SPINNING?GIVE ME A BREAK!KWANINI ASINGESUBIRI HIYO MIEZI SITA KABLA AJASEMA BALALI NI MWIZI?ANASUBIRI NINI NDANI YA HIYO MIEZI SITA ILI KUMHOJI BALALI KUHUSU TUHUMA HIZO?AMA AMEFANYA MAKOSA KUMFUKUZA BALALI KABLA YA KUFANYA UCHUINGUZI?NANI ANASPIN HAPO?SERIKALI YAKE AMBAYO MAREKANI IMESEMA HAJAKUBALIANA NAO KUMRUDISHA BALALI AMA MIMI NINAYETOA HOJA YENYE NGUVU?MTANZANIA WEWE NI MZALENDO KWELI?AMA JINA TU?
nashukuru kwa kunipa cheo cha ukatibu tarafa.ila radhi siombi!nanafadhaishwa sana na haka katabia ka kujifanya marais hata kama huo ujumbe wa nyumba kumi wa ccm au chadema hamnao!!!
Huyu ndg yetu mushi anataka sisi tuwe wajinga ktk kuamini eti urais ni shughuli ya kitchen party ambapo kila mtu ni msemaji kiongozi!!!! Huu ni uhuni na ninadhani jf isimame imara ktk kulinda misingi yake ya uhuru na haki pasipo kukwepa wajibu ya yale yote yatokanayo na wana jf.
Yeye kama rais (jk)amefanya lake kwa mujibu wa muongozo wa kiutendaji,tumeuona msimamo wake sasa iweje katibu tarafa mushi aanze kuwa msemaji wa bi condy rice kwa kumhukumu rais wetu?!!
Ktk hali yoyote ile ni lazima kila upande ujiridhishe ili kuhakikisha haki yatendeka.
Mwana halisi leo wanasema on behalf of mkapa na kutuaminisha mkapa atajitokeza ktk kujibu tuhuma dhidi yake hasa za bot!!!!
Lakini kichwa cha habari na habari iliyomo ni vitu tofauti, why watz tunakuwa hivi.
Sipendi kuona jf inajibebesha wasifu wa ufisadi,huba na chuki kwa njia ya electronic kama tuyaonavyo magazeti yetu siku hizi,wanatuibia vijihela vya kabichi kwa kutupa gossip,maoni yao na matajiri wao au wakubwa wao.
Mushi ktk hili uitake radhi tz.
wewe ndio unaonyesha una bei..unamfagilia Kikwete wakati pesa hatujajua kama zitarudishwa na mafisadi kama watahojiwa na kufunguliwa mashtaka?Sasa unataka mimi niamini vipi?Ni wazi pesa zilizotolewa ni nyingi..na mtiririko wake ni mkubwa!Inawezekana umeguswa na mtiririko huo wa ufisadi kwa namna moja ma nyingine!Kuna makampuni mengi tu ya watu ambao nawafahamu na ni marafiki!Lakini hiyo si sababu ya mimi kuziba mdomo.Na usiniambie nanmna ya kushi!Jiombe Mungu wewe mwenyewe na watu unaowatetea kwenye ufisadi kwani mwisho wenu uko karibu!Keep dreaming kwa kuwa wewe una bei ya kununuliwa unadhani wote tupo hivyo? Kama upo positive endelea kuishi kwa matumaini Mungu atakusaidia kuugua sio kufa...
wewe ndio unaonyesha una bei..unamfagilia Kikwete wakati pesa hatujajua kama zitarudishwa na mafisadi kama watahojiwa na kufunguliwa mashtaka?Sasa unataka mimi niamini vipi?Ni wazi pesa zilizotolewa ni nyingi..na mtiririko wake ni mkubwa!Inawezekana umeguswa na mtiririko huo wa ufisadi kwa namna moja ma nyingine!Kuna makampuni mengi tu ya watu ambao nawafahamu na ni marafiki!Lakini hiyo si sababu ya mimi kuziba mdomo.Na usiniambie nanmna ya kushi!Jiombe Mungu wewe mwenyewe na watu unaowatetea kwenye ufisadi kwani mwisho wenu uko karibu!
What the F.........k is this!
Sisi sio watoto, naona kuna members ambao wanatakiwa wachangie Darhotwire tu!
Moderators naomba hii spin iunganishwe na topic halisi
Hizi SPIN zingine hatari kabisa, kwanini mumwekee JK mdomoni maneno ambayo hajayhasema?
Subiri hiyo miezi yake sita na akishindwa basi tumhukumu, vinginevyo heading kama hiyo ambayo haina ukweli wowote inaitwa SPINNING.
Sasa mkuu this is a big twist .Hata waandishi wa habari wana nafuu . Maelezo yote nimesoma sijaona anapo husika JK na kumleta jamaa . Ama umekosea kuleta habari hapa ?Unaweza kuwa umechanganya habari hizi ?
Hamna mtu amekuomba uje kuchangia matusi kwenye hii thread..however unaonyesha udhaifu wako..kwamba uko hapa kwa maslahi flani!See what I meant? prestigious forum has been brought down to the level of discussing udaku, personal abuse and name calling.
I know logic will be slightly advance to u, but some one who cant even type and punctuate can have friends who own the dubious companies connected to BOT scam neva click in any sound mind.
