Ni vitu gani unavicheki kwanza pale unaponunua Laptop au Desktop computer?

Feb 7, 2012
72
67
Habari wana JF leo nina mengi ya kuongea na ninyi wateja au wadau wote kwa ujumla juu ya kununua hivi vitu vya kieletroniki kama vile Tv , Home threater , pasi , na vitu vingine vingi ila kwa leo tuongele kuhusu laptop na desktop computers ni vitu vipi huwa unachek kwenye laptop au desktop computer kabla ya kuinunua. Haya ni baadhi ya maoni niliyopata toka kwa wadau ;

1.UBORA (Durability)

2.Uzuri ( Brand au Rangi yake )

3.Ukaaji Chaji ( Battery capacity)

4.Kushawishika toka kwa mwenzio

5.Matangazo ya Mara kwa Mara ya hiyo bidhaa

6. Uwezo wa ufanyaji kazi wa hiyo bidhaa ( work efficiency of the product)

Note / dokezo : kila bidhaa ina uwezo wake nyingine zimeletwa kwa ajili ya uzuri wake after mean time kina kufa , nyingine ubora kwenye kudumu lakin sio vizuri kwa muonekano , nyingine ni kwa ajili high performance lakin sio kizuri wa hakidumu kinatumika kwa kipind furani kisha kinakufa pia vipo vyenye high performance na ni bora hasa kudumu so unachagua bidhaa ni vyema ujue mda wake wa utumiaji ni mda gan lasiivyo utalalamika umepigwa kumbe ukusoma maelekezo ya hiyo bidhaa au kingine ni kwenye utunzaji wengi utunzaji ni hovyo mpaka kitu kiharibike ndio akiweke kwenye ungalizi mkubwa lakin kama bado kipo poa bas kitachakazwa vibaya bila kuonewa huruma.

ee752b38-5638-4916-b176-3feb7d72f47d.jpg




IMG_9819.jpg

3f3382c8-dabc-42b7-88d8-da230abf1d96.jpg
 
Back
Top Bottom