Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,135
- 1,380
duhhh leo mtu kama lizabon nae anaushutumu uliokuwa utawala wa kikwete.Mkuu, umeongea vema kabisa. Mafisadi wanaweweseka na wanatafuta pa kutokea ili kumchafua Magufuli. Hawatafanikiwa. Tunazidi kumuombea kwa Mungu ili ampe nguvu na utashi wa kupambana na mafisadi na kurekebisha mambo yote yaliyoporomoka wakati wa utawala wa Kikwete