Ur either sarcastic or plain idiot, kindly take ur pick....
we fisadi mtoto sijui unaongea hapa kwa niaba ya nani!kwani we hujui kuwa karibia watanzania wote wanataka balali arudishwe?jamani jamani waambieni waache kututungia habari hapa plz,sasa jk hapo anahusika vipi na kwa nini tuwaombe marekani imlete kwani amegoma kuja mwenyewe?ameitwa lini na nani hakagoma kuja,tungoje tume au mahakama wamwite then akigoma ndio tuseme
kama ni spin..basi hii ndio namba moja!zalendo naomba unijibu ili swali..nadhani pamoja na uchungu, uzalendo, uwajibikaji ningeshauri tuwe sensible na kuweza kusema ukweli pale unapostahili. Hii issue ya kusema kikwete kakataa balali asirudishwe wakati ambapo ukisoma habari yenyewe hakuna hata inference ya hilo jambo, huo ndio udaku/gossip. We are going to loose credibility kwenye jamii na very soon yale ambayo yanazidi kusemwa kuwa forum hii ni ya udaku could be substantiated with facts.
yaani hadi mtu anauliza tofauti ya audit na investigation;(audit deals mostly with evaluation if laid out procedures are adhered to while investigation deals systematic and thorough research into the happenings of a matter). Audit imeonyesha kuwa procedures za epa zilikiukwa, investigation itaonyesha mbinu zilizotumika, waliohusika, pesa zilipelekwa wapi, zilitumika vipi etc; hivi huwezi kuvijua kwenye audit.
mods weka hi thread kapuni and let us move on with constructive issue.
KAMA NI SPIN..BASI HII NDIO NAMBA MOJA!ZALENDO NAOMBA UNIJIBU ILI SWALI..
HIZO PESA KABLA HAZIJAFIKIA KWENYE FINAL DISBURSEMENT ZIMEPITIA PROCEDURE AMBAZO ZINAHITAJI DOCUMENTATION PAMOJA NA SIGNATURE APPROVALS..KUNA DOCUMENT ZINAZOONYESHA SAINI ZILIZOANGUKWA KUANZIA ZIKIWEMO KWENYE AKAUNTI ZA MADENI YA NJE MPAKA KWENYE AKAUNTI NA MIFUKONI MWA MAFISADI!SASA HAO WOTE WALIOSAINI WAKO WAPI?NARUDIA TENA WAPI RESPONSIBILITY?KWANI WALIHITAJI MIWANI KUONA KUWA HIZO FEDHA ZIMETOKA KWENYE AKAUNTI YA MADENI NA ZINAKWENDA KWENYE MAKAMPUNI..MENGINE HEWA!?KWAMBA ZILIPELEKWA WAPI NA ZILITUMIKA VIPI..NI WANANCHI NDIO WANAOTAKIWA KUJIBU HILO AMA BALALI NA MAFISADI WENZAKE?WAKATI ZIKITOLEWA WANANCHI WALIULIZWA?MIMI NAFIKIRI WAKATI TUNASUBIRI HIYO MIEZI SITA YA UCHUNGUZI..HATUA NYINGINE ZIENDELEE KUCHUKULIWA KAMA VILE KUMHOJI BALALI!MI NAUDHIKA SANA!YANI KWELI BALALI HAITAJIKI NCHINI?NA UNAPOSEMA KIKWETE HAUSIKI UNA MAANA GANI?SI TULIMUOMBA KIKWETE AMRUDISHE BALALI HAKUFANYA HIVYO..THEN SERIKALI YAKE IKAWA HATA HAITAKI KUTUAMBIA MAHALI ALIPO?TUNAJUA KUWA ALIKWENDA MAREKANI..TUKAWAULIZA MAREKANI KWASABABU KIKWETE NA SERIKALI YAKE WAMEGOMA!MAREKANI WAKAKSEMA KIKWTE NA SERIKALI YAKE HAIJAWAOMBA WAMLETE BALALI..SASA KAMA HAJAKATAA KWANINI ASIVUTE WAYA TU NA BALALI ALETWE?NA KAMA UNATAKA KUNIRUDISHA KWENYE POINTI KUWA BALALI HAITAJIKI TANZANIA THEN SINA HAJA YA KUONGEZA LOLOTE!
acha hizo wewe!nani katoa shutuma na lawama?chifu mushi,
hata kama una nia njema na uchungu wa mabilioni kukwapuliwa na mafisadi, namna unavyotoa mawazo, shutuma na lawama inakufanya uonekane kama zuzu na ndio maana watu hawakuchukulii seriously. It appears to me you are taking things personally...starting with a twisted title of the thread, becoming too defensive etc. I believe most of us are ticked off with how bot saga has been mishandled, however, as a forum and as individuals, we cannot distort the fact in order to please ourselves. You did just that when you claimed that the president has refused ballali to be extradited. A deliberate distortion of truth is a very irresponsible behavior.
In response to your poor reasoning, it may be true jk has not formally ask us govt to bring ballali back however, that does not mean he does not want to. This is a very serious and complicated issue that requires wisdom, meticulous plans etc, since you are not dealing with some vibaka from ferry but rather a network of influential, learned people. It is ok to question government's slow response to the matter but it's never ok to put words in someone's mouth. As a forum, we are proud of what we are doing, however, irresponsible behavior like yours tarnishes our image (as referred ealier as dar hotwire material) and credibility. Moreover, it speaks very poorly of you.