Juma Kaseja (JK) ama unaimanisha Jakaya Kikwete? Huyu ana miaka 60 na ushee sasa yeye mwenyewe inabidi aondoke kwanza.....
Teh teh teh
Namaana ya Jakaya Harufan Mrisho Kikwete, duu sijui naye alirudia darasa la saba, maana kwa kawaida ukiona mtu kafikisha majina 3 kwa Tz anza kumtilia shaka na darasa la saba. Maana walikuwa wanachukua majina harafu wanaongeza yao katikati. Ndiyo hivyo, na ile katiba inabidi urais uwe miaka kama ya wabunge kuuwania.