macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,419
- 61,111
.
Kikwete pole sana kwa yaliyokufika jangwani.
katika taarifa za habari usiku huu vyombo vya habari vyote hata vya watu binafsi vimehifadhi tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kikwete. Ni dalili ya uzalendo wa hali ya juu. Kwa wanaoamini katika Mungu basi wahusika wapepunguza dhambi katika nafsi zao. Hiki ni kipindi kigumu kwa wananchi ambapo shetani atatumia tukio hilo kutugombanisha. Mungu nchi nyingi zimemwaga damu wakati wa uchaguzi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
Ebana eeeh huyu jamaa si mzima huyu. Nimeona clip ya jinsi alivyoishiwa nguvu na kuanza kuanguka....something is seriously not right with him...
YouTube - down
Jamani JK bado ni kiongozi wetu , na kwa matatizo yaliyomkuta tumuombee sana ili apate nafuu na Taifa lisiingie katika janga la wasi wasi wa kisiasa.Wamtumainiao BWANA ni kama Mlima wa Sayuni, hawatatikisika milelee.....JK mtegeemee na Kumtumainia MUNGU sio mwanadamu...kama vile ambavyo hutegemei kura za wafanyakazi basi vivyo hivyo, usiwategeemee wanadamu pia. MUNGU wang akutie nguvu mtumishi
Runinga ndio ziko nyuma kiuandishi, lakini magazeti hayakopeshi, kesho hawamwachi.Nasikia TV za nyumbani nyingi hazikulionesha tukio hili kwenye taarifa za usiku, ni kumlinda rais? Kwani ni aibu kuonwa na watanzania?
Imani bila matendo imekufa. Kwanini ajiweke kwenye risk? Kwani Mungu alimwambia bila yeye Tanzania haitaendelea??Jamani JK bado ni kiongozi wetu , na kwa matatizo yaliyomkuta tumuombee sana ili apate nafuu na Taifa lisiingie katika janga la wasi wasi wa kisiasa.
JK mwombe Mungu wako na muamini nawe utapona.
Unless he repents.............%@#^& your prayers might be wastes!Be blessed JK, you will regain your strength in the NAME of JESUS CHRIST.
Kama humtakii mema Kikwete.... endelea kufananisha kuanguka kwa Dr Slaa na kuanguka kwa Kikwete!!Hatuongei habari za nguvu ya giza hapa, mleta mada kaleta pumba hazina mbele wala nyuma...ajali ya JK na wengine ni kawaida tu, kila mtu na afya yake ilivyo anajauwa mwenyewe na hili si tukio la kwanza kumtokezea JK, mahala tofauti, iweje mambo ya papa sijuwi nguru yanakuja hapa, hata hamuoni haya kutudanganya na kuongea pumba hapa!!! hata Dr.Slaa ameanguka ****** tumeambiwa, aje mtu leo atuletee hadhithi kama hizo hapo juu tutamuelewaje?
Wewe usituhubirie miinjili yako hapa, Kikwete alianguka kule mwanza mwaka ule, kule kumebarikiwa na nani?
Kama hapo Jangwani pamebarikiwa na huyo papa mbona pamekuwa ni "maskani" ya vibaka na wakabaji usiku, au papa hakubariki vibaka wadhurike?
Isipokuwa udini tu unakusumbuwa!
Vigelegele vyote viliisha, kuna kada akajidai kuja na "CCM Oyee," kwani kuna mkereketwa alijibu? JK mwenyewe akaona isiwe tabu hili orodha la Ilani feki litaniua bure hapa, akanywa maji, akaanza...maana hata shamra shamra za kuzindua kampeni zimeingia dosari
Huyu bwana ni mgonjwa..ila wanaficha..No way, something has to be done, he can no longer bear the presidency portifolio for the next 5 years, too weak!!
Ubarikiwe mchungaji! watu wanafikiria kuficha ugonjwa ndio kuutibu!!!!!!Kikwete anatatizo kubwa ingawa limekuwa likifichwa sana! Hii ni mara ya nne anapoteza fahamu hadharani waliowahi fanya naye kazi foreign affairs wanajua hilitatizo, hata alioingia Ikulu amekuwa akipata tatizo hilo ila linafunikwa. Kikwete amewahi poteza fahamu akiwa London akijindaa kurudi Tanzania, hii ilifichwa fichwa na hata ndege na mfasala wake ulicheleweshwa.
Tatizo linajulikana anataizo kwenye nerves zinazohusiana na coordination ambazo nimeathirika kwenye ubongo na hii husababisha kupata kifafa kitaalamu kinaitwa Petit mal epileps. Ameishashauriwa kazi ya uraisi haiwezi sababu ya huo ulemavu. Amekuwa akikaidi madaktari wa ufaransa na kuzama kwa waganga wa jadi.
Nina wasi wasi sana kama akishinda atamaliza term kabla hatujalazimika kufanya uchaguzi mwingine. Jamaa hafai kuwa kwenye ile nafasi CCM kama issue ni uislam basi wekeni mgombea mwingine. Nasubiri wale puppets wake waje ni mwage kila kitu hadharani.
Pole Raisi Kikwete
Mch Masanilo K