Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

JK yule yule, mfumo ule ule, nyani wale wale ... and then utarajie jipya!!!!!!!! ?????
 
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1679.jpg

First Name:
William
Middle Name:
Augustao
Last Name:
Mgimwa
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Kalenga
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 80373, Dar Es Salaam
Office Phone:
+255 754 765644/+255 684 765644
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
wmgimwa@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
20 January 1950
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Wasa Primary School
Primary Education
1961
1965
PRIMARY
Tosa Seminary Primary School
Primary Education
1966
1967
PRIMARY
Tosamaganga Seminary School
O-Level Education
1968
1969
SECONDARY
Mafinga Seminary School
O-Level Education
1970
1971
SECONDARY
Institute of Finance Management, IFM
Advanced Diploma (Banking)
1975
1978
ADV DIPLOMA
Institute of Finance Management, IFM
Postgraduate (Finance)
1983
1984
POSTGRADUATE
Institute of Development Management, IDM, Mzumbe
MBA (Finance)
1989
1991
MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Kalenga Constituency
2010
2015
Bank of Tanzania Training Institute (Mwanza)
Principal
2000
2010
The National Bank of Commerce (NBC) - Bank
Director
1997
2000
The National Bank of Commerce (NBC) - Bank
Manager
1996
1997
The National Bank of Commerce (NBC) - College
Lecturer
1981
1989
The National Bank of Commerce (NBC) - Bank
Accountant
1980
1981
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Ward Guardian (Wasa, Iringa)
2008
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Commander (UVCCM)
1994
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Councillor (Gangilonga Ward)
1991
1994
PUBLICATIONS
Description
Date
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.
1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.
1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.
2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.
2009
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.
1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.
1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.
2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.
2009
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.
1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.
1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.
2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.
2009
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.
1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.
1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.
2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.
2009




MY TAKE
CV yako imejitosheleza,all the best its time to deliver
 
Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,


Sasa huyu bwana mkubwa wakati wanamgomea Mkulo na mapango wake wa maendeleo wa mwaka 2012/2013 alisema maneno haya nanukuu kutoka gazeti la The Guardian.

Kalenga MP Dr William Mgimwa said they wanted to be sure that the plan would have impact on the country's economy, warning if the government failed to draw up a proper budget and control misappropriation of public funds, then the country would not reach far.

Dr Mgimwa who is an economist called for improvement in revenue collection, noting: "We only collected 5.7trillion shillings against 10.2 trillion shillings which we spent," he said.

"We want the new mining laws to function properly and ensure that planes landing in mining areas are monitored closely for proper control of our minerals," he said.
Dr. Mgimwa said electricity was another issue that needed to be solved for the country to prosper.

Kwahiyo tunamtegemea asituangushe waTZ.

Mkuu nakuambia weka kipande hiki cha gazeti kwa ushahidi, atakuja kuruka kimanga kuwa si yeye alisema bali mwandishi alikosea akamnukuu vibaya!!! Waongo hawa!!! hebu tuone atakavyoibana TRA na wizi wao walete revenue!! Pia naomba KITILYA wa TRA aondoke na kitengo cha Investigation kiimarishwe!!! Vinginevyo hakuna jipya wimbo ni ule ule tu.
 
Hivi hao wabunge walio mawaziri wanapokea mishahara na marupurupu kutoka kotekote au inakuwaje?
 
Huyu waziri wa fedha ana historia gani,ana track record yeyote?Wizara ya fedha ni nyeti sana kupewa mtu asiye na track record yeyote,isije ikawa yale ya Zakhia Meghji...mwenye cv ya huyu waziri mpya wa fedha tafadhali aturushie.

Nimejaribu kutafuta CV yake siioni!!
 
Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,


Sasa huyu bwana mkubwa wakati wanamgomea Mkulo na mapango wake wa maendeleo wa mwaka 2012/2013 alisema maneno haya nanukuu kutoka gazeti la The Guardian.

Kalenga MP Dr William Mgimwa said they wanted to be sure that the plan would have impact on the country’s economy, warning if the government failed to draw up a proper budget and control misappropriation of public funds, then the country would not reach far.

Dr Mgimwa who is an economist called for improvement in revenue collection, noting: “We only collected 5.7trillion shillings against 10.2 trillion shillings which we spent,” he said.

“We want the new mining laws to function properly and ensure that planes landing in mining areas are monitored closely for proper control of our minerals,” he said.
Dr. Mgimwa said electricity was another issue that needed to be solved for the country to prosper.

