engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
mimi swli langu ni moja tu
Rostamu Azizi rais anamfahamu,n a kama anamfahamu hivi hajui kuwa huyu Rostamu amepewa nguvu na mahakama juu ya malipo hayo? na kama raisi analijnuwa hilo je rostamu akiwa ni mbunge wa chama chake haoni kuwa ndiye mmiliki anayetambulika hapa tz
na kama ni kampuni hewa kwanini tusianze na rostamu ili atutajie wenzake wengine wanaotaka kutuchukulia mali zetu
kwa kweli tumechoka kufwanywa wajinga wakati tunaelewa rostamu ndie mwizi wetu
msema ukweli hapendwi daimaaaaaaaa:clap2:opcorn: