Sidhani kuna jambo la kushangaza kwa mtu kuwa na low blood sugar - hasa saa kumi mchana baada ya kufunga toka saa kumi na moja asubuhi. Blood sugar yake inasemekana ilikuwa 70mg/dL - kwa kawaida starving blood sugar ni 90 to 110 mg/dL - hii ni blood sugar level ya asubuhi kabla ya kula chochote na kwa mtu mwenye afya ya kawaida aliyekula chakula cha kawaida masaa 10 to 12 kabla ya kupima. Sasa huyu Rais alikuwa amefunga; kalala masaa mawili tu na kafanya kazi zaidi ya masaa 12 kabla ya tukio hili. It is obvious kuwa alikuwa very stressed. Kwa wale wanaofahamu matatizo ya kisukari wata conclude kuwa afya yake ni nzuri sana. Hasa ukizingatia kuwa aliweza kurejea jukwaani baada ya kupata glucose baada ya dakika 15 tu.
Kuwa na incidence moja ya low blood sugar sio lazima mtu ni diabetic hasa ukiangalia mazingara yenyewe kama haya ya kufunga. Hata kama ni diabetic sidhani huu ni ugonjwa ambao unaweza kumfanya mtu ashindewe kazi. Kuna mamilioni ya watu huku duniani wenye more serious diabetic condition na wana ishi maisha normal kabisa. Diabetes is a condition and the sugar level can be very easily conmtrolled through dieting and medication.
Kwa hiyo let take this incidence in its own perspective - we should avoid reading too mmuch into it. Kama kila mtu mwenye low au high blood sugar atatakiwa kujiuzulu basi nearly 80% ya senior civil servants itabidi wajiuzulu - wengine infact wana in addition more serious problems.
.
Jamani msiingilie fani za mwenzenu hapa jamvini. you can't be a master of everything......acha kutoa hisia zako kwa maelezo ambayo yanakinzana na sayansi ya tiba.Binafsi ni daktari wa binadamu na naamini kuna madaktari wenzangu humu tusaidiane. Mgongwa wa kifafa huanguka ghafla, anatupatupa miguu na anatoka mapovu mdomoni baada ya tukio hilo lakini pia anakuwa kama kakamaa hata anapobebwa anaonekana kama hakunjiki. Mgonjwa anapokosa nguvu na kushuka taratibu chini bila kuanguka ghafla katika tiba inahusiana na uchovu wa mwili na akili kutokana na kutoupumzisha mwili baada ya kazi nyingi .
kikwete atashinda na anafaa kuwa president, uozo wote uliofanyika miaka 20 iliyopita msitake kutwambia yeye ataumaliza within 5yrs, acheni unafiki-semeni ukweli mangapi kashughulikia.Na huyo slaa wenu hawezi kitu-maana yeye ndo fisadi-kurudisha form tu karudisha na magari-hao wnaomdhamini unadhani atawalipa nini? Mtauziwa mbuzi kwenye gunia, heri ya hawa tunawafahamu. Shangilai kafanya nini? Hamana kitu. Tukimaliza kupiga kura akaapishwa,maana nina uhakika atashinda, nitaweka makala hapa kwa nini amechaguliwa tena na wananchi.Ebo!!!
JK Rais kipenzi cha watu, ametenda mambo mengi katika miaka mitano iliyopita, kupambana na rushwa na ufisadi ni mengi kati ya mengi, ujenzi wa shule za sekondari,vyuo vikuu, barabara za lami, changarawe, ameimarisha demokrasia, utawala bora ndo usiseme, uhuru wakuabudu, kuandika na kutoa habari, wasanii na michezo,kaboresha na amejipanga kutoa ajira zaidi ya awali, chagua JK kwa maisha bora na maendeleo ya Taifa. Chagua CCM. Pamoja twasonga mbele.....
watanzania na unafiki ndiyo maana hatuna maendeleo sasa hii video ina kitu gani cha ajabu mpaka watu wengine wanaitoa kulinda heshima sijui nini upumbavu nothing graphic at all
Kiongozi mmoja wa CCM pale Lumumba leo asubuhi walikuwa na kikao anasema Rais ashauriwe kupumzika usiku. Kwa maelezo yake ni kuwa Rais amejipangia ratiba ngumu kibinadamu, kwamba mchana atakuwa anatembelea na kuwafuata wananchi mahali walipo na kutatua matatizo yao moja kwa moja na usiku atarudi kufanya kazi zote za mezani ofisini kwake za kutwa nzima. Ratiba hii inasemekana imeleta mvutano huko Makao makuu ya CCM na Ikulu baada ya tukio la jana na yaliyotangulia, wanasema inamfanya rais kulala muda mfupi sana.
Yapo madai kuwa ratiba ya kutolala vya kutosha usiku kajipangia mwenyewe kwa maelezo kuwa anajisikia vibaya kulala muda mrefu wakati wananchi wana shida nyingi.Usiku wa kwenda Jangwani alilala saa 8.30 usiku baada ya kumaliza kazi na saa 11 alfajiri akaamka kwa swala ya Waislamu hivyo alilala masaa 2.30 tu. Kama hii ndio ratiba ya Rais basi kuishiwa nguvu jukwaani sio jambo la ajabu. Wananchi tushiriki kumshauri Rais apumzike.
hakuna cha u-KGB wala nini, video ilikuwa mtandao mmoja tu, YOU TUBE, wengine wana link tu, aliyeiweka kashaona dili kaiondoa, simple as that
...duuh, safari ni ndefu!
.
