Nachingwea
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 261
- 110
Mkuu Nachingwea ana post nne tu hapa kazi ipo.
Siri wakati anatumia kodi za wananchi? Kama anataka kuweka siri aache kazi ya urais.
helimu ni nini?Nafikiri watu wengine wanashindwa kutambua na hii ni kwa sababu ya ufinyu kufikiri na pia helimu duni... hivi kwa kutumia mfano rahisi mke wako akiwa amepima kipimo cha ukimwi na kwa sababu wewe ni mume wake basi unaruhusa ya kupewa majibu ya mke wako..
Watu hapa mchangie mada kwa kufikiri na kutumia akili zaidi
Nasikia TV za nyumbani nyingi hazikulionesha tukio hili kwenye taarifa za usiku, ni kumlinda rais? Kwani ni aibu kuonwa na watanzania? Ni rais wa CCM au Rais wa watanzania?
Kuanguka kwa JK kumezidi, something is VERY WRONG somewhere!
Kama wewe una wasiwasi usifikirie ni watanzania wote!!!! Una wasiwasi wa nini?Kikwete kama binadamu ana mapungufu yake.Hili la mtu kumdhihaki mtu mwingine wakati tunajua nafssi yake kwa muda huo inateseka ni kukosa uungwana.Lile usilopenda kutendewa usilitende.Kama JK ana kifafa,ukimwi,tetekuwanga au ungonjwa uletao sononeko la moyo na mwili , ni vema waTanzania tukaliombea tukio hili ambalo si la kawaida.
Kuugua kwa JK ni zaidi ya ugonjwa kwani Rais wa nchi pamoja na afya yake ni taasisi inayohimili kila uweza wa uendeshaji wa nchi.
Tukumbuke kuwa kuna wanaomtakia mabaya ili wafaidike na kuna wale wenye moyo mwema nia ya kuwezesha hali ya nchi kurudi katika hali ya kawaida.
Watanzania tuombee sana ili amani na mshikamano iendelee kuwapo wakati wa muda huu wa wasiwasi.
Mungu hadhihakiwi... Mungu hasikilizi sala za wanafiki... waongo....
helimu ni nini?
Adui gani? wacha siasa zako za enzi za wakati wa mawe hapa!Macho wapi Mungu amedhiakiwa!!!!!, ikiwa hatakama Adui yako mpende!!! hapo ambapo Mungu amedhiakiwa ni wapi...yaani humu nadi kuna watu vichwa maji sijapata kuona mimi nilikuwa nadhani all are great thinkers kumbe kuna .........jibu mwenyewe
Heri kabisa ameaibika jamaa anasema eti wanapambana na Rushwa akabaki kusema aiseee aiseee Giza na mweleka!
Mimi nimeangalia clip ya kudondoka kutoka blog ya michuzi, alianza kusihiwa nguvu wakati akisema kuwa tuleifanya mengi na tunaahidi kufanya zaidi kama mkitupa ridhaa, tuta... tu...nyaaa-- then kwisha. Nadhani hizi ahadi zinampa shida kwa kuwa anajua hazitekelezeki, alikuwa anasema uongo, na mwili wake ukakataa kabisa. This is very sad, na nadhani huyu bwana ana kaugonjwa hako na lazima kanampata mara kwa mara, ndio maana alijua kanakuja akasema "aisee"
I can be sure kuwa sio kitu kigeni kwake, so kuna haja ya yeye kuamua kwa amani tu aache!!
Nyieeeeeee aliyewatuma bahati mbaya kawatuma kumsafisha JK akiwa kachelewa mno kwani macho yetu yalishafunguka na tumemwona mfalme uchi.Mimi nikiwa kama mtanzania mwenye mapenzi maema na nchi yangu na watu wake akiwepo Raisi JK, ninamuombea Mungu ili amjalie afya njema na kuendelea kuingoza nchi ya Tanzania. Tunajua mangapi ambayo ameyafanyia Tz. Ufisadi si jambo dogo linahitaji uwe na uwezo thabiti wa kupambana nayo na uwezi kupambana ufisadi kwa kuhisi tuu.
helimu ni nini?
Nyieeeeeee aliyewatuma bahati mbaya kawatuma kumsafisha JK akiwa kachelewa mno kwani macho yetu yalishafunguka na tumemwona mfalme uchi.
Mimi siyo mpenzi wa chama chochote, lakini Kikwete ni raisi wetu na nafikiri hakuna mwingine zaidi yake hata huyo unayemfikiria mwenyewe alikuwa hajiamini kupambana kwa nafasi hiyo utampaje mtu urais hata yyeye mwenyewe hajiamini.. urais siyo sehemu ya kujifunziaNyieeeeeee aliyewatuma bahati mbaya kawatuma kumsafisha JK akiwa kachelewa mno kwani macho yetu yalishafunguka na tumemwona mfalme uchi.
Kisomo cha madrasa hicho. Kamaliza form 7.Umeniwahi tu mkuu. Jamaa inaonekana duh! Kazi kweli kweli. Huko mapangoni mlikojificha, mtatoka wengi tu msimu huu. Karibuni jamvini.
Mimi siyo mpenzi wa chama chochote, lakini Kikwete ni raisi wetu na nafikiri hakuna mwingine zaidi yake hata huyo unayemfikiria mwenyewe alikuwa hajiamini kupambana kwa nafasi hiyo utampaje mtu urais hata yyeye mwenyewe hajiamini.. urais siyo sehemu ya kujifunzia
poleni sana, kama ma fisadi wamewatuma mmeshindwa,