Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Hichi nacho kichekesho kingine.. kwamba anarudi halafu jumamosi aende kuendelea na ziara! Matumizi mabaya ya kodi za watanzania haya.. Ni nini hicho anachoitiwa ambacho kimeshindikana kujadiliana kwa skype, email, au simu?
Wanahofia kudukuliwa mitandao sio salama kwa ishu nyeti za kitaifa.