Kwahiyo tunamtegemea asituangushe waTZ.

Ss tunataka apunguze inflation rate, pamoja na kuinua sarafu yetu dhidi ya fedha za kigeni.naona yy ni mwana uchumi, naibu wake mwanauchumi, let give them time and see what proposal they will come in next budget meeting
 
Hili ndilo baraza lililokuwa linasukwa kwa week mbili? Unampaje unaibu waziri wa nishati na madini Steven Masele na kumuacha geologist Dr Peter Kafumu? Na Mwandosya afya yake inaendeleaje maana naona yumo kwa mtindo wa kizamani wa wizara isiyokuwa na kazi maalum?

Ukweli hili baraza litaharakisha kifo cha CCM. Limejaa wapambe na marafiki! Ni watu wachache sana watakaofanya kazi. Kwa mbunge yoyote wa CCM anayetamani kurudi bungeni 2015 basi aanze kufanya tararibu zingine. Hakuna namna, CCM itapata shida.

Pia, naomba ufafanuzi. Dr Hussein Mwinyi ni mbunge toka Zanzibar, sasa anasimamiaje wizara ya Afya ambayo sio ya muungano?
Kafumu ni failure. Pale Wizarani kila mtu anamjua vyema. Masselle ni kifaa.
 
Kumbe kipindi zitto na Mdee waliposema kuwa J.makamba ni mnafiki ilikuwa ni kweli kabisa kwan j.makamba alijua kabisa faida za kutoku-sign hile karatasi ya Zitto na hatimaye leo hii kateuliwa na Rais kuwa naibu waziri wa wizara ya mawasiliano.
My take:
jmakamba kashapata alichokitaka( madaraka), je zitto atamuunga mkono tena ?
 
well...at least pale afya wamemweka kichwa makini katika unaibu waziri......Dr.Seif Rashid....the Rufiji MP.......this was ngosha's pick......na nashukuru huyu jamaa wamempa uwaziri.....hiki kwa ukweli ni kichwa makini.... i strongly recommended this MP for the health post.......Anaweza kufanya kazi vizuri sana huyu na Dr.Hussein Mwinyi .....mana kwanza wote ni medical personell.....pamoja na madhaifu ya Mwinyi kule ulinzi......i hope atafanya better hapo afya......haswa kwa msaada mkubwa wa Dr.Seif....yaani experience ya Dr.Seif inamzidi hata Dr.Mwinyi......Dr.Seif ni mtendaji....si mwanasiasa wa bla bla.......you want to know about this humble fellow.....go ask the Red Cross TZ....how they badly miss his services..............
 
Wadau JF,heshima mbele.napenda kumpongeza sana Dr William....mbunge wa .......kuteuliwa kuwa waziri wa Fedha wa JMT,kwa yeyote anayejua cv yake atusaidie huyu ni nani na ametokea wapi hadi hapo alipofikia?hongera zake sana!!!!tunategemea makubwa sana kutoka kwake!
 
Jk amekuwa rais legelege sanaa hili ni kutokana na kulivua gamba baraza lake la mawaziri mara mbili katika vipindi vyake viwili na mara nyingi katika kubadili watendaji wake toka wizara moja hadi nyingine.

Haijaishia hapo wakuu wa mikoa na wilaya inekuwa kama kawaida ukiiba hapa au kuharibu basi anapelekwa kwingine kwamba wananchi wasahau.

Hii kwa mtazami wangu ni kushindwa kwa rais katika kuongoza nchi ni kwa nini nae asiwajibike kwa watanzania kwa kujiuzuru?

Naamini kama hatofanya ivyo vilio vya watanzania vitamfanya akose usingizi ktk miaka 3 iliyobaki na yawezekana........
 
Ila ata Magufuri anaperform ndani ya mfumo huo huo na JK uyo uyo
 
CV never applies in real life I'm afried!!! Atakutana na mijizi pale wizarani haijui priciples wao ni wizi tu!!!
 
Mwandosya kwa Wanyakyusa hawaambiwi kitu kwanza wanamtegemea aje kuwa rais kwahiyo wamepima upepo na kuona kuwa Mbeya kutakuwa hakuendeki kwa wana CCM kama wangemwacha kabisa.
hali yake kiafya ni mbaya sana amepewa tu kulindana!!
 
Sijui atapewa wasidizi au ofisi yake ni popote akijisikia? Akiamua kwenda wizara ya fedha sijui kama mwenzake atamwachia kiti teeh teh! Hii kituko daa.
 
Back
Top Bottom