Kikwete aacha gumzo Muleba

Mutabora

Member
Apr 29, 2010
45
4
Muda mfupi uliopita rais Jakaya Kikwete amehudhuria mazishi ya Mbunge wa kwanza wa Muleba David Bakanyoma Zimbihile(80) katika mtaa wa Bugombe kata ya Muleba akiwa na My wife wake.Kinachojadiliwa hapa Muleba ni kuondoka kimya kimya bila kuzungumza chochote juu ya huyo mpigania uhuru.

Wengine hapa nilipo wanabishana, eti JK alionekana kuwa na mawazo mengi hasa anapofikilia WaTz wanavyoteswa na mgawo wa umeme
 
hana cha kuzungumza. Ameshazungumza yote na hayajatimia. Ameshachoka kuwadanganya wananchi wake. Rip mmbunge wa zamani.
 
''Tehe! Tehe! Tehe! Nikizungumza mwanikosoa, nikaka kimya nimeishiwa. Oooh miye najuta kuwekwa na nec.''
 
Mlikuwa mnataka ahadi mpyaaaa? maana jamaa kila akizungumza anadanganya wananchi kwa ahadi hewa tuuuu
 
Sa mlitaka mzee wa wa2 azungumze nin hapo msibani wajamen?
 
Muda mfupi uliopita rais Jakaya Kikwete amehudhuria mazishi ya Mbunge wa kwanza wa Muleba David Bakanyoma Zimbihile(80) katika mtaa wa Bugombe kata ya Muleba akiwa na My wife wake.Kinachojadiliwa hapa Muleba ni kuondoka kimya kimya bila kuzungumza chochote juu ya huyo mpigania uhuru.

Wengine hapa nilipo wanabishana, eti JK alionekana kuwa na mawazo mengi hasa anapofikilia WaTz wanavyoteswa na mgawo wa umeme

Kuna sababu kibao kwanini JK ameshindwa kufanya hivyo nazo ni hizi zifuatazo:
  1. Muleba alishiundwa vibaya sana kwenye uchaguzi uliopita vituo vyote. Hii imamuumasana kwakuwa JK ni mtu wa Visa ile mbaya na hasamehi ikibidi kuwa hivyo
  2. Ana msongo wa mawazo kwa kuwa sasa amelemewa na mzigo wa mbinu zake za KIMTANDAO ambazo hazina deals kwa makundi yanayokulana sasa,
  3. kuhusu MGAO WA UMEME JK analijua tatizo hana la kusema. Anaona aibu kwakuwa lazima atakuwa anajua kitu kuhusu Wizara ya Ngereja na Jairo na ama amehusika. Alafu amesikika BBC akisema yeye si Mungu kuiambia mvua inyeshe. AIBU kubwa hiyo
 
Kabila la Wakwere,shughuli zao zinajulikana...KUUZA MAYAI&KUKU!!
Sasa huyu ndo wakwanza kufanya kazi ambayo iko nje ya uwezo wako,na tunayaona madhara yake!!
 
huyu rais mbona anapenda sana kwenda kwenye mazishi?
Duh, this is too much. Asingeenda, mngeuliza kama JK hathamini mchango wa huyu mpigania uhuru. Jamani tujadili issue nyeti zinazolihusu taifa, haya mengine ambayo ni more social tuachane nayo. Zaidi ya yote sisi hatujui uhusiano wa ndani uliopo kati ya JK na marehemu au ndugu wa karibu wa marehemu. Huku kwenye matatizo tumwache ashiriki nasi. Tusibeze kila jambo!!
 
Sasa alikwenda huko kuonekana tu, vip Mc hakumpa nafasi ya kuongea hata kuwasalimia tu?
 
Sa mlitaka mzee wa wa2 azungumze nin hapo msibani wajamen?

angesema hata msiba oyeeeee si ndio za wanasiasa kwa jinsi anavyopenda kutoa ahadi, angeweza hata kuahidi ongezeko la misiba lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom