Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Hakua anaongoza mkutano, alikuwa anaongea kama mwenyekiti na Rais msitaafu

Lakini pia Katiba ya CCM inaruhusu Mjumbe yeyote kuongoza mkutano kama Mwenyekiti na wasaidizi wake hawapo.

Kwakuwa Mwenyekiti hapo yupo.

Ndio maana nimesema hakua anaongoza mkutano
Kuna wale watoto wa form four wanaochoraga katuni kwenye pepers za national.Hizi nazo ni ka katuni kwenye mtihani wa taifa.Hakuna ulichojibu mkuu
 
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Maskini ya Mungu, hawamtakii mema mama wa watu
 
Wale ndo Nyumbu
Ile ilikuwa dharau kubwa sana kwa wajumbe wote na chama kizima cha CCM. Kikao cha kuchagua makamu mwenyekiti. Agenda inabadilishwa kabisa.

Mwenyekiti wao anawaona wajumbe wote, CCM wote ni kama mazwazwa, machawa, watoto, wanaoweza kupelekeshwa anavyotaka na hakuna hata mmoja wa kusema neno moja kama hapo kiongozi umekosea. Hiki ni chama cha wanachama sio chako binafsi. Anategemea wote kupiga makofi kusifia na kutetea uhuni wowote anaoufanya.
 
Walikuwa wanajadili hilo swala la kumteua mgombea urais.
Yeye nae akatoa maoni yake.
Sahihi kabisa, na akajaribu kuwaambia kwamba huo mchakato unatakiwa kuanza Mwezi Mei na akawatahadharisha kwamba kama wao wajumbe wanataka iwe hiyo Januari yeye ni nani kupinga? He was so open akiwashangaa hao wanaotaka kukubali hiyo muvi ya kizimkazi. Alipoona hakuna wa kupinga akaona mambo yasonge. JK angefanyeje sasa? Alishazidiwa na machawa.
 
sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana


ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote


binafsi nyyakati hii nafurahi sana
Kikwete anatabia za njama njama kwa maslahi yake
 
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Kwani hujui kama ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee??
 
Kama mwenyekiti mstaafu wa chama
Wala usimjibu kama hajui kiwete ni nai hapa Tanzania halafu nyerere hata baada ya kungatuka nani alimpitisha mkapa kuwa raisi au vichwa havihifadhi
 
Walikuwa wanajadili hilo swala la kumteua mgombea urais.
Yeye nae akatoa maoni yake.
Maoni kwenye kikao ambacho wewe si mjumbe? Hivi unaujua maoni na maelezo yanatia maelekezo?

Jee yeye alikuwa mjumbe wa ule mkutano?
 
Kwani hujui kama ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee??
Mwenyekiti wa Baraza la wazee siyo mjumbe wa mkutano Mkuu. Na ni yeye aliongoza CCM kuwatoa viongozi waandamizi wastaafu kwenye Kamati Kuu na kuunda Hilo Baraza la Wazee!
 
Back
Top Bottom