Ushauri wangu wale wote wanotuhumiwa kwa Ufisadi sio kuwapeleka mahakamani No. Hukumu tuu. Ukishindwa Jiuzulu utunze heshima yako kama Rais Thabo Mbeki.[/QUOTE]
unaamini kwamba mbeki alijiuzuru kwa RIDHAA YAKE?
Thabo mbeki hakujiuzulu 'maji yalimshinda hila zake zilizungukwa akaaibishwa na kuondolewa kwenye uongozi kwa kutokuwa muadilifu..get your record right.
Ok unajua Mbeki alijiuzulu Chama ndio kilimtaka hivyo sababu ya mambo yake kuwa wazi. Sasa wewe angalia mwenyewe na Tafakari uelewe na kisha Tathimin Hatma ya Nchi inavyo kwenda Na maamuzi yana Delay. au wewe ni mmoja wa mafisadi ambao hamtaki mabadiliko? Sisi Chama chetu cha CCM kimegawanyika sasa na wewe sijui upo upande gani au Ukumsikiliza Mh. SS?
Hivi huyu Sitta kawalisha nini?to me he is just another FISADI..huyu si ndio analipiwa nyumba ya milioni 10 kwa mwezi,gari ya 200 mil na alinunua asprin na fansidar pale namanga kwa 2m? jamani hivi tuko serious au tunaandika andika vitu tu humu JF..Nadhani nahitaji muongozo