HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,122
- 1,203
Mimi nadhani ni mapema mno kutoa hukumu kwa raisi aliyepo madarakani kwani HATA kazi bado haijanza......
Tumesikia mipango na sera kipindi CHA kampeni na kwa sera hizo nzuri zenye kuleta tumaini jipya tukaamua kumpa KURA zetu....
Tunachokingoja sasa ni utekelezaji wa Yale aliyokuwa akituhubiria........lakini yeye kama yeye hawezi kuyafanya peke yake Bali atahitaji msaada kutoka kwenye timu yake....na wananchi kwa ujumla......
Anachotakiwa sasa ni kuwa makini katika uteuzi wa balaza la mawaziri.....
Nadhani kwa tuliowengi nyota njema ndio itaanza kuonekana hapo......kuanzia hapo ndio tutaanza kubashiri safari hii inayoitwa kuwa ni ya mabadiliko ya kweli......
TUMPE MUDA....
Mkuu Umeongea vizur!
Ila naomba nikuhakikishie ccm ni ile ile na watu ni wale wale! Na wafanyayo ni mbele kwa mbele!
Hakutakuwa na jipya! Wako huko wanakwambia stay tuned!
Na shingo ikishupazwa saaaaaana kwa mwaka mmoja!! Utasikia tuonane paradiso