Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 751
- 3
Mkapa na u-obese wake wote ule sikuwahi kusikia kaangauka hata mara moja...labda awe alikuwa anaangukia ndani na habari hazitoki
Ni kweli ameanguka -- hii ni mara ya 3 sasa anadondoka kwenye majukwaa in 5 years. Tatizo kubwa ni kwamba wananchi hatuambiwi kinagaubaga anaumwa kitu gani. Leo tumeambiwa ni kwa sababu ya swaumu ya Ramadhani -- yaani anashindwa kumudu swaumu?
Mwaka 2005 hapo hapo Jangwani alidondoka na baadaye tukaambiwa ni kutokana na kufunga (haikuwa mwezi wa Ramadhani). Kuna uvumi kwamba ana kisukari cha kushuka. Kama ni hivyo kwani kisukari ni ugonjwa wa siri? Si waseme tu, wanaficha nini?
Siyo kila mara Jangwani kwenye uzinduzi.
Mara ya kwanza(2005) alikuwa anafunga kampeni alipoanguka ikabidi Che Nkapa aje atulize umati, yeye Kikwete alikimbizwa sehemu-sehemu.
mara ya pili leo anafungua kampeni, Makamba et al wameshindwa kabisa kuubeba umati na kuutoa katika simanzi.
Hata aliporudi Kikwete mwenyewe na namna aliyokatisha houtuba, maswaali yanazidi kuongezeka.
......kikwete ameshaanguka mara 4[nne] hadharani...yaani mara mbili jangwani na mara mbili kirumba mwanza [ikiwemo aliyoanguka kwenye shughuli ya kanisa la AIC-hakuwa amefunga ].....na pia amewahi kuzirai mara kadhaa akiwa ndani,.....according to insiders.......
there is a problem ...!
pia nime note kwenye hutuba yake kuwa anasoma sana mitandao....ametoa moja " siku hizi tanzania kuna mitandao ...kwenye mitandao wanaandika sana sana ...lakini nawaambia kuwa ..watanzania hawadanganyiki..."
Kwani alizimia
Slaa alipolazwa Muhimbili kwa ajili ya kutolewa POP magazeti yalitangaza yuko ICU, sasa kesho magazeti yakitangaza JK amelazwa ICU sijui itakuwaje.
Halafu give me a break kesho anatakiwa awe Mwanza itakuwaje wandugu daktari wake atamruhusu aende, basi akianguka tena tusiambiwe ni ajari.
Iwe ameanguka mara tatu au mara nne, the difference is the same. Na huu ni mwanzo wa kampeni. Atahimili kweli mikikimikiki ya joto la kampeni hadi Oktoba? Tuwe wawazi na wakweli.Hajaanguka mara nne kama unavyodai bali ameishiwa nguvu mara 3 na mara moja alivamiwa jukwaani kule Mwanza.
Hao insiders wanaotoa habari za Rais au za ndugu yao unaona wana akili timamu au maamuma? Wewe umewahi kutoa siri za mkeo, mzazi au ndugu wa karibu na watu wakakushangilia? Tutajuaje kama mtoa habari wako hamtakii mema Rais hata akakupa habari za uongo?
Ni makosa makubwa kufikiri kwamba Rais haugui. Kumbuka Rais Mkapa aliugua mguu na kulazwa Uholanzi kwa muda watu wakasema kagombana na mkewe wakati ukweli kwa umri wake tatizo la nyonga n jambo la kawaida
Hajaanguka mara nne kama unavyodai bali ameishiwa nguvu mara 3 na mara moja alivamiwa jukwaani kule Mwanza.
Hao insiders wanaotoa habari za Rais au za ndugu yao unaona wana akili timamu au maamuma? Wewe umewahi kutoa siri za mkeo, mzazi au ndugu wa karibu na watu wakakushangilia? Tutajuaje kama mtoa habari wako hamtakii mema Rais hata akakupa habari za uongo?
Ni makosa makubwa kufikiri kwamba Rais haugui. Kumbuka Rais Mkapa aliugua mguu na kulazwa Uholanzi kwa muda watu wakasema kagombana na mkewe wakati ukweli kwa umri wake tatizo la nyonga n jambo la kawaida
...Kuna mwanajamii ameishasema. Ghafla kutakuwa na michango kibao kuhusu hili kutoka kwa wanachama wapya wa JF wenye posts kati ya 4 hadi 10 na wote wanatetea kutokea kwa tukio hilo. Poor We.
Buure mnatoana macho.... rais awepo rais asiwepo yote sawa.... hamna tofauti..Pili, naye kacheza faulo. Kwasasa nchi inapaswa kuwa chini ya Jaji Mkuu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wewe ndio mbumbumbu la kihistoria, kaanze darasa la kwanza kijijini kwenu, Katiba gani unaongelea? ya kupikia maandazi yako hapo chini ya mti unakokunywa kahawa bila kufanya kazi yoyote? Kwa taarifa yako Katiba inasema wazi nchi haiwezi kuwa bila Rais hata sekunde moja, kasome mbumbumbu nambari wani wewe.
kumbe haupo nchini???Jamani nimepata taarifa eti Kikwete kadodoka jukwaani wakati anahutubia kwenye viwanja vya Jangwani mwenye uhakika atupe.........
au kuna jini pale...
usichanganye mchanga na sukari! Slaa ameteleza yaani mabafu ya ma-guset na mahoteli yetu tiles hazina viwango! JK kadondoka kwa afya mbovu! tuseme ukweli
Hajaanguka mara nne kama unavyodai bali ameishiwa nguvu mara 3 na mara moja alivamiwa jukwaani kule mwanza. Hao insiders wanaotoa habari za Rais au za ndugu yao unaona wana akili timamu au maamuma? wewe umewahi kutoa siri za mkeo, mzazi au ndugu wa karibu na watu wakakushangilia? tutajuaje kama mtoa habari wako hamtakii mema Rais hata akakupa habari za uongo? Ni makosa makubwa kufikiri kwamba Rais haugui. Kumbuka Rais Mkapa aliugua mguu na kulazwa Uholanzi kwa muda watu wakasema kagombana na mkewe wakati ukweli kwa umri wake tatizo la nyonga n jambo la kawaida