Mkuu samahani;kuna decoder nimeona AliExpress inauzwa 180'000;Je,nikiiagiza Kwa hiyo bei yao ikifika Tanzania kuna gharama nyingine zinaongezeka mf.Kodi,delivery fee nk.kuendana na uzoefu wako?sijawahi kutumia kikuu, huwa natumia aliepress na vitu vinanifigiaga wilayani kabisa.
Vitu unavifuata posta na mzigo unaweza kutrack kwa kutumia website ya posta tz pia.
ila kwa kuitazama website ya kikuu wanafanya dropshing kwa aliexpress.
Nunua vitu pia kwa aliexpress, then utapata experience ya kipi bora.
Mkuu samahani;kuna decoder nimeona AliExpress inauzwa 180'000;Je,nikiiagiza Kwa hiyo bei yao ikifika Tanzania kuna gharama nyingine zinaongezeka mf.Kodi,delivery fee nk.kuendana na uzoefu wako?
- Wakati mwingine Iwapo seller anatoa majibu yasio eleweka.Mara baadaye naona inaonyesha umerudi nikawauliza vipi ,wakaniambia sijui transporter wao kasema Address haijakamilika mzigo hauwezi fika ,wakati mizigo niliyoagiza kwa wakati mmoja japo seller tofauti kwa anuani ile ile ilifika kwa wakati.
- Nadhani ni vyema kuwasiliana nao.Mimi sielewi kwanini Silent ocean hawataki kucapitalise kwenye hii,wakawa shipping agency kudeal na hata hii mizigo Kama single item,wao wanadharau kuwa ni mzigo mdogo haulipi,
#1. Jifunze basics za manunuzi mtandaoni kupitia hapa:Wakuu nimekwama,
Unalipiaje kwa mpesa Mastercard?
Wameshaniliza hao miez miwili iliyopita; lakn mapungufu yangu yalikuwa kwenye kutofanya research ya kutosha kuwahusu but now nimekuwa makini kidogoHuu uzi ungekuja siku kadhaa nyuma ungesaidia sana najuta kufanya shopping Kikuu i swear sitorudia tena kikuu.
Jamaa zangu walinijaza nikajaa kumbe wao wamezoea kuagiza flash disk moja na wanaishi Mikoani hawajui ata bei ya bidhaa kariakoo na quality zake.
Nlifanya shopping kubwa baada ya kuona Tshirts bei chee elfu 8, 9, 12 nikajuwa ni quality Tshirts afu kibaya sikuwa na App nlishop kwa website yao.
Wazee unaagiza Tshirts XXL inakuja ya mwanangu wa miaka 5 wase*ng sana Kikuu alafu nguo zao zote ni transparency yani km leso tuu nyepesi sijaona.
Usinunue kitu kikuu kwa kuangalia picha download app soma reviews lakini still i don't recommend them.
Ofisi yenyewe imekaa kitapeli tapeli tuu na wasi wasi ata refund yangu naweza nisiipate wameniambia baada ya week 2 fucking shits nalipa cash afu mnanirudushia hela yangu baada ya week 2 kuna supplier mmoja alikataa return ikabidi wafanye vipimo wamtumie.
Ata viatu ukinunua sori ya bigijii ukikanyaga mwiba au chupa inachanika ubora wa bidhaa Kikuu ni terrible, customer service terrible, time delivery terrible sijaridhishwa kabisa na huduma zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikulizaje man share ya experience tujifunze humu ?Wameshaniliza hao miez miwili iliyopita; lakn mapungufu yangu yalikuwa kwenye kutofanya research ya kutosha kuwahusu but now nimekuwa makini kidogo
- Wakati mwingine Iwapo seller anatoa majibu yasio eleweka.
- Wasiliana na aliexpress customer care moja kwa moja, na fedha yako hurudishwa kwenye kadi husika, na unaachana na seller huyo.
Kosa ulilofanya ni kutowasiliana na aliexpress direct na badala yake ukaendelea kusumbuana na muuzaji.
Walikulizaje man share ya experience tujifunze humu ?
Ila haya mambo ya online kama huna uzoefu nayo na hufanyi research utauumia.
Sister angu ndo alinijaza ujinga baada ya kuagiza toy la mtoto likafika akaniambia waminifu hakuangalia vitu vingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshaniliza hao miez miwili iliyopita; lakn mapungufu yangu yalikuwa kwenye kutofanya research ya kutosha kuwahusu but now nimekuwa makini kidogo
Siku hizi posta wanacharge 2350, kuhusu kodi sijawahi kukutana nalo kabisa.Mkuu samahani;kuna decoder nimeona AliExpress inauzwa 180'000;Je,nikiiagiza Kwa hiyo bei yao ikifika Tanzania kuna gharama nyingine zinaongezeka mf.Kodi,delivery fee nk.kuendana na uzoefu wako?
Siku hizi posta wanacharge 2350, kuhusu kodi sijawahi kukutana nalo kabisa.
Ukiagiza chagua shiping ya aliexpress standard shiping ukitumia china post inabidi uwe mvumulivu aiseeh.
Kina wabebaji wengi.mara nyingi wauzaji hutoa free shipping kwa kukusafirishia kwa kampuni yenye kuchukua muda mrefu...fanya katika kupress order ubadilishe msafirishaji utumie AliExpress standard shipping huchukua siku 7-14 lakini utachangia kiasi kidogo cha usafirishaji.Seller hutumia free shipping kwa Carrie shipping method hasa China Post hapo subiri siku 30-45.Aliexpress...ndo nmeagiza mzigo natarajia..kupokea soon..nikiupata bila ttzo lolote ntakupa mrejesho..sema shida iliyopo mzigo unachukua siku nyingi kufika.
Mzee baba imeshindikana kabisa. Kila nikijaribu hali ni ile ile.#1. Jifunze basics za manunuzi mtandaoni kupitia hapa:
Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu. Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu...www.jamiiforums.com Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...www.jamiiforums.com #2. Ingia hapa na fuata taratibu ili kuanza kutumia mpesa:
Vodacom Tanzania : Welcome
Vodacom Tanzania Public Limited Company is Tanzania's leading mobile operator and mobile financial services provider, with the fastest nationwide data network and the largest mobile money network in the country. We provide various communication services to more than 12.6 million customers.vodacom.co.tz Tazama video waliyokuwekea kwenye huo ukurasa#3. Ukikwa mahala basi rejea kwenye huu mjadala na weka swali lako.
Mwl.naomba nisaidie jinsi ya kupata app ya AliexpressHapa nikakujibu mimi ni mwaka wa kumi (10) sasa.
Angalia majibu yako hapo juu kama yanaendana na mtiririko stahiki.
PlayStore Link hii hapa.Mwl.naomba nisaidie jinsi ya kupata app ya Aliexpress
PlayStore Link hii hapa.
AliExpress - Shopping App - Apps on Google Play
Discover easy shopping and fast delivery with AliExpress shop now!play.google.com