Jamani msiingilie fani za mwenzenu hapa jamvini. you can't be a master of everything......acha kutoa hisia zako kwa maelezo ambayo yanakinzana na sayansi ya tiba.Binafsi ni daktari wa binadamu na naamini kuna madaktari wenzangu humu tusaidiane. Mgongwa wa kifafa huanguka ghafla, anatupatupa miguu na anatoka mapovu mdomoni baada ya tukio hilo lakini pia anakuwa kama kakamaa hata anapobebwa anaonekana kama hakunjiki. Mgonjwa anapokosa nguvu na kushuka taratibu chini bila kuanguka ghafla katika tiba inahusiana na uchovu wa mwili na akili kutokana na kutoupumzisha mwili baada ya kazi nyingi .
Acheni unafiki. Ni wazi kuwa huyu jamaa ni mgonjwa na hafai kuwa Rais kwa sababu hiyo. Jamaa amekuwa akianguka mara kwa mara HADHARANI. Bila shaka anaanguka pia in private ijapokuwa wanaficha hiyo. Tatizo ni kuwa CCM ikifanya kosa basi haijui namna ya kulisahihisha bali inaling'ang'ania tu na kudai kuwa mamboa sivyo yalivyo.Pengine swaumu au?
Haya wewe mwenzetu daktari... basi tuache ya kifafa..
Je;kwa mtu ambaye anazidiwa na kazi na kuchoka kiasi cha kuanguka, anguka kwenye public bado tutamwita mzima???? If your body can not tolerate 15km race will you be declared fit for the race?? if the answer is no, then dont you think huyu jamaa ni unfit for the race?
Je unakumbuka kuna watu wanaitwa spana mkononi??? yeye hafai kuwa spana mkononi??? na mtu spana mkononi si huwa na yeye tunamwita mgonjwa au???
Tuje kwenye fani hiyo ya udaktari, naomba ukatae au ukubali, do you think wale watanzania wawili wanamuangalia afya yake wanafanya vitu ethical?? mbona yanazunguka mengi tu, si bora wakae kimya kiliko kusema raisi yuko fit na tulipima hiki?? kwani kiapo cha udaktari kinasemaje??? kama anakaidi, si bora waachie ngazi with honours kuliko kuharibu fani, unataka tuletewe wachina sio kama ya ulinzi wa mugabe?
SWALI LA MWISHO, WEWE KAMA DAKTARI... RAIS WAKO NI MGONJWA AU HAPANA??
yeah we better go generic sasa... tumsubiri mwanajamii aje atupe shule sasaFani imeingiliwa hii!
Haya wewe mwenzetu daktari... basi tuache ya kifafa..
Je;kwa mtu ambaye anazidiwa na kazi na kuchoka kiasi cha kuanguka, anguka kwenye public bado tutamwita mzima???? If your body can not tolerate 15km race will you be declared fit for the race?? if the answer is no, then dont you think huyu jamaa ni unfit for the race?
Je unakumbuka kuna watu wanaitwa spana mkononi??? yeye hafai kuwa spana mkononi??? na mtu spana mkononi si huwa na yeye tunamwita mgonjwa au???
Tuje kwenye fani hiyo ya udaktari, naomba ukatae au ukubali, do you think wale watanzania wawili wanamuangalia afya yake wanafanya vitu ethical?? mbona yanazunguka mengi tu, si bora wakae kimya kiliko kusema raisi yuko fit na tulipima hiki?? kwani kiapo cha udaktari kinasemaje??? kama anakaidi, si bora waachie ngazi with honours kuliko kuharibu fani, unataka tuletewe wachina sio kama ya ulinzi wa mugabe?
SWALI LA MWISHO, WEWE KAMA DAKTARI... RAIS WAKO NI MGONJWA AU HAPANA??
kikwete atashinda na anafaa kuwa president, uozo wote uliofanyika miaka 20 iliyopita msitake kutwambia yeye ataumaliza within 5yrs, acheni unafiki-semeni ukweli mangapi kashughulikia.Na huyo slaa wenu hawezi kitu-maana yeye ndo fisadi-kurudisha form tu karudisha na magari-hao wnaomdhamini unadhani atawalipa nini? Mtauziwa mbuzi kwenye gunia, heri ya hawa tunawafahamu. Shangilai kafanya nini? Hamana kitu. Tukimaliza kupiga kura akaapishwa,maana nina uhakika atashinda, nitaweka makala hapa kwa nini amechaguliwa tena na wananchi.Ebo!!!
Mwaka huu mtasikia mengi
Anayedaiwa mganga wa kienyeji O(mwenye joho) aliyekuwa mkutanoni akiwa chini ya ulinzi wa polisi - Source Global Publishers
View attachment 12756
Kwenye misafara yote ya Kikwete lazima kuna waganga wa kienyeji! Mkulu anawahusudu sana hao ndo maana madaktari wake hawasikilizi
who cares?Tujadili kwa unyenyekevu kwani huyu ni rais wetu kwa sasa
Ina maana madogo walikamata mmoja wa wajumbe wa msafara wa Muungwana?
Mwaka huu mtasikia mengi
Anayedaiwa mganga wa kienyeji O(mwenye joho) aliyekuwa mkutanoni akiwa chini ya ulinzi wa polisi - Source Global Publishers
View attachment 12756
Jamaa wa Mang'ula wanamjua mganga wa Kikwete anaitwa Kalembwana, jana alikuwa naye pale amevaa suti na tunguli zake!
Kudadeki, ina maana baada ya tukio la jana la 'maroboti kugongana' bado Mheshimiwa Kalembwana yupo kazini?