#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

kama vipi twende syria tukachukue mabomu ya nyukilia. wakileta za kuleta tunawalipua tu

Tutawatawanya ile mbaya.... wasitutishe na vibastola vyao sie,naenda baghdad kujifunza utengenezaji wa mabomu yakurusha kwa mkono!!!
 
Kuna jamaa nimepata tetesi kuwa anatumia sehemu nyeti za mpenzi wangu. I give him a last warning.
"Mushi weapon is on my Hands"
 
hha mwenye uchungu na pesa yake...kuishi Sudan si mchezo ujue


Kweli sii mchezo. Lazima mtu akikuletea za kuleta ummwage naniliu. Lakini heaven, hizi data zote za huu mkasa mlizipata wapi? Naona wewe na da smile mko very informed kwenye hili jambo.
 
Unahuakika??nyie mnatufanya sisi eko bank hii ndi yo out come!

Mimi hapa na mimi na msubiri bibie lara 1 najua atakujua na maneno yakupingana na kauli hizi za kusossomola wanaume maana nawao wameshtuka ukimsosomola kumbuka naye ana "MANATI YA KIZUNGU" Haikopeshi!

Ila kiiukweli jamaa yawezekana aliwekeza sana katuma dolari kila akipewa posho yake ya dollar 37000 kwa mwezi nje ya mshahara anatuma kwa Ufoo Saro na anatumiwa picha ya ghorofa katika Whatsapp jamaa kuona jengo limeisha akaanza kula bata sudani anajua mambo yapo poa ila sasa kurudi bongo hata msingi hauoni anaenda kwa mama mkwe wake kuomba busara mama mkwe anamwambia babue unao ushahidi kuwa ulituma pesa kwa mawanangu??kwanza mwanangu alishakwambia hakutaki iweje umng'ang'anie si hakutaki????wanawake wapo wangapi tafuta mwingine ....................unadhani utafanya nini na una "MANATI YA KIZUNGU"???Wanawake jiangalie wanaume wamechoka kufanywa Visa card!!

Aisee kwa hili laweza kuwa na ukweli, hebu ngoja tusubiri apone huenda akatupa picha halisi ya tukio zima
 
Last edited by a moderator:
Nyote wawili wazanaki wanasema wote mang'anyang'a. Unafikiri utanigombanisha na mke wangu ubaki salama?. penda maisha yako. Heaven on earth anaweza akasababisha maisha yako yawe mafupi kama maisha ya funza. Sitaki mtu achezee mapenzi yangu wala amzoee mke wangu nmpendae heaven. Au nimwambie Jiwe Linaloishi akupige ban?. mia

hahaha figganigga mbona wanitaka ubaya...? mrembo kama Heaven on earth nimpige ban kweli ?
 
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa

ishu inabidi kama mtu humpendi na wala hauko serious nae,ni bora hata ukadanyanya umeolewa ama una bwana, ili hata akiwa anakuhudumia ajue kabisa kwamba hakuna future.

tatizo nyie mabinti mnapenda sana uongo ah, mbona sie wake za watu tunahongwa sanaaaaa na wahongaji wala hawajali, wenyewe wameamua kuhudumia sababu they like it.
 
ishu inabidi kama mtu humpendi na wala hauko serious nae,ni bora hata ukadanyanya umeolewa ama una bwana, ili hata akiwa anakuhudumia ajue kabisa kwamba hakuna future.

tatizo nyie mabinti mnapenda sana uongo ah, mbona sie wake za watu tunahongwa sanaaaaa na wahongaji wala hawajali, wenyewe wameamua kuhudumia sababu they like it.

Hilo nalo neno...ila mizinga dada ayanda acha iendelee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom