Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,719
Exactly Companero kwanza nipe tano, na kwa kuanzia hapo TUCTA wangetoa Cassete zenye hotuba ya JK na wazee wa Dar halafu wakaiunga kanda hiyo na majibu yao ya hotuba ile na baada ya hapo wakazisambaza ktk wilaya zote na kuziuza kwa bei ndogo ili ujumbe uwafikie mpaka walimu, mabwana shamba, Manesi, akina mama maendeleo etc... walioambiwa hata miaka nane ijayo mshahara huo wanaoomba haupatikani, hii itakuwa hatua nzuri ya kwanza kuhamasisha watanzania na pia Tucta wataingiza pesa kidogo, kwa vile wengi wao watumishi na raia watakuwa hawana pesa basi kanda hizo zitolewe na vipeperushi vya bure ambavyo watapeana kama walivyokuwa wanapeana kijarida cha Cheche, kwa ujumla ile hotuba ya JK ni mtaji na nguvu kubwa hakuna mfano wake, mwenge kesha uwasha mwenyewe kilichobaki ni wakimbizaji wauzungushe kijiji hadi kijiji Tz nzima ili watanzania waelewe kuwa hakuna cha maisha bora hata baada ya miaka nane ijayo, na kwa vile hiyo ni from Horses mouth basi hakuna kitakachokuwa kimeharibika
Most practical contribution thus far!!! Hivi unajua jamii forum inaweza ku contribute kwa kiasi kikubwa sana.
What happens if mimi nijitolee kutengeneza hio tape halafu nitoe copies 20 tu. Kuna wengine wataniunga kuto copies? Lakini I don't think I have the charismatic voice and tone that will be convincing to the public. But I'm willing to donate money to the moderator to make this idea possible!!
I prefer doing something rather than talking.