Kikuu vs AliExpress



AliExpress wanavitu vizr ishu inakuja kwenye kukufikia ukichukua oda ya kitu kikubwa unapata kwa haraka zaid kulko cc wazee wa elf 20 utasubir kwa siku. 41/55 nliagiza kava mwez wa 9 nmepokea mwez wa 11 ila n kava ya uhakika
 
Samahani naomba kuuliza... Mzigo unafika posta ata kama sina sanduku la posta? Au inakuaje
Mzgo ukifika posta utatumiwa msg ya namba ya mzgo wako na gharama nafikir haizid elf 3 inategmea na KG ukienda unalipa pale pale Kuna kibank chao dak 10 unasepa
 
Mkuu huyu Mwl RCT unayebishana naye ni mtu anayeheshimika sana huku jamii forum. Ni Mtaalamu na mzoefu Mkubwa sana kwenye hizi online business. Wengi tumejifunza kupitia kwake na tunapokwama tunamwomba msaada na hasiti kusaidia. Kama unataka kujifunza kwa huyu mkubwa, kuwa mpole na uonyeshe heshima. Masiara wakati mwingine sio mazuri.


Just advice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wadau...nimeona comments nyingi za wadau waliopokea mizigo yao kwa njia ya posta kutoka Aliexpress ni parcel ndogo ndogo...je kwa mfano mtu akinunua mizigo mikubwa ya zaidi ya tani 5 mfano mashine au vifaa vya hardware, je nayo naweza tumia njia ya posta au ipi njia gani nyingine nafuu kwa mizigo ya aina hii kwa kutumia aliexpress?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo lazima uwaome DHL,na makampuni mengine yanayohusika na usafirishaji,,,au seller yeye akusaidie namna ya usafirishaji kwa njia ya meli either Kama atasogeza mpaka port alafu wewe ucontact na wasafirishaji
According tu ufahamu wangu lakin kwa mizigo mizito
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawia kabisaa,Ila alidai alikua anamchallenge tu swaiba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry! Kwa status below niliyopata from 17track baada ya kuagiza ka mzigo kangu china inaweza kuchukua muda gani kufika Tanzania kupitia kwa wenye uzoefu,ili niweze kuwa na mpangilio sahihi wa ratiba binafsi.
Shukran
2020-01-02 00:00
Despatched to overseas (Country code: TZ)
 
Bro katafika tu Mimi kangu saivi kako njiani kana mwezi na nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wangu itachukua wiki moja na kidogo(business days) kufika nchini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…