mkagulu original
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 703
- 172
hatimaye baraza la mawaziri kuvunjwa kesho!!
JK anataka kufanya maamuzi magumu sana kwa maslahi ya Taifa.
JK anataka kufanya maamuzi magumu sana kwa maslahi ya Taifa.
atavunja sana lakini watakachaguliwa ndo hao hao wezi tuu mimi sina imani na viongozi wa ccm wote labda ateuwe malaikahatimaye baraza la mawaziri kuvunjwa kesho!!
Naunga mkono hoja..kikwete hatumtaki nchi imemshinda aondoke zakeUamuzi mgumu ambao nitaupongeza na kuukubali ni wa yeye KIKWETE kuamua kuachia ngazi kwa kutamka hadharani kuwa nchi imemshinda kuongoza tofauti na hivyo hana uwezo wa kutoa maamuzi yeyote magumu
ndege wanaofanana huruka pamoja hawa wewe wanajuana mkuuUnavyomuamini Dhaifu utadhani umezaliwa nae!!
aende chalinze akachunge mbuzi kama yeye alikiri amechoka na sisi tunasema tumemchokaNaunga mkono hoja..kikwete hatumtaki nchi imemshinda aondoke zake
hatimaye baraza la mawaziri kuvunjwa kesho!!
JK anataka kufanya maamuzi magumu sana kwa maslahi ya Taifa.
aende chalinze akachunge mbuzi kama yeye alikiri amechoka na sisi tunasema tumemchoka
tumefanya kosa kubwa sana kumchagua huyu kuwa raisiNikisokia jina kikwete nasikia kichefuchefu...kama nikiwa nakula appetite huisha ghafla....yaani kikwete hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi
tumefanya kosa kubwa sana kumchagua huyu kuwa raisi
kwa jinsi nisivyo mpenda pinda, bora hata likae jiwe hyo nafasi.
Something terrible is coming........Leo najua mawasiri mizigo kama wale wakina Membe lazima wapige dili za mwisho mwisho, na zile fedha za Gadhafi lazima akazifufue manake anajua arudi katika hiyo nasafi