nilipomsikia Daktari Samia akimtambulisha Daktari Kikwete kama boss wake.
Msajili yote haya ameziba macho na masikio yake Eti haoni jicho lote ameelekeza CHADEMA,Msajili ni mpumbavu wa kupitiliza,Epuka kufanya jambo ambalo kila mtu,pamoja na ww unaelifanya unajua unafanya makosa ya makusudi maana kesho utashindwa kujitetea,na utalia na kusaga meno hakuna atakae kuelewa.Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Mkuu 'Allen Kilewella', unauliza swali, ambalo kwa wengi sasa wataliona kama halina uzito wowote, lakini ni swali la msingi kabisa.Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Aliimba Komba kwamba ssm inawenyewe
Sina hiyo video clip.T
Tafadhali naomba uweke hapa kipande cha video kikionyesha Samia akimtambulisha JK kama boss wake.
WaogoPe sana watu mataPeli wa aina ya Kikwete na Samia. Hawa ni mataPeli tena waliojaa kila aina ya ulaghai!Ukiangalia kwa makini utaona mwanzoni wengi hawakushangilia mwanzoni na Samia alionekana mwenye wasiwasi. Hata Kkwete ni kama hakutarajia kuona hali kama hiyo. Baadae ndiyo wakaja kufanya maigizo ya kushangilia sana. Reaction ya mwanzo ndiyo mimi naichukulia maanani.
Wengine wanadai taarifa ya michango ya vyama vingine wakati Mr. Mpox keshaambia matumizi yake!Aliimba Komba kwamba ssm inawenyewe
Mpaka mtoto atakapokuwa anachotakaHataki kustasfuuu huyu
Ova