Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Huyu ndiyo wale wahuni wa CCM.
 
****
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM
Kuna watu wanasema uongo uongooo
Hawajasema wala hawajataka
 
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?

Kataa wahuni, si watu wazuri!
 
Hivi ungekuwa ni wewe umekaa hapo mbele ungenuna kweli na kubisha?
mkuu hiyo mada ni nzito maana hata ndugai alikua ananyoosha bendera ya chama juu na yeye.

Mimi kama ningekuwepo kwenye mkutano huo maana yake nishakubaliana na yote ccm wanayoyafanyaga ningekubali tu hakuna namna maana wao kwenye chamam chao huko raisi lazima wampe uenyekiti wa chama na kwenye kugombea kipindi cha pili huwa hakutakiwi kuwa na upinzani. --- hapa wenye ccm watakuja kusema mambo ya taratibu lakini uhalisia ni kwamba case ya SSH ni case maalumu imetukumba watanzania wote by suprise kwasababu ya kifo cha magufuli.

hata wao huko ccm hawana kanuni yeyote ya scenario hii ya makamu kushika uraisi (kufatia kifo cha uraisi) --- KIKWETE sio mjinga kulazimisha SSH inabidi aendelee

hayo ndo maoni yangu

na mwisho kabisa jibu la kisiasa: mimi nisingeweza kuwa mahali hapo 😀
 
😂Wasikitikie buana. Usifurahi, cuz utakuwa kama wao tu. Sema shida hata sio ccm. Kwenye animal farm kulikuwa na mbuzi walishindwa kuelewa sera za revolution. Wakabaki tu kusema four legs good, two legs bad. Walipobadilikiwa wakaanza kusema four legs good, two legs better. 😂😂😂
hapana mkuu mimi siwezi sikitika kila siku tunawaambia hapa ccm kwamba tuweke utaratibu wa usawa na wa haki bila kuoneana - wao wanabeza hoja hii kwa sababu mambo yanawaendea vizuri

sasa ikija sehemu kama hii kama na wao wanaona noma -- sisi inabidi tucheke tu

na kama kawaida yao hawapo kutetea maslahi yeyote ya wananchi ndo maana unaona waliopo front ya mapambano yao hayo ni wawili tu gwaji na slowslow wengine wapo kimya wanavizia mob.

ccm are not our friends wao wanaangalia tu chama chao tu
 
😂Haya buana
 
Uko sahihi. Hata Polepole jana alipokuwa anajibu swali kuhusu kesi ya Lissu alisema Lissu kwenye chaguzi zilizopita alikuwa anasema CHADEMA ikishindwa kwa mazingira ya hujuma, wataandamana kwenda ikulu, jambo alilosema ni kosa. Nikawa najiuliza: CCM inapoiba kura na kutangaza mgombea ambaye hajashinda kihalali, ni kosa huyo ''mshindi'' hahesabiki kuwa ni rais halali, hivyo hata akitimuliwa kwa nguvu ya umma siyo kosa.
naam mkuu --- mimi huyu polepole siwezi muita shujaa hata iweje. nachosikitika ni watu wasio kuwa ccm kumshangilia hapa ndo sielewi elewi wameona nini
 
😂Na ukitoka hapo unaambia waandishi wa Habari, "Japo wamenizima kwa kushangilia, lazima wawaeleze watanzania."
😅😅sk ingn wataniogopa Kwa sababu watajua naenda kuachia bom 💣
Wanasema huyu jamaa akishashika mic anaenda kuharibu
 
Ukiangalia kwa makini utaona mwanzoni wengi hawakushangilia mwanzoni na Samia alionekana mwenye wasiwasi. Hata Kkwete ni kama hakutarajia kuona hali kama hiyo. Baadae ndiyo wakaja kufanya maigizo ya kushangilia sana. Reaction ya mwanzo ndiyo mimi naichukulia maanani.
Halafu hapo ametaja wagombea wawili " Hussein Mwinyi" na "Samia Suluhu" halafu anakuja kusema "Wanataka uwe mgombea.... Statement ya kwanza ilikua PLURAL then ya baadae statement inayo rejea ya kwanza ina SINGULAR... kwa upeo wangu mdogo na nikichanganya na mambo ya linguistics naona kuna kitu kilichezeshwa kinamna..
 
Back
Top Bottom