Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Wala usimjibu kama hajui kiwete ni nai hapa Tanzania halafu nyerere hata baada ya kungatuka nani alimpitisha mkapa kuwa raisi au vichwa havihifadhi
Aisee. Nyrerere hakuhusika kumpitisha Mkapa. Na wakati ule Katiba ilimfanya yeye kuwa sehemu ya uongozi kama Mwenyekiti mstaafu.

Kikwete alipoingia alibadilisha Katiba na kuwatoa viongozi waandamizi kwenye Kamati Kuu na kuunda kitu kinachoitwa "Baraza la wazee".
 
Mwenyekiti wa Baraza la wazee siyo mjumbe wa mkutano Mkuu. Na ni yeye aliongoza CCM kuwatoa viongozi waandamizi wastaafu kwenye Kamati Kuu na kuunda Hilo Baraza la Wazee!
Ni kama 2015 Mkapa alivyo preside kwenye kikao kilichomleta Magufuli wakati Membe na Lowassa wanachuana
 
sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana


ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote


binafsi nyyakati hii nafurahi sana

CCM huwa wanashangilia kila kitu.

Kibajaji alipoomba Maza na Mwinyi watoke nje ili wawajadili walishangilia.

Maza alipokataa kwa kudai kuwa wawasigie au wawapige hadharani walishangilia pia.

Na Kikwete alipoinuka kukamilisha mpango wao walishangilia tena.

Hapo ndipo utajua kuwa CCM ni kundi la Machawa.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ni kama 2015 Mkapa alivyo preside kwenye kikao kilichomleta Magufuli wakati Membe na Lowassa wanachuana
Mkapa hakuongoza kile kikao. Mambo yalipokuwa magumu Mkapa akaitwa kutuliza Hali ya mambo.

Kama unakumbuka baada ya Mkapa na wenzake kuondoka kikao kikaahirishwa.

Kwa ivo kualika watu kwa ajiri ya kutoa ushauri ni jambo la kawaida kabisa kwenye taasisi zote Duniani. Tofautisha kualikwa na kushiriki ukiwa mhudhuriaji.
 
mkuu nakubaliana na wewe, iliwakumba by suprise.

lakini ccm huu ni utaratibu wao wa unafiki na kusifia sifia muda bila ya kuangalia ni kitu gani.


kama muda umefika na wao wanaanza kupata moto wa matendo yao mimi sina budi ya kuwa na furaha mkuu.


na ninasisitiza kwa kukazia tu kwa wale wote ambao sio ccm - hawa kina gwajima na polepole wanapambania kupata mgombea wa chama chao, process za uchaguzi mkuu wa nchi bao la mkono lipo palepale kwa mgombea wao yeyote yule
Sasa mpaka hapo sijajua unachoshangilia ni kipi.

Kama wewe ni Chadomo hesabu hasara mara 2 ila kama sio mtu wa Vyama Bado ni hasara maana wanufaika ni CCM Samia awepo au asiwepo.
 
CCM huwa wanashangilia kila kitu.

Kibajaji alipoomba Maza na Mwinyi watoke nje ili wawajadili walishangilia.

Maza alipokataa kwa kudai kuwa wawasigie au wawapige hadharani walishangilia pia.

Na Kikwete alipoinuka kukamilisha mpango wao walishangilia tena.

Hapo ndipo utajua kuwa CCM ni kundi la Machawa.
NAam mkuu na nfo wanaoligharimu hili taifa. Na shida kubwa ndo wameshika usukani toka taifa hili lianze
 
Pole Pole, Nape na February wanatembeza fitina mitandaoni, ni maadui wa SSH wa ndani ya TZ.

Uwezo wao wa uanasiasa kwa ujumla (uwaziri na ubunge), ni mdogo na hawapendi kukubaliana na huo ukweli wanaishia kuweka mashambulizi yao kwenye majukwaa ya media.
 
Mzee wa msoga anaongoza kumdi la wahuni ndani ya CCM

Polepole kanyagia hapohapo - ushawaloweshaa.
 
Sasa mpaka hapo sijajua unachoshangilia ni kipi.

Kama wewe ni Chadomo hesabu hasara mara 2 ila kama sio mtu wa Vyama Bado ni hasara maana wanufaika ni CCM Samia awepo au asiwepo.
Hiki ulichojiandika hapa kuna comment moja nimeeleza
 
Wakati wa awamu yake; rushwa na ufisadi ulitamalaki!
Ktk awamu hii kwa kutumia udhaifu uliopo amekuwa LIVE sana kiasi kwamba yale ya awamu yake yamerudi kwa nguvu sana (Ufisadi, wizi na rushwa kubwa)
Ni mtu asitufaa wa Tz kabisa huyu mtu.
 
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Hili zee lina ujinga mwingi sana! Hivi kwa nini lisitulie aiseee?
 
Back
Top Bottom