Mh. Rais napenda kuchukua nafasi hii kukuuliza wewe na wananchi wote kwa ujumla kwani Tumesikia mengi yakiongelewa na Serikali yako na wewe kuyasikia na Unaumiza kichwa kila siku uanzie wapi maana Hawa Swahiba zako wanakuangusha. Hata hivyo na hii ya karibuni ya Mhe. SS ambaye yupo wizara nyeti na umeona unyeti wake ndio maana ukamwamini tena yupo taasisi ambayo inalinda maslahi ya nchi. Hata wewe maamuzi yako ukiyatoa yana mashaka mashaka. Ukizingatia Serikali yako yaani mawaziri wana kashfa mbalimbali hata hao wabunge wa Chama chako ndio usiseme kwani wengi wao wa mawaziri wanaonekana hawako bega kwa bega kukusaidia wewe ila wana maslahi yao ya nani akae madarakani kwani huyu Mh. SS yeye ni kitu kimoja na Richmonduli sasa wewe unamng'ang'ania wa nini? Swali Je hivi hizi kashfa zinazokwenda kwa mawaziri wako na wabunge wa Chama Chako huzioni au na wewe ni mmoja wa Mafisadi hao unaogopa ukiwapilato na wewe watakutaja?? Naomba jibu Mh. Rais swali la Pili Je unaona ugumu gani kuanzisha Revolution yoyote ambayo watakaa asilimia 75% ni wapinzani kuhusu kila mtu alete mali zake na aseme amezipataje tena kuwe na uwazi na yeye kupigiwa mahesabu kama sio sahihi aukumiwe kunyongwa? mfano mzuri South Africa, Kenya na nchi nyingine wana JF wanazijua wataendelea.
Ushauri wangu wale wote wanotuhumiwa kwa Ufisadi sio kuwapeleka mahakamani No. Hukumu tuu. Ukishindwa Jiuzulu utunze heshima yako kama Rais Thabo Mbeki.
Ukisikiliza maneno yao kwa makini utabaini kuwa hakuna aliye msafi kati yaomie hata sijui nani yupo msafi...
Watu hawapigi kura halafu unasema wanaamka? Watanzania tunazidi kulala tena fofofomie sina wasi, watanzania slowly tunaamka, ukitaka kujua angalia idadi ya watu wanaojitokeza kupiga kura siku hizi, ni chache mno. Ipo siku watajipigia kura hao mafisadi na familia zao tu.
*** em up.
Goo Idea!! Sasa Hata ukiangalia Serikali imelala???????????????? Jamani nawauliza au RAis naye Yupoooooooooooo?????????????????
mie hata sijui nani yupo msafi na yupo karibu na JK,ila nazani hata Jk siyo msafi,sa sijui hatma ya haya mambo au kamati ya Mwinyi
Hizi ndiyo timu mbili pinzani, moja imejaa mafisadi wanaojulikana na ushahidi upo wazi. Nyingine imejaa wapiganaji ambao wanashutumiwa na kundi la pili kuwa nao ni mafisadi.
Kinachoshangaza zaidi mhe. Rais anaonekana yupo kundi la kulia, angalia picha hapo chini.
Thabo mbeki hakujiuzulu 'maji yalimshinda hila zake zilizungukwa akaaibishwa na kuondolewa kwenye uongozi kwa kutokuwa muadilifu..get your record right.
ع عن الأمة ، كما يقول د. جيش سيراليون لي
na huu uchafu vipi ndugu zangu.........inaniboa kweli kweli
الحق والسلطة التقديرية لبيع بك قميصا وكيتنغه
Tatizo kamati yenye ilikuwa na baadhi wajumbe wenye wasifu usiofaa, wengine wanadaiwa kufanya biashara ya Pembe za Ndovu, sasa hapo unatarajia Nini?