Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Screenshot_2025-07-19-01-55-06-1.png
 
Ukiangalia kwa makini utaona mwanzoni wengi hawakushangilia mwanzoni na Samia alionekana mwenye wasiwasi. Hata Kkwete ni kama hakutarajia kuona hali kama hiyo. Baadae ndiyo wakaja kufanya maigizo ya kushangilia sana. Reaction ya mwanzo ndiyo mimi naichukulia maanani.
mkuu nakubaliana na wewe, iliwakumba by suprise.

lakini ccm huu ni utaratibu wao wa unafiki na kusifia sifia muda bila ya kuangalia ni kitu gani.

kama muda umefika na wao wanaanza kupata moto wa matendo yao mimi sina budi ya kuwa na furaha mkuu.

na ninasisitiza kwa kukazia tu kwa wale wote ambao sio ccm - hawa kina gwajima na polepole wanapambania kupata mgombea wa chama chao, process za uchaguzi mkuu wa nchi bao la mkono lipo palepale kwa mgombea wao yeyote yule
 
sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana

ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote

binafsi nyyakati hii nafurahi sana
Hivi ungekuwa ni wewe umekaa hapo mbele ungenuna kweli na kubisha?
 
mkuu nakubaliana na wewe, iliwakumba by suprise.

lakini ccm huu ni utaratibu wao wa unafiki na kusifia sifia muda bila ya kuangalia ni kitu gani.

kama muda umefika na wao wanaanza kupata moto wa matendo yao mimi sina budi ya kuwa na furaha mkuu.

na ninasisitiza kwa kukazia tu kwa wale wote ambao sio ccm - hawa kina gwajima na polepole wanapambania kupata mgombea wa chama chao, process za uchaguzi mkuu wa nchi bao la mkono lipo palepale kwa mgombea wao yeyote yule
😂Wasikitikie buana. Usifurahi, cuz utakuwa kama wao tu. Sema shida hata sio ccm. Kwenye animal farm kulikuwa na mbuzi walishindwa kuelewa sera za revolution. Wakabaki tu kusema four legs good, two legs bad. Walipobadilikiwa wakaanza kusema four legs good, two legs better. 😂😂😂
 
Jee yeye ni mjumbe kwenye Mkutano Mkuu wa CCM mpaka atoe maoni yake?
KWa mjibu wa taratibu zao ambazo hajiandikwa sehemu , inawezekana ni mjumbe.

Ila Mkuu Mimi nilijibu Swali lako tuu kuwa "Hapo Mstaafu hakuwa anaongoza mkutano Mkuu"

Maswali mengine tuwaulize Chawa.
 
sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana

ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote

binafsi nyyakati hii nafurahi sana
Anna Makinda akiwa kwenye kikao.
 
Attachments

  • IMG_20250626_142656.jpg
    IMG_20250626_142656.jpg
    115.7 KB · Views: 20
mkuu nakubaliana na wewe, iliwakumba by suprise.

lakini ccm huu ni utaratibu wao wa unafiki na kusifia sifia muda bila ya kuangalia ni kitu gani.

kama muda umefika na wao wanaanza kupata moto wa matendo yao mimi sina budi ya kuwa na furaha mkuu.

na ninasisitiza kwa kukazia tu kwa wale wote ambao sio ccm - hawa kina gwajima na polepole wanapambania kupata mgombea wa chama chao, process za uchaguzi mkuu wa nchi bao la mkono lipo palepale kwa mgombea wao yeyote yule
Uko sahihi. Hata Polepole jana alipokuwa anajibu swali kuhusu kesi ya Lissu alisema Lissu kwenye chaguzi zilizopita alikuwa anasema CHADEMA ikishindwa kwa mazingira ya hujuma, wataandamana kwenda ikulu, jambo alilosema ni kosa. Nikawa najiuliza: CCM inapoiba kura na kutangaza mgombea ambaye hajashinda kihalali, ni kosa huyo ''mshindi'' hahesabiki kuwa ni rais halali, hivyo hata akitimuliwa kwa nguvu ya umma siyo kosa.
 
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Huyu sasa ndo raisi wa wahuni
 
Kama muhuni!
 
Back
Top Bottom